Video : Iwe fundisho kwamba kujipendekeza hakusaidii chochote , ewe mtumishi wa umma tenda haki

Video : Iwe fundisho kwamba kujipendekeza hakusaidii chochote , ewe mtumishi wa umma tenda haki

Kipato chake kimetetereka ?
Mshahara serikalini si kitu sana kwa wakubwa/vigogo, bali madaraka/vyeo vyenye marupurupu ndio huwatoa wakubwa na si mishahara.

Mishahara inasaidia tu watu kukopa hela nyingi zaidi kutoka kwenye mabenki na taasisi zingine za kifedha na ukishakopa, mshahara(take home) teyari imepungua mpaka deni liishe na hapo inategemea umechukua mkopo wa muda gani.

Tena kumbuka wenye madaraka/vyeo vikubwa hata vitu kama nyumba,umeme na maji wanalipiwa na serikali.
 
Mshahara serikalini si kitu sana kwa wakubwa/vigogo, bali madaraka/vyeo vyenye marupurupu ndio huwatoa wakubwa na si mishahara.

Mishahara inasaidia tu watu kukopa hela nyingi zaidi kutoka kwenye mabenki na taasisi zingine za kifedha na ukishakopa mshara(take home) teyari imepungua mpaka deni liishe.
Hawezi kukuelewa huyu...
 
Back
Top Bottom