Video inafikirisha sana

Nawe Sasa ni Mzee wa watoto wako! Um shaingia huko kwenye Siasa au kuwa Mkwere!
 
Wimbo uliowekwa na kusindikiza video ndiyo umeongeza simanzi. Pengine bila ujumbe ulio kwenye wimbo video ingeonekana ya kawaida tu.
 
Ukweli ndo huo wenye shida ni wengi kuliko wenye raha
Na wenye Raha Wana shida ambazo hatuzijui,wengine wanajutia wanayoyapitia lakini Kwa kuwatazama tunaona Wana Raha.
 
Nawe Sasa ni Mzee wa watoto wako! Um shaingia huko kwenye Siasa au kuwa Mkwere!
Siasa ni connection mkuu, kama mfereji haukuchimbwa kuanzia mwanzo saivi itakua danganya toto

Mfano watoto wa kina mwang'onda, mwakyusa, mzena, mahiga and likes unadhani watoto wao wanahangaika jibu ni hapana kwanini basi..? Wazazi wao walikua kwenye mfumo tangu mwanzo na ushindani ulikua mdogo saivi kuwa mwenyekiti wa vijana ngazi ya kata ni balaa ๐Ÿ˜ƒ
 
Shetani hakutupwa hapa duniani hiyo ni moja, lakini pili mateso ya mwanadamu yanasababishwa na tamaa ya mwanadamu mwingine.
 
Dah, Una maneno ya hekima Sana mkuu.
 
Haya ni matokeo ya kula tunda kimasihara bila kujipanga.
 
Kama vipi chagua uchawa!
 
Kwa hiyo huyo anaye leta watu, Aliwaleta waje wateseke?

Na aliumba dunia yenye mateso ilhali uwezo wa kuumba dunia isiyo na mateso anao na alikuwa nao?
Hufati maelekezo yake ndiyo maana unateseka.
 
Mungu hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.

Kama Mungu huyo yupo, Basi ni mkatili,muovu, muuaji, mtesaji na asiye na hata ya chembe ya huruma.
Hapo umethibitisha kuwa Mungu yupo tena huna cha kufanya bila yeye.
 
Hoja hii niliulizwa na mwanangu wa miaka 7 ...Kwa kuwa Mungu ana uwezo mkuu,Si angepamvana na tu na shetani hukohuko ,badala kleta huku atutese na magonjwa,njaa,dhiki ,nk
Kwamba huyo mwanao wa miaka 7 ni great thinker sio?
Jamii check inasema ulichoandika ni uzushi.
 
Kuna kitu kinaitwa karma kinanifikirisha sana pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kitu kinaitwa karma kinanifikirisha sana pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
inaonekana ni kama mtu aliyekata tamaa flani hivi halafu no one cares about him
Kwenye hii Dunia. Dunia Haina huruma na mwanaumme asiye na Hela(maskini) ni mateso makali Sana anapitia aisee. Ukiwร  na uwezo mshike mkono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ