chipolopolo 2
JF-Expert Member
- Nov 10, 2014
- 3,292
- 1,841
Hahahaaaaauna kitu utafika mbali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaaauna kitu utafika mbali
Nawe Sasa ni Mzee wa watoto wako! Um shaingia huko kwenye Siasa au kuwa Mkwere!Kuna jamaa mmoja wa taasisi moja nilikua napiga nae soga akaniambia mwalimu wa tuisheni mimi luku ya laki moja haitoshi kwa mwezi mmoja, niliwaza sana maana kuna mtu anafanya kazi kwa siku 30 na bado asipate hiyo laki moja
Kuna muda niliwaza kwanini mzee wangu (apumzike kwa amani) kwanini hakuwa hata mwanasiasa kama kina mkwere huwa sipati majibu, hiyo video imebeba ujumbe mkubwa sana
Wimbo uliowekwa na kusindikiza video ndiyo umeongeza simanzi. Pengine bila ujumbe ulio kwenye wimbo video ingeonekana ya kawaida tu.Kwa kuwa tumejikuta tu Duniani bila idhini yetu kuwa tuzaliwe na tuishi humu au lah ila tunapitia changamoto sana za kuwa duniani. Basi tu kwa kuwa tumejikuta tupo tu ila sio sehemu salama kabisa kwetu wanadamu kuishi. Mateso ni mengi sana katika gereza hili la Roho zetu yaani Duniani.
View attachment 2837220
Ukweli ndo huo wenye shida ni wengi kuliko wenye rahaInawezekana Dunia ndio jehanamu yenyewe,vile hatujui tu.
Na wenye Raha Wana shida ambazo hatuzijui,wengine wanajutia wanayoyapitia lakini Kwa kuwatazama tunaona Wana Raha.Ukweli ndo huo wenye shida ni wengi kuliko wenye raha
Siasa ni connection mkuu, kama mfereji haukuchimbwa kuanzia mwanzo saivi itakua danganya totoNawe Sasa ni Mzee wa watoto wako! Um shaingia huko kwenye Siasa au kuwa Mkwere!
Shetani hakutupwa hapa duniani hiyo ni moja, lakini pili mateso ya mwanadamu yanasababishwa na tamaa ya mwanadamu mwingine.Ni sahihi. Jamaa katutupia Shetani na majeshi yake huku duniani yeye katulia tu huko Mbinguni. Hajatutundea haki sisi wanadamu kwa kweli. Sijui lengo la kulitupa lile lidubwashwa humu duniani tunapoishi sisi ni nini? Ni mwonevu sana kwa kweli ukifikiria.
Dah, Una maneno ya hekima Sana mkuu.Hapo ukute dili zote za siku zimekataa, nyumbani kuna familia inasubiri kula ikiwa yeye mwenyewe hajala, mwenye nyumba anadai kodi yake na hana dira yeyote ikizingatiwa siku imeisha.
Hii dunia haipo fair kabisa. Unaweza kuta kuna mtu anakula mpaka kusaza na mwingine hajui mlo wake wa siku anaupatia wapi.
Japo kuna utapeli na ulaghai mwingi, kuna wakati ukiombwa msaada na una uwezo wa kutoa ni bora kuutoa. Unaweza kuta kwa kidogo utakachotoa itakuwa umeokoa familia nzima.
Kama vipi chagua uchawa!Siasa ni connection mkuu, kama mfereji haukuchimbwa kuanzia mwanzo saivi itakua danganya toto
Mfano watoto wa kina mwang'onda, mwakyusa, mzena, mahiga and likes unadhani watoto wao wanahangaika jibu ni hapana kwanini basi..? Wazazi wao walikua kwenye mfumo tangu mwanzo na ushindani ulikua mdogo saivi kuwa mwenyekiti wa vijana ngazi ya kata ni balaa 😃
Haya hongera kwa kucommentShetani hakutupwa hapa duniani hiyo ni moja, lakini pili mateso ya mwanadamu yanasababishwa na tamaa ya mwanadamu mwingine.
Hufati maelekezo yake ndiyo maana unateseka.Kwa hiyo huyo anaye leta watu, Aliwaleta waje wateseke?
Na aliumba dunia yenye mateso ilhali uwezo wa kuumba dunia isiyo na mateso anao na alikuwa nao?
Si uondoke tu duniani, unangoja nini?Lakini pia alituleta bila idhini yetu kuteseka Duniani. Inafikirodha na kuumiza sana. Tunateseka bila sababu yoyote.
Hapo umethibitisha kuwa Mungu yupo tena huna cha kufanya bila yeye.Mungu hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.
Kama Mungu huyo yupo, Basi ni mkatili,muovu, muuaji, mtesaji na asiye na hata ya chembe ya huruma.
Kwamba huyo mwanao wa miaka 7 ni great thinker sio?Hoja hii niliulizwa na mwanangu wa miaka 7 ...Kwa kuwa Mungu ana uwezo mkuu,Si angepamvana na tu na shetani hukohuko ,badala kleta huku atutese na magonjwa,njaa,dhiki ,nk
😁😁 Haya mkuu ,uzushi wangu Si uzushi wako!Kwamba huyo mwanao wa miaka 7 ni great thinker sio?
Jamii check inasema ulichoandika ni uzushi.
Kuna kitu kinaitwa karma kinanifikirisha sana piaKwa kuwa tumejikuta tu Duniani bila idhini yetu kuwa tuzaliwe na tuishi humu au lah ila tunapitia changamoto sana za kuwa duniani. Basi tu kwa kuwa tumejikuta tupo tu ila sio sehemu salama kabisa kwetu wanadamu kuishi. Mateso ni mengi sana katika gereza hili la Roho zetu yaani Duniani.
View attachment 2837220
Kuna kitu kinaitwa karma kinanifikirisha sana piaKwa kuwa tumejikuta tu Duniani bila idhini yetu kuwa tuzaliwe na tuishi humu au lah ila tunapitia changamoto sana za kuwa duniani. Basi tu kwa kuwa tumejikuta tupo tu ila sio sehemu salama kabisa kwetu wanadamu kuishi. Mateso ni mengi sana katika gereza hili la Roho zetu yaani Duniani.
View attachment 2837220
Kwenye hii Dunia. Dunia Haina huruma na mwanaumme asiye na Hela(maskini) ni mateso makali Sana anapitia aisee. Ukiwà na uwezo mshike mkonoinaonekana ni kama mtu aliyekata tamaa flani hivi halafu no one cares about him
Sio mimi mkuu ni jamii check.😁😁 Haya mkuu ,uzushi wangu Si uzushi wako!