MPYA Video inayoonesha maji yakisomba magari ni halisi au imetengenezwa?

MPYA Video inayoonesha maji yakisomba magari ni halisi au imetengenezwa?

Taarifa hii ni mpya na bado inafanyiwa tathmini
Mdau shiriki kuthibitisha Video inayoonesha maji yakisomba magari ni halisi au imetengenezwa?
1741932892745.png
 
Ni ya kutengenezwa hiyo... tukio serious hilo watu wako jirani wanashangaa shanghai na kuchukua video
 
Imetengenezwa hyo, watu wakae wanaangali bila kukimbia maji yawasombe tu?
Akili mnemba
 
Back
Top Bottom