Nimekutana na video ya kusikitisha ikimuonesha raia anayesemekana kuwa ni raia wa Tanzania Bara akichapwa viboko na Raia wa Zanzibar kwa kosa la kula mchana wa Ramadhani. Je video hiyo ni ya mwaka huu?
Your browser is not able to display this video.
Tunachokijua
Leo tarehe 29/03/2024 kumesambaa video (hii) ikimuonesha raia anayedhaniwa kuwa ni mtu wa Tanzania Bara alionekana anatandikwa bakora na raia wanaodhaniwa kuwa ni Wazanzibar kwa kosa la kula hadharani wakati wa mchana wa mfungo wa Ramadhani Zanzibar.
Video hii imezua taharuki ambayo imekuja siku Moja baada ya kuwapo kutoka taarifa ya Polisi Zanzibar(hii) iliyoeleza kuwakamata raia 12 siku ya 28/03/2024 kwa kosa la kula mchana wa Ramadhani.
Picha: Sehemu ya taarifa ya kukmatwa kwa watu 12
Video hii ililalamikiwa pia na Mwanachama JamiiForums Mawele aliyeleta uzi (huu) akihoji namna Zanzibar wanavyowachukulia watu wa Bara. Katika andiko hilo Mawele anahoji uhalali wa watu wa Zanzibar kuwapiha watu wasiofungwa.
Je, video hiyo ni ya mwaka 2024
Kama Mdau wa alivyoomba kujua tarehe ya video hii, JamiiCheck imefatilia video hii katika vyanzo mbalimbali na kubaini kuwa video hii iliyombaa leo 29/03/2024 sio ya Mwaka huu. Taarifa yenye video hii (Soma hapa) Iliwahi kuletwa ndani ya Jukwaa la JamiiForums.com Juni 11, 2017 na Mwananchama Waziri Kivuli aliyekuwa akilalamikia kitendo kilichofanywa na wahusika walioonekana ndani ya video hiyo. Waziri Kivuli aliandika:
Huu si uungwana, mambo haya ndio huchochea hasira na visasi! Waliofanya kitendo hicho sidhani kama hata funga yao ina maana zaidi ya kujitesa kushinda njaa bure!
Aidha, JamiiCheck imebaini video hii imewekwa katika mitandao mbalimbali tangu (Juni 11 na 12, 2017). Mathalani, video hii iliwekwa katika mtandano wa YouTube kupitia Channel hii,hii na hii. Tazama kwenye picha hapa chini:
Picha inayoonesha tarehe ya video hii kuwekwa YouTube
Hivyo, licha kuwa video hii kuonesha tukio lililotokea kweli lakini kutokana na vyanzo hivyo hapo Juu JamiiCheck imejiridhisha kuwa si tukio la mwaka huu na halihusiani na habari (hii) ya 28/03/2024 inayoelezea watu waliokamtwa kwa kula mchana wa Ramadhani Zanzibar.
Mkuu wa wilaya ya Mjini Zanzibar mh Rashid Msaraka amesema clip inayotembea mitandaoni Juu ya Kijana aliyechapwa kwa kulewa mchana Mwezi wa Ramadan ni ya zamani 2017
Yaani wewe mporongonyo umekuwa msemaji wa wakristo Wazanzibari tokea lini? Kuna Magoa, Wahindu, Mabudha, Maparisi wanaoabudu moto na wote wanatuheshimu nyinyi watoto wa Mapadri mliokosa malezi ndio fujo. Mtakula bakora tu mrudi kwenu Uporogonyoni ukale hilo jiti moto lako mchana wa Ramadhani .
bakora hata tupigwe sio shida, tunachofurahi ni kwamba hatujawakosea kitu chochote, na pia hii inaidhihirishia dunia type ya dini yenu ipoje,ili watu wote wenye akili waiepuke kama ukoma. sio dini ya amani, na sio dini ya Mungu,ni ya shetani. ishara zake ni kama hizo.
Nani aliniambia kuna mtu anatamani msosi wako ? Zanzibar ni nchi ya kiislamu mkitaka msitake , mnalazimisha kuleta ukafiri wenu huku , tutawashughulikia tu watoto wa Mapadri. Hapa kuna Magoa , Wahindu, Mabudha Maparisi Hakuna anayelalamika na huwa hawali hadharani. Boarding schools wanapikiwa mchana na wanakula Hakuna anayewauliza, nyinyi watoto wa Mapadri huku mtaani hamna malezi mnatovuka adabu, mtakula bakora tu
Inawezekana kukawa na matukio mengi ya unyanyasaji huko Zanzibar ila ilikuwa ngumu kujua kutokana na kutokuwepo na mitandao ya kijamii wakati huo. Sasa mitandao ya kijamii inaanika na kuweka ukweli hadharani ili kurekebisha tabia za ubagudhi. Tutajua mengi yaliyojificha.
bakora hata tupigwe sio shida, tunachofurahi ni kwamba hatujawakosea kitu chochote, na pia hii inaidhihirishia dunia type ya dini yenu ipoje,ili watu wote wenye akili waiepuke kama ukoma. sio dini ya amani, na sio dini ya Mungu,ni ya shetani. ishara zake ni kama hizo.
Inawezekana kukawa na matukio mengi ya unyanyasaji huko Zanzibar ila ilikuwa ngumu kujua kutokana na kutokuwepo na mitandao ya kijamii wakati huo. Sasa mitandao ya kijamii inaanika na kuweka ukweli hadharani ili kurekebisha tabia za ubagudhi. Tutajua mengi yaliyojificha.
mimi siishi zanzibar, sitaki hata kuitembelea tu, na huwa naomba Mungu mjitenge mwende mbali kabisa kabla kisiwa chenu hakijaliwa na maji muwe samaki tuwavue tukawauzie wachina wawatafute na pilipili, na wazanzibar wote walioko bara waje hapa kwa visa, tutakavyowafurusha watatembea kwa mguu hadi kisiwandui.