Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Lissu alianza kulalamikia kuhusu watu waliokuwa wanamuwinda hata kabla hajashambuliwa na alitaja namba za magari waliyokuwa wakiyatumia, hata hivyo polisi walikausha...ni kesi ya jinai.
..polisi ndio wenye mamlaka kisheria kushtaki watuhumiwa wa makosa ya jinai.
Umri unaenda wewe mjinga.Tangu uvunje ungo hadi leo unaitwa bibi,hukui tu?Umekalia kumtetea huyo jamaa kila siku. Eti oh kesi ya jinai, sijui nini; upuuzi mtupu.
Kumbe kazi ya 'mwenezi ' ni kueneza fitna!PART THREE YA INTERVIEW YA TUNDU LISSU:
View attachment 2902098
Aendelea kumchanachana Paul Makonda...
Yeye ameulizwa swali siyo yeye ameleta hoja ya Makonda,ila makonda kwenye mikutano yake ndiyo haishi kuitaja Chadema, Mbowe na LissuSo agenda ya Lissu inekua makonda
Sad
kwa sheria za Tanzania jeshi la Polisi ndio wenye mamlaka ya kushtaki watuhumiwa wa makosa ya jinai.[emoji419][emoji375]..jaribio la kumuua Lissu ni kosa la jinai.
..kwa sheria za Tanzania jeshi la Polisi ndio wenye mamlaka ya kushtaki watuhumiwa wa makosa ya jinai.
..kwa msingi huo Lissu hana mamlaka ya kuwakamata, na kuwashtaki, waliomshambulia, hata kama anawajua.
Mwingine huyu hapaHilo lijamaa limekalia kulalamika kila siku. Sasa kama lina ushahidi kwa nini lisimshtaki Makonda?
Wewe ni mgeni hapa nchini?Polisi na vyombo huru vifanye uchunguzi ili tuepukane na hizi bla bla za maneno matupu
Akili huwa anawashikia naniHuyu Lissu ni wakili mpumbavu, anatoa madai mitaani mahakamani haendi kwanini?
Ulitaka atoe madai mbinguni? Mpumbavu ni wewe mke na shoga wa Makonda.Huyu Lissu ni wakili mpumbavu, anatoa madai mitaani mahakamani haendi kwanini?
Hahaaa.....tundu kaamua kuwa mhuni3. Madai kuwa ameoa mzungu.
√ Kwanza alicheka sana. Na kisha akasema amemsikia Paul Makonda akisema hayo. Akajiuliza huyu mwanaume mwenzake mbona ana wivu? Anataka nini toka kwake
Lissu ni mwanasheria, lakin anakuja kututungia uongo kwamba Makonda ni mwalifu. Haya kama ni mwalifu, mbona Hana uwezo wa kumfungulia mashitaka. Anabaki kuongea uongo tu. Lissu ameishiwa, hoja na akili. Amebaki makapi tu kichwani. Makonda anawakimbiza hawamuwezi.View attachment 2902078
Kwa ufupi;
##Pamoja na kusimulia kwa kina juu ya uhusika wa Paul Makonda kuratibu shambulio la jaribio la kumuua kwa risasi mwaka 2017, Tundu Lissu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA taifa upande wa Tanganyika ameeleza mambo mengine mengi yakiwemo;
1. Maoni yake juu ya ziara za Paul Makonda mwenezi wa CCM mikoani.
√ Huyu ni kivuli au photocopy ya John P. Magufuli. Tofauti ni kuwa, Magufuli alikuwa na dola. Huyu anafanya kwa kivuli cha Rais Samia Suluhu Hassan.
√ Kama CCM wameamua kumtumia mhalifu aliyepaswa kuwa gerezani ili kukifufua chama Chao kilichokufa, basi ni wazi hakuna chama hapa!!
2. Madai ya kuwa ana uraia wa ubelgiji.
√ Amesema, wasemao hivyo ni watu wasio na akili timamu...
√ Na mtu anayemuuliza swali sanasana anakuwa tu anajidhalilisha yeye
3. Madai kuwa ameoa mzungu.
√ Kwanza alicheka sana. Na kisha akasema amemsikia Paul Makonda akisema hayo. Akajiuliza huyu mwanaume mwenzake mbona ana wivu? Anataka nini toka kwake (Lissu)?##Tazama na fuatilia mahojiano haya ya dakika 23:33 ujifunze na kujua mengi zaidi juu ya nchi hii na utawala wa CCM..
Tangu lini Polisi wana mamlaka ya kushitaki watu?..ni kesi ya jinai.
..polisi ndio wenye mamlaka kisheria kushtaki watuhumiwa wa makosa ya jinai.