comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Ni hatariNdio maana nafsi za watu zimekufa
Kijana akizoea hivyo na kuona ndio mtindo ikifika zamu yake tutegemee nini.!?
Hiyo ni lazima, na hata ambao hawakujiandikisha watalipwa, ilimradi tuu foleni iwe kubwaCCM is so predictable. Zile mabilioni zote wamekusanya pale m/city wanaenda kugawa
Nani anaweza kushangaa watu wakilipwa kupanga msitari kupiga kuta hiyo tarehe 29/10?. Haijarishi unampigia nani lakini chukua elfu 10, kapange msitari kwa ajili ya wapiga picha
Takukuru mbeya,kazi hiyo hapo,msiishie kututumia tumeseji twa uongo na kweli wakati rushwa na hongo njenje!Hayo mambo kwakweli ni ya aibu, huwezi kulazimisha watu wakupende.
Mbeya hiyo leo inadaiwa wakiwa wanapokea hela ndo wakajaze mkutano. Kila mtu Elfu 10. Hizo ni hela za walipa kodi,Samia anachota analipia nyomi ili atengeneze picha ya kwamba anakubalika. Alafu wananchi ndo wanaongezewa makodi na matozo ili wafidie hizi pesa.
.
Na ndo Samia sasa hivi kakomaa na watoto. Wenye akili zao wanataka hela mkononi ndo wapande magari kama hivi yani.
Ila bwana kitu kikifika mwisho ni kimefika mwisho, kweli leo CCM imekosa sapoti ya wananchi mpaka inabidi ilipe watu ndo waende kusikiliza kampeni zao. Eti chama kikubwa Africa, eti wana wanachama milioni 13? Pyeeee.
.
Maskini nchi yetu, hakuna idara yoyote inayojitegemea kiasi kwamba Takukuru hawawezi kufanya lolote. Tarehe 29 Oktoba lazma mambo yabadilike. We can’t live like this.
.
Hizi pesa wanazochea kufanya uchaguzi wa kiini macho wangeweza kusolve matatizo yoooote ya Watanzania.
View attachment 3486408
Corruption or is it bribery?Hayo mambo kwakweli ni ya aibu, huwezi kulazimisha watu wakupende.
Mbeya hiyo leo inadaiwa wakiwa wanapokea hela ndo wakajaze mkutano. Kila mtu Elfu 10. Hizo ni hela za walipa kodi,Samia anachota analipia nyomi ili atengeneze picha ya kwamba anakubalika. Alafu wananchi ndo wanaongezewa makodi na matozo ili wafidie hizi pesa.
.
Na ndo Samia sasa hivi kakomaa na watoto. Wenye akili zao wanataka hela mkononi ndo wapande magari kama hivi yani.
Ila bwana kitu kikifika mwisho ni kimefika mwisho, kweli leo CCM imekosa sapoti ya wananchi mpaka inabidi ilipe watu ndo waende kusikiliza kampeni zao. Eti chama kikubwa Africa, eti wana wanachama milioni 13? Pyeeee.
.
Maskini nchi yetu, hakuna idara yoyote inayojitegemea kiasi kwamba Takukuru hawawezi kufanya lolote. Tarehe 29 Oktoba lazma mambo yabadilike. We can’t live like this.
.
Hizi pesa wanazochea kufanya uchaguzi wa kiini macho wangeweza kusolve matatizo yoooote ya Watanzania.
Hivi hakuna emoji ya middle finger humu? ModsSiku ya uchaguzi. Tutatoa 20,000 kila atakaekuwa na wino wa kupiga kura.