Video - Interview ya Tundu Lissu: Afafanua kwa ufasaha zaidi uhusika wa Paul Makonda kuratibu jaribio la kumuua kwa risasi Septemba, 2017

Uzima Tele

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2023
Posts
1,270
Reaction score
2,822

Kwa ufupi;

##Pamoja na kusimulia kwa kina juu ya uhusika wa Paul Makonda kuratibu shambulio la jaribio la kumuua kwa risasi mwaka 2017, Tundu Lissu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA taifa upande wa Tanganyika ameeleza mambo mengine mengi yakiwemo;

1. Maoni yake juu ya ziara za Paul Makonda mwenezi wa CCM mikoani.

√ Huyu ni kivuli au photocopy ya John P. Magufuli. Tofauti ni kuwa, Magufuli alikuwa na dola. Huyu anafanya kwa kivuli cha Rais Samia Suluhu Hassan.

√ Kama CCM wameamua kumtumia mhalifu aliyepaswa kuwa gerezani ili kukifufua chama Chao kilichokufa, basi ni wazi hakuna chama hapa!!​

2. Madai ya kuwa ana uraia wa ubelgiji.

√ Amesema, wasemao hivyo ni watu wasio na akili timamu...
√ Na mtu anayemuuliza swali sanasana anakuwa tu anajidhalilisha yeye​

3. Madai kuwa ameoa mzungu.

√ Kwanza alicheka sana. Na kisha akasema amemsikia Paul Makonda akisema hayo. Akajiuliza huyu mwanaume mwenzake mbona ana wivu? Anataka nini toka kwake (Lissu)?
##Tazama na fuatilia mahojiano haya ya dakika 23:33 ujifunze na kujua mengi zaidi juu ya nchi hii na utawala wa CCM..
 
Huyu Lissu ni wakili mpumbavu, anatoa madai mitaani mahakamani haendi kwanini?
Unaijua sheria ya makosa ya jinai?

Unajua nani hupeleka kesi mahakamani?

Bila shaka wewe kadhi Mkuu ndiye hasa mpumbavu na mjinga kwa sababu huyajui mambo haya yanavyokwenda..

Ungekuwa si mjinga usingetoa hoja hii..
 
..jaribio la kumuua Lissu ni kosa la jinai.

..kwa sheria za Tanzania jeshi la Polisi ndio wenye mamlaka ya kushtaki watuhumiwa wa makosa ya jinai.

..kwa msingi huo Lissu hana mamlaka ya kuwakamata, na kuwashtaki, waliomshambulia, hata kama anawajua.
 
View attachment 2902078
Kwa ufupi;

##Pamoja na kusimulia kwa kina juu ya uhusika wa Paul Makonda kuratibu shambulio la jaribio la kumuua kwa risasi mwaka 2017, Tundu Lissu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA taifa upande wa Tanganyika ameeleza mambo mengine mengi yakiwemo;

1. Maoni yake juu ya ziara za Paul Makonda mwenezi wa CCM mikoani.

√ Huyu ni kivuli au photocopy ya John P. Magufuli. Tofauti ni kuwa, Magufuli alikuwa na dola. Huyu anafanya kwa kivuli cha Rais Samia Suluhu Hassan.

√ Kama CCM wameamua kumtumia mhalifu aliyepaswa kuwa gerezani ili kukifufua chama Chao kilichokufa, basi ni wazi hakuna chama hapa!!​

2. Madai ya kuwa ana uraia wa ubelgiji.

√ Amesema, wasemao hivyo ni watu wasio na akili timamu...
√ Na mtu anayemuuliza swali sanasana anakuwa tu anajidhalilisha yeye​

3. Madai kuwa ameoa mzungu.

√ Kwanza alicheka sana. Na kisha akasema amemsikia Paul Makonda akisema hayo. Akajiuliza huyu mwanaume mwenzake mbona ana wivu? Anataka nini toka kwake (Lissu)?
##Tazama na fuatilia mahojiano haya ya dakika 23:33 ujifunze na kujua mengi zaidi juu ya nchi hii na utawala wa CCM..
Polisi na vyombo huru vifanye uchunguzi ili tuepukane na hizi bla bla za maneno matupu
 
Hii Interview ni ya Moto sana
 
Lissu kupigwa risasi lilikuwa tukio baya sana liliouchafua uongozi wa Magufuli. Na kitendo cha serikali ya awamu ya 5 kufikia hatua ya kuwaletea noma wabunge waliotaka kwenda kumwona mgonjwa kilikuwa kibaya zaidi. Mimi ni mwanaCCM ila ule udikteta wa awamu ya 5 ninaulaani. IKUMBUKWE MAMA SAMIA ALIVAA UJASIRI WA KWENDA KUMWONA LISSU HOSPITALINI NAIROBI.
 
Huyu Lissu ni wakili mpumbavu, anatoa madai mitaani mahakamani haendi kwanini?
Yaani wewe kweli ni jinga jinga sana, jifunze mambo ya sheria ili usiendelee kujiaibisha kwenye mambo yanayohusiana na "KATIBA YA JAMHULI YA MUUNGANO WA TANZANIA na ulimwengu mzima wa KISHERIA.
Yaonekana hujui hata maana ya sheria ni nini!
 
Unaijua sheria ya makosa ya jinai?

Unajua nani hupeleka kesi mahakamani?

Bila shaka wewe kadhi Mkuu ndiye hasa mpumbavu na mjinga kwa sababu huyajui mambo haya yanavyokwenda..

Ungekuwa si mjinga usingetoa hoja hii..
Umepanic kamanda[emoji1]
 
Back
Top Bottom