GE2025 Video: Inadaiwa baadhi ya Wananchi wa Mbeya leo wakipokea posho ili wakajaze mkutano

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
8,748
Reaction score
18,096
Hayo mambo kwakweli ni ya aibu, huwezi kulazimisha watu wakupende.

Mbeya hiyo leo inadaiwa wakiwa wanapokea hela ndo wakajaze mkutano. Kila mtu Elfu 10. Hizo ni hela za walipa kodi,Samia anachota analipia nyomi ili atengeneze picha ya kwamba anakubalika. Alafu wananchi ndo wanaongezewa makodi na matozo ili wafidie hizi pesa.
.
Na ndo Samia sasa hivi kakomaa na watoto. Wenye akili zao wanataka hela mkononi ndo wapande magari kama hivi yani.

Ila bwana kitu kikifika mwisho ni kimefika mwisho, kweli leo CCM imekosa sapoti ya wananchi mpaka inabidi ilipe watu ndo waende kusikiliza kampeni zao. Eti chama kikubwa Africa, eti wana wanachama milioni 13? Pyeeee.
.
Maskini nchi yetu, hakuna idara yoyote inayojitegemea kiasi kwamba Takukuru hawawezi kufanya lolote. Tarehe 29 Oktoba lazma mambo yabadilike. We can’t live like this.
.
Hizi pesa wanazochea kufanya uchaguzi wa kiini macho wangeweza kusolve matatizo yoooote ya Watanzania.

CCM is so predictable. Zile mabilioni zote wamekusanya pale m/city wanaenda kugawa

Nani anaweza kushangaa watu wakilipwa kupanga msitari kupiga kura hiyo tarehe 29/10?. Haijarishi unampigia nani lakini chukua elfu 10, kapange msitari kwa ajili ya wapiga picha
 
CCM is so predictable. Zile mabilioni zote wamekusanya pale m/city wanaenda kugawa

Nani anaweza kushangaa watu wakilipwa kupanga msitari kupiga kuta hiyo tarehe 29/10?. Haijarishi unampigia nani lakini chukua elfu 10, kapange msitari kwa ajili ya wapiga picha
Hiyo ni lazima, na hata ambao hawakujiandikisha watalipwa, ilimradi tuu foleni iwe kubwa
 
Hayo mambo kwakweli ni ya aibu, huwezi kulazimisha watu wakupende.

Mbeya hiyo leo inadaiwa wakiwa wanapokea hela ndo wakajaze mkutano. Kila mtu Elfu 10. Hizo ni hela za walipa kodi,Samia anachota analipia nyomi ili atengeneze picha ya kwamba anakubalika. Alafu wananchi ndo wanaongezewa makodi na matozo ili wafidie hizi pesa.
.
Na ndo Samia sasa hivi kakomaa na watoto. Wenye akili zao wanataka hela mkononi ndo wapande magari kama hivi yani.

Ila bwana kitu kikifika mwisho ni kimefika mwisho, kweli leo CCM imekosa sapoti ya wananchi mpaka inabidi ilipe watu ndo waende kusikiliza kampeni zao. Eti chama kikubwa Africa, eti wana wanachama milioni 13? Pyeeee.
.
Maskini nchi yetu, hakuna idara yoyote inayojitegemea kiasi kwamba Takukuru hawawezi kufanya lolote. Tarehe 29 Oktoba lazma mambo yabadilike. We can’t live like this.
.
Hizi pesa wanazochea kufanya uchaguzi wa kiini macho wangeweza kusolve matatizo yoooote ya Watanzania.

View attachment 3486408
Takukuru mbeya,kazi hiyo hapo,msiishie kututumia tumeseji twa uongo na kweli wakati rushwa na hongo njenje!
 
Ni mbunu tu za kujaza watu viwanjani, wasingefanya hivyo viwanja visingejaa watu na itakuwa aibu. Itaathiri upigaji kura kwa wachache kujitokeza. Wagombea wa vyama shikizi wameshindwa kujaza viwanja ikabidi watafute sehemu za mikusanyiko ya watu kama masokoni, magegeni, vijiwe vya kahawa, drafti, bao na bodaboda kufanyia kampeni. Unakuta mgombea anafanya kampeni nyuma yake kuna genge la matikiti huoni watu. Ni CCM tu ndio imefanikiwa kutengeneza nyomi feki. Watu wana njaa kali hata buku mbili wanachukua kwenda kufanya vibe viwanjani. Tusubiri tuone kama hiyo nyomi itajitokeza kwenda kupiga kura!
 
"Mbeya hiyo Wananchi wakiwa wanapokea hela ndo wakajaze mkutano. Kila mtu Elfu 10. Hizo ni hela za walipa kodi,Samia anachota analipia nyomi ili atengeneze picha ya kwamba anakubalika. Alafu wananchi ndo wanaongezewa makodi na matozo ili wafidie hizi pesa.
.
Na ndo maaana Samia sasa hivi kakomaa na watoto. Wenye akili zao wanataka hela mkononi ndo wapande magari kama hivi yani.

Ila bwana kitu kikifika mwisho ni kimefika mwisho, kweli leo CCM imekosa sapoti ya wananchi mpaka inabidi ilipe watu ndo waende kusikiliza kampeni zao. Eti chama kikubwa Africa, eti wana wanachama milioni 13? Pyeeee.

Hizi pesa wanazochezea kufanya uchaguzi wa kiini macho wangeweza kusolve matatizo mengi ya Watanzania.

Maskini nchi yetu, hakuna kitengo chochote kinachojitegemea kiasi kwamba Takukuru hawawezi kufanya lolote. Tarehe 29 Oktoba lazma mambo yabadilike. We can’t live like this".

Kutoka kwa dada wa taifa Mange Kimambi
 
Hayo mambo kwakweli ni ya aibu, huwezi kulazimisha watu wakupende.

Mbeya hiyo leo inadaiwa wakiwa wanapokea hela ndo wakajaze mkutano. Kila mtu Elfu 10. Hizo ni hela za walipa kodi,Samia anachota analipia nyomi ili atengeneze picha ya kwamba anakubalika. Alafu wananchi ndo wanaongezewa makodi na matozo ili wafidie hizi pesa.
.
Na ndo Samia sasa hivi kakomaa na watoto. Wenye akili zao wanataka hela mkononi ndo wapande magari kama hivi yani.

Ila bwana kitu kikifika mwisho ni kimefika mwisho, kweli leo CCM imekosa sapoti ya wananchi mpaka inabidi ilipe watu ndo waende kusikiliza kampeni zao. Eti chama kikubwa Africa, eti wana wanachama milioni 13? Pyeeee.
.
Maskini nchi yetu, hakuna idara yoyote inayojitegemea kiasi kwamba Takukuru hawawezi kufanya lolote. Tarehe 29 Oktoba lazma mambo yabadilike. We can’t live like this.
.
Hizi pesa wanazochea kufanya uchaguzi wa kiini macho wangeweza kusolve matatizo yoooote ya Watanzania.

Corruption or is it bribery?
Rushwa
Rushwa
Rushwa
Rushwa
Rushwa at its peak, yaani rushwa inatolewa mchana kweupe kwenye foleni. Mtoaji na mpokeaji wote wanatenda jinai.
 
Angela Kairuki naye alifanya hivyo kwa wajumbe. Watu walikula 50k-100k hadi akapitishwa. Mtu kama huyu akiingia madarakani atahakikisha pesa zake zinarudi, how...kwa wizi!!
 
Back
Top Bottom