Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii itatokea tu endapo wewe ni mlevi na huna hela.Huko Kilimanjaro ukifaya kosa utapigwa viboko vya kutosha mbele ya mama yako, mkeo, watoto wako na jamii kwa ujumla, ili iwe fundisho.
View attachment 3183553
2017 tulimnyoosha mjomba alipeleka mzigo mjini Hela akachezea kamari akawa anakwepa kurudi home walifanya maarifa wakamdaka wakampeleka home alichezea fimboKilimanjaro kumekua na vijana wa ovyo mno wanaokunywa pombe chafu, hao ni kuwatandika fimbo za kutosha mpka akili ziwakae sawa safi sana,akina masawe mliotuwakilisha kuwanyoosha hao goigoi, mhm ila hii lafudhi ni wachaga wa wapi ?
Jamani 🤣🤣🤣🤣2017 tulimnyoosha mjomba alipeleka mzigo mjini Hela akachezea kamari akawa anakwepa kurudi home walifanya maarifa wakamdaka wakampeleka home alichezea fimbo
Mjomba ni mama ujue😁😁😁😁2017 tulimnyoosha mjomba alipeleka mzigo mjini Hela akachezea kamari akawa anakwepa kurudi home walifanya maarifa wakamdaka wakampeleka home alichezea fimbo
Upumbavu wa HAI kwao kina bwashee johnthebaddest bapistHuko Kilimanjaro ukifaya kosa utapigwa viboko vya kutosha mbele ya mama yako, mkeo, watoto wako na jamii kwa ujumla, ili iwe fundisho.
View attachment 3183553
Moshi pale kibosho 1Kilimanjaro kumekua na vijana wa ovyo mno wanaokunywa pombe chafu, hao ni kuwatandika fimbo za kutosha mpka akili ziwakae sawa safi sana,akina masawe mliotuwakilisha kuwanyoosha hao goigoi, mhm ila hii lafudhi ni wachaga wa wapi ?
Hio ni kwa Wapare tu makabila mengine mjomba hapewi heshima hio ila kwa Wapare ukiwa mjomba ni title kubwaMjomba ni mama ujue😁😁😁😁
Hata wachaga ila uwe na hela kwanza😁Hio ni kwa Wapare tu makabila mengine mjomba hapewi heshima hio ila kwa Wapare ukiwa mjomba ni title kubwa
Hayo maneno nimemsikia akiyasema mchungaji mmoja anaevizia kupewa LC300 km yule Shekhe wa ArushaNaipongeza Serikali ya awamu ya sita.
Hakuna Mjomba asie na Mawe kwa Wapare Wajomba wote wamejaa mawe mengiHata wachaga ila uwe na hela kwanza😁