Video : Iwe fundisho kwamba kujipendekeza hakusaidii chochote , ewe mtumishi wa umma tenda haki

Kwani alitumwa na nani ?
 
Kipato chake kimetetereka ?
Mshahara serikalini si kitu sana kwa wakubwa/vigogo, bali madaraka/vyeo vyenye marupurupu ndio huwatoa wakubwa na si mishahara.

Mishahara inasaidia tu watu kukopa hela nyingi zaidi kutoka kwenye mabenki na taasisi zingine za kifedha na ukishakopa, mshahara(take home) teyari imepungua mpaka deni liishe na hapo inategemea umechukua mkopo wa muda gani.

Tena kumbuka wenye madaraka/vyeo vikubwa hata vitu kama nyumba,umeme na maji wanalipiwa na serikali.
 
Hawezi kukuelewa huyu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…