Kiungopunda
JF-Expert Member
- Oct 24, 2023
- 1,349
- 3,145
Ni sahihi. Jamaa katutupia Shetani na majeshi yake huku duniani yeye katulia tu huko Mbinguni. Hajatutundea haki sisi wanadamu kwa kweli. Sijui lengo la kulitupa lile lidubwashwa humu duniani tunapoishi sisi ni nini? Ni mwonevu sana kwa kweli ukifikiria.Naogopa kuangalia....mie ni mwepesi wa kujawa huzuni.....mauaji yanayoendelea duniani bado ni mzigo moyoni mwangu.Hii dunia si sehemu salama kwetu
Wanaadamu tumepewa roho za kinyama kiasi kwamba tunamzidi Lucifer...tunaogopa kuzaa kuwaleta wanetu katika dunia yenye mateso ya nafsi,shida na karaha...wanetu tuliowazaa tunawaonea huruma na kuishia kuwaombeaNi sahihi. Jamaa katutupia Shetani na majeshi yake huku duniani yeye katulia tu huko Mbinguni. Hajatutundea haki sisi wanadamu kwa kweli. Sijui lengo la kulitupa lile lidubwashwa humu duniani tunapoishi sisi ni nini? Ni mwonevu sana kwa kweli ukifikiria.
HakikaInawezekana Dunia ndio jehanamu yenyewe,vile hatujui tu.
una kitu utafika mbaliKwa kuwa tumejikuta tu Duniani bila idhini yetu kuwa tuzaliwe na tuishi humu au lah ila tunapitia changamoto sana za kuwa duniani. Basi tu kwa kuwa tumejikuta tupo tu ila sio sehemu salama kabisa kwetu wanadamu kuishi. Mateso ni mengi sana katika gereza hili la Roho zetu yaani Duniani.
View attachment 2837220
Hahaaaaa, umewaza nini kwa ulivyo comment hii comment yako?una kitu utafika mbali
HahaaaaaTISS huyo.
Hahaaaaauna kitu utafika mbali
YawezekanaInawezekana Dunia ndio jehanamu yenyewe,vile hatujui tu.
TISS huyo.
Ni bora asizae. Watoto watapata sana shida kwani aliyetuumba ametususa na ametutupia Dubwasha na Majeshi yake watutese. Nilipopata Mtoto wa pili sikutaka kuongeza tena. Kwani nilijuona nimemkosea sana kumleta duniani. Duniani tunateseka sana kwa kweli.Hili swali linafikirisha ,mtu fulani yupo mahali anapanga kuzaa ila atambue hao binadamu (watoto) anawakaribisha kweny ulimwengu wa shida .
Ndiyo uelewe aliyekuleta ni nani na amekuleta kwa sababu gani?Kwa kuwa tumejikuta tu Duniani bila idhini yetu kuwa tuzaliwe na tuishi humu au lah ila tunapitia changamoto sana za kuwa duniani. Basi tu kwa kuwa tumejikuta tupo tu ila sio sehemu salama kabisa kwetu wanadamu kuishi. Mateso ni mengi sana katika gereza hili la Roho zetu yaani Duniani.
Hoja hii niliulizwa na mwanangu wa miaka 7 ...Kwa kuwa Mungu ana uwezo mkuu,Si angepamvana na tu na shetani hukohuko ,badala kleta huku atutese na magonjwa,njaa,dhiki ,nkNi sahihi. Jamaa katutupia Shetani na majeshi yake huku duniani yeye katulia tu huko Mbinguni. Hajatutundea haki sisi wanadamu kwa kweli. Sijui lengo la kulitupa lile lidubwashwa humu duniani tunapoishi sisi ni nini? Ni mwonevu sana kwa kweli ukifikiria.
Kanileta kwa sababu gani? Kwanini pia alimtupia shetani Duniani? Inaumiza sana.Ndiyo uelewe aliyekuleta ni nani na amekuleta kwa sababu gani?
Nikiwaambiaga kuwa DUNIA si sehemu salama ya kufanya uzao wanakataa.Hili swali linafikirisha ,mtu fulani yupo mahali anapanga kuzaa ila atambue hao binadamu (watoto) anawakaribisha kweny ulimwengu wa shida .