Ng'wanamalundi
JF-Expert Member
- Feb 4, 2008
- 1,325
- 1,586
Sawa sawa na Polisi wanavyoomba ushahidi kwamba Polepole alitekwa na Polisi. Wao wanasema wanafuatilia kwa makini sana kujua kama kweli Polepole alitekwa, na Polisi ndio waliomteka.Bado Takukuru watakwambia tuletee "ushahidi"
******* wauaji tu haoSawa sawa na Polisi wanavyoomba ushahidi kwamba Polepole alitekwa na Polisi. Wao wanasema wanafuatilia kwa makini sana kujua kama kweli Polepole alitekwa, na Polisi ndio waliomteka.
ππ¨π¨π¨π¨π¨Haijarishi unampigia nani lakini chukua elfu 10, kapange msitari kwa ajili ya wapiga picha
Hayo ni malipo ya miaka mitano na hawana haki tena ya kudai Wala kuhoji maendeleoKiuhalisia hapo wanapokea jasho lao ili wamchague awanyonye tena hadi damu, hii nchi ya hovyo sana TAKUKURU wapo wapi na yale maSMS yao yanayo tukatishaga usingizi asubuhi.
Mlinzi kavaa kaunda sutiKuna mwingine nimeona hapo kwenye hiyo video amepigwa Kofi na yule mlinzi lakini bado amepanga foleni kwenda kuchukua posho akajaze uwanja..
Ipo lakini sio kwa ajili ya ccmAlafu mtu anakuambia Tanzania kuna Takukuru....aisee..
Pumbavu sana!
Kwa Tanzania raisi ni Mungu hata akifanya hadharani una chochote Cha kumfanya? Kiongozi yupi Wa takukuru anauwezo Wa kunyanyua mdomo kama anapenda kibarua chake?Corruption or is it bribery?
Rushwa
Rushwa
Rushwa
Rushwa
Rushwa at its peak, yaani rushwa inatolewa mchana kweupe kwenye foleni. Mtoaji na mpokeaji wote wanatenda jinai.
Posho? Ni RUSHWA hakuna posho hapoKuna mwingine nimeona hapo kwenye hiyo video amepigwa Kofi na yule mlinzi lakini bado amepanga foleni kwenda kuchukua posho akajaze uwanja..
Yes kumbe na wewe umemuona nikafikiri nimeona peke yangu ... Yaani yanapigwa utafikiri ngo'mbe wanaingizwa zizini elfu 10 tu wanajidhalilisha kiasi hiko??Mlinzi kavaa kaunda suti
Hii ni mbaya sana.Hayo ni malipo ya miaka mitano na hawana haki tena ya kudai Wala kuhoji maendeleo
Wakae kwa kutulia ili aliyewapa arudishe kwanza hela zake
πππEwe mwananchi; Epuka vitendo vya rushwa katika uchaguzi, usitoe wala kupokea rushwa. Piga 113 kutoa taarifa za rushwa.
Mgombea makini hatoi rushwa. Piga 113 kutoa taarifa za rushwa
Rushwa ni adui wa maendeleo; Chagua mgombea asiyetoa rushwa. Piga 113 kutoa taarifa za rushwa.
Rushwa haichagui Viongozi bora. Piga 113 kutoa taarifa za rushwa
Ewe mwananchi; Epuka vitendo vya rushwa katika uchaguzi, usitoe wala kupokea rushwa. Piga 113 kutoa taarifa za rushwa.
Rushwa ni adui wa maendeleo; Chagua mgombea asiyetoa rushwa. Piga 113 kutoa taarifa za rushwa.
Usipokee rushwa ili kujitoa katika uchaguzi. Piga 113 kutoa taarifa za rushwa
Ewe mwananchi, Epuka vitendo vya rushwa katika uchaguzi, usitoe wala kupokea rushwa. Piga 113 kutoa taarifa za rushwa.
Ku.mamakezenu TAKUKURU
View attachment 3486497
******* TAKUKURU
View attachment 3486514