SI KWELI Video inayomuonesha mwanaume akichapwa Zanzibar ni ya Ramadhani ya mwaka huu 2024

SI KWELI Video inayomuonesha mwanaume akichapwa Zanzibar ni ya Ramadhani ya mwaka huu 2024

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Source #1
View Source #1
Source #2
View Source #2
Salaam ndugu zangu,

Nimekutana na video ya kusikitisha ikimuonesha raia anayesemekana kuwa ni raia wa Tanzania Bara akichapwa viboko na Raia wa Zanzibar kwa kosa la kula mchana wa Ramadhani. Je video hiyo ni ya mwaka huu?

1711716685283.png
 
Tunachokijua
Leo tarehe 29/03/2024 kumesambaa video (hii) ikimuonesha raia anayedhaniwa kuwa ni mtu wa Tanzania Bara alionekana anatandikwa bakora na raia wanaodhaniwa kuwa ni Wazanzibar kwa kosa la kula hadharani wakati wa mchana wa mfungo wa Ramadhani Zanzibar.

Video hii imezua taharuki ambayo imekuja siku Moja baada ya kuwapo kutoka taarifa ya Polisi Zanzibar(hii) iliyoeleza kuwakamata raia 12 siku ya 28/03/2024 kwa kosa la kula mchana wa Ramadhani.

1711715762164-png.2948161

Picha: Sehemu ya taarifa ya kukmatwa kwa watu 12
Video hii ililalamikiwa pia na Mwanachama JamiiForums Mawele aliyeleta uzi (huu) akihoji namna Zanzibar wanavyowachukulia watu wa Bara. Katika andiko hilo Mawele anahoji uhalali wa watu wa Zanzibar kuwapiha watu wasiofungwa.

Je, video hiyo ni ya mwaka 2024
Kama Mdau wa alivyoomba kujua tarehe ya video hii, JamiiCheck imefatilia video hii katika vyanzo mbalimbali na kubaini kuwa video hii iliyombaa leo 29/03/2024 sio ya Mwaka huu. Taarifa yenye video hii (Soma hapa) Iliwahi kuletwa ndani ya Jukwaa la JamiiForums.com Juni 11, 2017 na Mwananchama Waziri Kivuli aliyekuwa akilalamikia kitendo kilichofanywa na wahusika walioonekana ndani ya video hiyo. Waziri Kivuli aliandika:

Huu si uungwana, mambo haya ndio huchochea hasira na visasi! Waliofanya kitendo hicho sidhani kama hata funga yao ina maana zaidi ya kujitesa kushinda njaa bure!

Aidha, JamiiCheck imebaini video hii imewekwa katika mitandao mbalimbali tangu (Juni 11 na 12, 2017). Mathalani, video hii iliwekwa katika mtandano wa YouTube kupitia Channel hii, hii na hii. Tazama kwenye picha hapa chini:
1711715928574-jpeg.2948167

Picha inayoonesha tarehe ya video hii kuwekwa YouTube​

Hivyo, licha kuwa video hii kuonesha tukio lililotokea kweli lakini kutokana na vyanzo hivyo hapo Juu JamiiCheck imejiridhisha kuwa si tukio la mwaka huu na halihusiani na habari (hii) ya 28/03/2024 inayoelezea watu waliokamtwa kwa kula mchana wa Ramadhani Zanzibar.
Okello alikuwa ni Mganda alikuja kuwakomboa Ndugu zake kwahiyo usiangalie sana asili ya Mtu.

Alifanywa nini mwisho ?? yule alikuwa ni screw driver tu ilipochakaa ikatupwa kwenye taka
 
Mnafiki mkubwa. Hata maana ya kufunga hawajui, wanafuata Mkumbo. Unafungaje huku moyoni umejaza ghadhabu na kufuatilia wanaokula na kutokula?. Stupid DC.

TUHESHIMU MILA ZA WATU

Kukamatwa watu kula Mchana Zanzibar ~ Watanganyika wasio Waislamu wamezusha Mjadala.

Ni vyema tukafahamu ya kuwa MILA, DESTURI, SILKA na UTAMADUNI ni mfumo wa maisha kamili ya kila jamii. Zanzibar kwa karne nyingi imekuwa ikitajika na kusifika ikafikia kubandikwa jina Tolerance Country. Kwa miongo kadhaa iliyopita zimeanza kuja hizi nganu zenye sura ya udini kwa lengo lile lile kama unataka kumuua mbwa mpe jina baya. Hayo yamekuja kutoka kwenye kundi fulani la kisiasa na kudhani ni mtaji kwao kumbe ni kuizamisha Zanzibar.

Sina hakika kama katazo la kula HADHARI mchana wa RAMADHANI lipo kisheria au la. La muhimu, kuna watu wanadhani katazo la kula hadharani mchana wa mwenzi mtukufu wa ramadhani ni katazo makhsusi kwa Watanganyika na Wakiristo. Wasichotaka kukifahamu katazo linamlenga kila binaadamu wakiwemo Wazanzibari na Waislamu wenyewe.

Kwa faida ya anaetaka kufaidika mwanamke wa Kiisilamu hawezi kufunga mwezi mzima (29/30) kutokana na sababu za kimaumbile hivyo mwanamke huyu ndani ya nyumba yetu tumezaliwa, tumelelewa na kukua pamoja mimi huwa siijui ni lini yupo ndani ya siku zake (hedhi). Nakusudia kusema ndani ya myumba yetu wakati yeye anaudhuru wa kisheria anaruhusiwa kula siku hizo (baada ya ramadhani anakuja kuzilipa) basi pia huwa anakula kwa kujificha. Huwa hali mbele yetu tukimuona.

Kuna wagonjwa nao wanaruhusiwa kula kisheria (wakipona wanakuja kulipa na wasipopona wanatolewa fidia). Wakiwa ndani ya nyumba lakini mfumo wao wa kula unakuwa ni tofauti na miezi mengine yote.
Kuna watoto ambao hawajatimia umri wanaruhusiwa kula basi hawa watoto pia huwa hawali ovyo ovyo majiani wana utaratibu wameekewa wao wenyewe wanaifahamu na kuiheshimu ramadhani kupita kiasi.

Mfano ulio hai watoto wangu mimi binafsi wanakwenda skuli na chuoni huwa wanapewa fursa warudi myumbani kula kisha warudi tena skuli au chuoni kuendelea na vipindi, mwanangu mmoja anakwenda nyumbani kula na kurudi skuli mtoto mmoja haendi anaona aibu kuwa ataitwa KOBE (jina la utani kwa mtoto asiyefunga) jaribu kufikiria mtoto wa miaka 7 anaona aibu kugundulika kuwa hakufunga anahiyari abakie skuli asirudi nyumbani kula kwa kuchelea asijulikane kuwa ni kobe!

Tulio zaliwa na kukulia Zanzibar kwa miongo kadhaa tumewashuhudia wageni kutoka mabara ya mbali wakiuheshimu utamaduni huu. Ajabu iliyoje majirani zetu na ndugu zetu wa karibu tulitegemea wao ndio wawe sehemu kutoa elimu hii badala kuhoji kwani Zanzibar na Tanganyika ni nchi tofauti? Tanganyika kuna baadhi ya MILA na TAMADUNI hakuna Zanzibar. Kadhalika Zanzibar kuna baadhi MILA na TAMADUNI hazifanani kabisa na Tanganyika si ajabu.

Zanzibar wapo Wakiristo tumezaliwa nao na kucheza nao tumekuwa wote hakuna hata siku moja Mkiristo wa Zanzibar anaweza kufanya upuuzi wa kula hadharani mchana wa ramadhani.

Siungi mkono watu kujichukulia sheria mikononi lakini vile vile sikubaliani na watu ambao hawana tolerance ya kuheshimu utamaduni wa wengine na kudhani wao pekee wana haki ya kuingia kwenye nyumba ya mtu na kufanya anachoona yeye ni sawa kwake. Heshima ni kitu cha bure kwani mtu akichukuwa chakula chake na kuenda kula ndani kwake kuna tatizo gani? Karaha ya kula mchana wa mwezi mtukufu wa ramadhani watu wanadhani inawahusu Watanganyika na Wakiristo tu, haya yashawafika hata Wazanzibari na Waislamu. Kosa linalofanyika ni kule kujichukulia sheria mikononi na kupelekea kuumiza watu.

Sisi tulipo nchi za wamaharibi kuna mambo mengi tumezuiwa tusifanye na tunaheshimu hizo taratibu. Mfano sisi tuna msikiti lakini ni marufuku kuadhini kwa bomba (spiker) kwa hiyo tunaadhini kimya kimya na kusali kimya kimya tumepungukiwa nini kwenye imani yetu?

Assallam aleykum.
 
Alifanywa nini mwisho ?? yule alikuwa ni screw driver tu ilipochakaa ikatupwa kwenye taka
Nimeku trigger?😆😆 yule alikuja kumkomboa Ndugu yake leo hii Heshima ya Mtu Mweusi imerejea Zanzibar.
 
Wafuasi wote wa hiyo dini hawajielewi kabisa kama alivyokuwa Muhammad.Hebu fikiria mtume wa Mungu anawaahidi wafuasi wake wakiume endapo wakiifia dini watazawadiwa wanawake 72 mabikra na hizo bikra zinajirud Tena baada ya kuvunjwa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nimeku trigger?😆😆 yule alikuja kumkomboa Ndugu yake leo hii Heshima ya Mtu Mweusi imerejea Zanzibar.
Ni kweli heshima ya mtu mweusi imerudi kwani mnalalamika mnakula viboko mkila mchana Ramadhani , sawasawa
 
TUHESHIMU MILA ZA WATU

Kukamatwa watu kula Mchana Zanzibar ~ Watanganyika wasio Waislamu wamezusha Mjadala.

Ni vyema tukafahamu ya kuwa MILA, DESTURI, SILKA na UTAMADUNI ni mfumo wa maisha kamili ya kila jamii. Zanzibar kwa karne nyingi imekuwa ikitajika na kusifika ikafikia kubandikwa jina ...
yaani tuheshimu mila za watu za kujichukulia sheria mkononi? kama ipo sheria zanzibar, si wakamatwe wapelekwe polisi kuliko hiyo babarism ya raia kuchapa watu wazima viboko? mila gani yenyewe kwanza, kwani hao wanaoishi hapo na ni wakristo sio wazanzibari? ukiristo sio mila yao? kwanini hao wajahidina wasiheshimu mila ya wakristo ya kutofunga ramadhani na kula mchana? unaelewa maana ya kuheshimu mila za watu? waislam hawawezi kuheshimu mila za wazanzibari wakristo? kweli shetani huwa haoni ...
 
Haojaloshi ni ya lini,
Je hiyo serikali yenu ya zanzibar,iliwachukulia hatua hao wahalifu??

Jibu wote tunajua ni nini.
 
Ni kweli heshima ya mtu mweusi imerudi kwani mnalalamika mnakula viboko mkila mchana Ramadhani , sawasawa
Hii ni Mental Slavery aliyotuachia Mwarabu na yenyewe nayo tutaifanyia Mapinduzi ya Kifikra wala uskonde.
 
yaani tuheshimu mila za watu za kujichukulia sheria mkononi? kama ipo sheria zanzibar, si wakamatwe wapelekwe polisi kuliko hiyo babarism ya raia kuchapa watu wazima viboko? mila gani yenyewe kwanza, kwani hao wanaoishi hapo na ni wakristo sio wazanzibari? ukiristo sio mila yao? kwanini hao wajahidina wasiheshimu mila ya wakristo ya kutofunga ramadhani na kula mchana? unaelewa maana ya kuheshimu mila za watu? waislam hawawezi kuheshimu mila za wazanzibari wakristo? kweli shetani huwa haoni ...

Huo ukristo wako ulikuja huku Zanzibar kabla ya huko kwenu bara. Huku uislamu upo zamani . Tokea miaka hiyo wakristo wa huku hawajawahi kulalamika chochote kuhusu kula Ramadhani hadharani. Kuna Magoa, Wahindu, Mabudha, Maparisi wanaoabudu moto, na wote wanatuheshimu na tunawaheshimu. Tatizo Liko kwenu nyinyi watoto wa Mapadri mliokosa malezi ndio fujo na matusi yote hayo. Lakini tutawalisha bakora hamtaki msije ondokeni.
 
ni shida tu ya akili yako inashindwa kuelewa. serikali yako imetoa tamko kwamba zanzibar kuna uhuru wa kuabudu. tunachojiuliza ni kwamba, ukristo ulikuwepo zamani sana, kuna makanisa hapo ya zamani sana. kuna wazanzibar ambao ni wakristo, raia wa hapo, hawafungu ramadhani,ndio dini yao, kwanini hamtaki wale? hawaipendi dini yenu ya kikatili hiyo, kwanini mnawalazimisha wafuate mile zenu? kwahiyo kama mmekuwa mkiwakandamiza miaka nenda rudi kinyume na katiba yenu, ndio umeshakuwa utamaduni wa kuwakandamiza? kama miaka nenda rudi mmekuwa mkiwapiga viboko wakila mchana, ndio utamaduni wenu hivyo waendelee kuvumilia? kwani wao wakifunga kwaresma huwa wanawachapa viboko ninyi?

hoja ya pili ni kwamba, kama sheria ipo, manake tumeona polisi pia wanawakamata, kwanini wazungu hamuwachapi wala kuwakamata, mnakamata na kuchapa wabantu tu. na pia, kama sheria ipo, kwanini raia ndio wanachukua sheria mkononi badala ya polisi kukamata na kutekeleza sheria, kwa maana hiyo hapo hakuna serikali wala polisi wala mahakama wala utawala wa sheria haupo ambao kama mtu akikosea anatakiwa kukamatwa na kupelekwa vyombo vya sheria ndio maana mnachukua sheria mkononi? hamuoni aibu hata kujadili tu hili jambo?

Hata hivyo, siwalaumu kwa kuwachapa viboko wakristo, hii kila mwaka inatokea sio mwaka huu tu. hatuwalaumu kwasababu mnafuata nini dini yenu inachowaamrisha, kama ulivyosema utamaduni wenu wa kiislam ndivyo ulivyo hapo. ndio maana tunawaasa watu wote wanaotusikia waelewe kwamba, hiyo dini yenu sio ya amani, inachapa watu wazima viboko wakila chakula mchana wakati wa ramadhani, na wewe unatetea hilo. hii ni dini inayoruhusu kuchinja wasio waislam, inaruhusu jihad. ndio maana tunasema ni dini ya kishetani, matendo yenu ninyi wenyewe ndio yanadhihirisha hili, na tunawaasa wote wanaotusikia wakaogope kama ukoma, waikimbie dini hii kwa nguvu zote kwasababu sio dini ya amani. ni ya kikatili na kionezi.
 
ni shida tu ya akili yako inashindwa kuelewa. serikali yako imetoa tamko kwamba zanzibar kuna uhuru wa kuabudu. tunachojiuliza ni kwamba, ukristo ulikuwepo zamani sana, kuna makanisa hapo ya zamani sana. kuna wazanzibar ambao ni wakristo, raia wa hapo, hawafungu ramadhani,ndio dini yao, kwanini hamtaki wale? hawaipendi dini yenu ya kikatili hiyo, kwanini mnawalazimisha wafuate mile zenu? kwahiyo kama mmekuwa mkiwakandamiza miaka nenda rudi kinyume na katiba yenu, ndio umeshakuwa utamaduni wa kuwakandamiza? kama miaka nenda rudi mmekuwa mkiwapiga viboko wakila mchana, ndio utamaduni wenu hivyo waendelee kuvumilia? kwani wao wakifunga kwaresma huwa wanawachapa viboko ninyi?

hoja ya pili ni kwamba, kama sheria ipo, manake tumeona polisi pia wanawakamata, kwanini wazungu hamuwachapi wala kuwakamata, mnakamata na kuchapa wabantu tu. na pia, kama sheria ipo, kwanini raia ndio wanachukua sheria mkononi badala ya polisi kukamata na kutekeleza sheria, kwa maana hiyo hapo hakuna serikali wala polisi wala mahakama wala utawala wa sheria haupo ambao kama mtu akikosea anatakiwa kukamatwa na kupelekwa vyombo vya sheria ndio maana mnachukua sheria mkononi? hamuoni aibu hata kujadili tu hili jambo?

Hata hivyo, siwalaumu kwa kuwachapa viboko wakristo, hii kila mwaka inatokea sio mwaka huu tu. hatuwalaumu kwasababu mnafuata nini dini yenu inachowaamrisha, kama ulivyosema utamaduni wenu wa kiislam ndivyo ulivyo hapo. ndio maana tunawaasa watu wote wanaotusikia waelewe kwamba, hiyo dini yenu sio ya amani, inachapa watu wazima viboko wakila chakula mchana wakati wa ramadhani, na wewe unatetea hilo. hii ni dini inayoruhusu kuchinja wasio waislam, inaruhusu jihad. ndio maana tunasema ni dini ya kishetani, matendo yenu ninyi wenyewe ndio yanadhihirisha hili, na tunawaasa wote wanaotusikia wakaogope kama ukoma, waikimbie dini hii kwa nguvu zote kwasababu sio dini ya amani.
ni ya kikatili na kionezi.

Yaani wewe mporongonyo umekuwa msemaji wa wakristo Wazanzibari tokea lini? Kuna Magoa, Wahindu, Mabudha, Maparisi wanaoabudu moto na wote wanatuheshimu nyinyi watoto wa Mapadri mliokosa malezi ndio fujo. Mtakula bakora tu mrudi kwenu Uporogonyoni ukale hilo jiti moto lako mchana wa Ramadhani .
 
Jamaa wamefunga, huku mioyo yao inatamani kula. Wakiona mtu anakula wanatamani kweli kweli. 😅🤣

Hapo ndo roho na mwili wa Mwislamu vinapoachana.
 
Injili ya lord Delamere ndivyo inavyosema?
Inavyosema au uhalisia? Kama roho yako na mwili wako vimepatana kufunga, unakwazikaje unapomuona mtu mwingine akila chakula?

Ni kwa vile wewe mwenyewe unatamani kula, unafunga kinafiki.
 
Back
Top Bottom