GE2025 Video: Inadaiwa baadhi ya Wananchi wa Mbeya leo wakipokea posho ili wakajaze mkutano

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ewe mwananchi; Epuka vitendo vya rushwa katika uchaguzi, usitoe wala kupokea rushwa. Piga 113 kutoa taarifa za rushwa.

Mgombea makini hatoi rushwa. Piga 113 kutoa taarifa za rushwa

Rushwa ni adui wa maendeleo; Chagua mgombea asiyetoa rushwa. Piga 113 kutoa taarifa za rushwa.

Rushwa haichagui Viongozi bora. Piga 113 kutoa taarifa za rushwa

Usipokee rushwa ili kujitoa katika uchaguzi. Piga 113 kutoa taarifa za rushwa

Ewe mwananchi, Epuka vitendo vya rushwa katika uchaguzi, usitoe wala kupokea rushwa. Piga 113 kutoa taarifa za rushwa.

Ku.mamakezenu TAKUKURU

Screenshot_20251010_110548.jpg

******* TAKUKURU
Screenshot_20251010_113812.jpg
 
Songea walipewa 30k, vijana wa shule ya sekondari wavulana songea walipewa matisheti, VETA, SOCAITE, TOP ONE VTC.

Full kumwaga minotiii kwa wajumbe.
 
Kuna mwingine nimeona hapo kwenye hiyo video amepigwa Kofi na yule mlinzi lakini bado amepanga foleni kwenda kuchukua posho akajaze uwanja..
 
Kiuhalisia hapo wanapokea jasho lao ili wamchague awanyonye tena hadi damu, hii nchi ya hovyo sana TAKUKURU wapo wapi na yale maSMS yao yanayo tukatishaga usingizi asubuhi.
Hayo ni malipo ya miaka mitano na hawana haki tena ya kudai Wala kuhoji maendeleo
Wakae kwa kutulia ili aliyewapa arudishe kwanza hela zake
 
Corruption or is it bribery?
Rushwa
Rushwa
Rushwa
Rushwa
Rushwa at its peak, yaani rushwa inatolewa mchana kweupe kwenye foleni. Mtoaji na mpokeaji wote wanatenda jinai.
Kwa Tanzania raisi ni Mungu hata akifanya hadharani una chochote Cha kumfanya? Kiongozi yupi Wa takukuru anauwezo Wa kunyanyua mdomo kama anapenda kibarua chake?

Kuna wakati nilimuelewa sana Gwajima Rais apunguziwe mamlaka Ili Kila taasisi nyeti iwe na meno
 
Ewe mwananchi; Epuka vitendo vya rushwa katika uchaguzi, usitoe wala kupokea rushwa. Piga 113 kutoa taarifa za rushwa.

Mgombea makini hatoi rushwa. Piga 113 kutoa taarifa za rushwa

Rushwa ni adui wa maendeleo; Chagua mgombea asiyetoa rushwa. Piga 113 kutoa taarifa za rushwa.

Rushwa haichagui Viongozi bora. Piga 113 kutoa taarifa za rushwa

Ewe mwananchi; Epuka vitendo vya rushwa katika uchaguzi, usitoe wala kupokea rushwa. Piga 113 kutoa taarifa za rushwa.

Rushwa ni adui wa maendeleo; Chagua mgombea asiyetoa rushwa. Piga 113 kutoa taarifa za rushwa.

Usipokee rushwa ili kujitoa katika uchaguzi. Piga 113 kutoa taarifa za rushwa

Ewe mwananchi, Epuka vitendo vya rushwa katika uchaguzi, usitoe wala kupokea rushwa. Piga 113 kutoa taarifa za rushwa.

Ku.mamakezenu TAKUKURU

View attachment 3486497

******* TAKUKURU
View attachment 3486514
😂😂😂
 
TAKUKURU ipo kufanya kazi gani?
natamani kutoa tusi ila ngoja nijitulize kwa siku ya leo
Ila TAKUKURU acheni kutuma ma msg yenu asbh kmnyko!
 
Back
Top Bottom