Video - Interview ya Tundu Lissu: Afafanua kwa ufasaha zaidi uhusika wa Paul Makonda kuratibu jaribio la kumuua kwa risasi Septemba, 2017

Amekwenda polisi kushtaki kiwa fulani alitaka kuniua ? Au kila siku ni kwenye media tu?

Namkubali Lissu, ila katika hili hebu atake next step sio kulia lia tu, aende polisi, awape maelezo yake, kisha tuone polisi watamkataa au lah, sasa kubaki na assumptions kibao na hataki kutoa ushirikiano kwa jeshi la polisi inaonekana kama anatumia tatizo kupata milage ya kisiasa tu
 
Hilo lijamaa limekalia kulalamika kila siku. Sasa kama lina ushahidi kwa nini lisimshtaki Makonda?
Wewe ni mtu mwenye Magonjwa Mtambuka na mengine unayo kwenye ubongo. Usingeandika tusingejua ugonjwa wako.

Kesi ya jinai hufunguliwa na Jamhuri, Lissu, Dreva wake na mwingine yeyote hubakia kuwa mashahidi wa upande wa Jamhuri
 
Tangu lini Polisi wana mamlaka ya kushitaki watu?
Mkuu,jinai yoyote lazima ipitie polisi,halafu ndo kisha hupeleka mahakani kwaajili ya mashauri kusikilizwa.
 
Unaijua sheria ya makosa ya jinai?

Unajua nani hupeleka kesi mahakamani?

Bila shaka wewe kadhi Mkuu ndiye hasa mpumbavu na mjinga kwa sababu huyajui mambo haya yanavyokwenda..

Ungekuwa si mjinga usingetoa hoja hii..
Hii nchi ina majinga mengi sana yanayomiliki simu za mkononi.alafu yanajifanya yanajua mambo kumbe majinga.Yako mengi sana huku mitandaoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
uongeaji wa uswahilini kabisa 🐒

R.I.P Laigwanan comrade ENL
Sidhani kama CCM imekufa ila watu wanatakiwa kufahamu kuwa ina sura tofauti za kisiasa ambazo huzitumia kwa kulingana na upepo na mazingira ya kisiasa yalivyo nchini na duniani.
1. FISI/MBWEHA/VIRUSI-Tamaa, chuki, wivu, inda, ulafi, ufisadi, ukosefu wa maadili
2. SIMBA/NYEGERE-ujasiri, ukatili, sifa, upole kwa viumbe vinyonge, uthubutu, ukweli, uwazi, kutamani matokeo sio wingi, kuhofiwa
3. CHUI/NYOKA-Unafiki, uviziaji, uchoyo, kuwindana kwa nia ya kunyang'anya, sifa, kubadili rangi, soni machoni lakini ni wauaji wakubwa

Kila mtawala aliyewahi kuongoza nchi kupitia CCM ametokana na moja ya makundi yenye sifa na hulka za wanyama tajwa hapo juu.
 
umeongea kitu kizito sana chenye maana na mantiki kisiasa purely 💪👏🐒

Mifano ndio ya kipanyarodi na kijambazi haina maana na imedhoofisha darasa la elimu ya sayansi ya siasa...

R.I.P Laigwanan comrade ENL
 
Maana yake makosa yote ya jinsi yapo yapo chini ya Dpp.ikizidi ni usalama wausike
 

..Polisi tayari wanazo taarifa kuwa Lissu alishambuliwa.

..Na Polisi walishafika eneo aliposhambuliwa Lissu na walichukua vielelezo toka eneo la tukio.

..Moja ya vielelezo walivyochukua Polisi ni gari aliyokuwa akitumia Tundu Lissu.

..Suala hili limeshapita hatua ya Polisi kupewa taarifa ama na Lissu, au walioshuhudia yukio.

..Kinachoonekana sasa hivi ni Polisi kutokutimiza wajibu wao wa kuchunguza na kuwakamata waliohusika.

..Jaribio la kutaka kumuu Lissu lina miaka 6 tangu litokee. Polisi wanapaswa kutoa majibu.
 
Usipende kuachia mambo yako kwenye mikononya watu wengine, Polisi walisema wamemtumia wito Tal Wa kwenda kumuhoji, alienda ? Anasema ana ushahidi wa kuhusika makonda, kaupeleka polisi? Asibaki kulia kwenye media bila kufanya kitu, anatoa room kwa watu kusema anatafuta kiki tu,

Kama anajua makonda kahusika atoe ushahidi hadharani kama hawaamini polisi, other than that ni anatafuta milage tu
 

..Polisi ndio wanaotaka kumuachia Lissu majukumu yao.

..Kutafuta na kukusanya ushahidi na kuwakamata waliohusika sio jukumu la Lissu, ni jukumu la Polisi.

..Lissu analalamika mitaani kwasababu hajatendewa na hatendewi haki ktk suala lililomtokea.

..Tunaelekea mwaka wa 7 tangu ashambuliwe.

..Polisi wafanye kazi yao, vinginevyo tunaamini wako upande wa waliomshambulia Lissu.
 
Watanzania tunataka kiongozi anayegusa maisha ya kila Mtanzania,sio mtu kutwa anajisemea mwenyewe kama anavyofanya Lissu.
 
Mtaji wa ccm ni ujinga na umaskini wa wananchi wake.

Nchi ingekua na wasomi wengi toka miaka hiyo, tusingekua hapa hii leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…