Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #41
kwenye gwaridekapelekwa wapi uyo shabiki wa CCM?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwenye gwaridekapelekwa wapi uyo shabiki wa CCM?
Unajua privileges za RPC wewe ???Kipato chake kimetetereka ?
Alianzia kujidhalilisha MwanzaHuyu RPC huenda hadi kufikia hapo alipo alishafanya mengi ya kujidhalilisha. Hata ukimuangalia tu ni kazee fulani hivi ka shida shida kasiko jiamini kabisa!
sasa mnafaidika nini mkifurahia mtu kuhamishwa kituo cha kazi au kupangiwa kazi nyingine, mshahara na marupurupu bado yapo pale pale..
tafakari
Huyo mzee sometimes huwa namwona anauza sura starTV kama mchungaji wa kanisa la sabato kule Bunda, sasa sijui sheria zao za jeshi zinaruhusu kukata mauno ukiwa umevaa uniform, au ndo ile kunogewa na madaraka una act uchizi hadi unapitiliza....