Video : Iwe fundisho kwamba kujipendekeza hakusaidii chochote , ewe mtumishi wa umma tenda haki

Tena amehurumiwa sana, alitakiwa afukuzwe kazi kabisa atumbukie CCM mzimamzima kushika nafasi ya marehemu Komba akanengue viuno vyake huko.
 
Huyo mzee sometimes huwa namwona anauza sura starTV kama mchungaji wa kanisa la sabato kule Bunda, sasa sijui sheria zao za jeshi zinaruhusu kukata mauno ukiwa umevaa uniform, au ndo ile kunogewa na madaraka una act uchizi hadi unapitiliza....
 
Ni maarufu kwa jina la askofu.

Ila usisahau hata yule boss mkuu wa Usalama mstaafu alikua ni mchungaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…