Video: Jamaa atandikwa viboko kwa kosa la kumpiga mama yake mzazi.

Video: Jamaa atandikwa viboko kwa kosa la kumpiga mama yake mzazi.

Huko Kilimanjaro ukifaya kosa utapigwa viboko vya kutosha mbele ya mama yako, mkeo, watoto wako na jamii kwa ujumla, ili iwe fundisho.
View attachment 3183553
Hawana AKILI mtoto akimpiga mzazi wake au hata kumuua kwangu mimi huyo mtoto hana kosa ....ningekuwaa rais ningeweka sheria kabisa yoyote atakaye pigwa na mtoto wake au kuuliwa na mtoto wake huyo mtoto hanakosa lolote yaani hakuna kosa wala kesi .....ila hapa JF kuna watu wenye ubongo mdogo sana wataniona mpumbavu....kumbe wao ndiyo wapumbavu.
 
Ukirudia tunakupeleka makeresa, hela ni za kwetu.

Wamemnyoosha, tena wangeongeza na viboko vyangu
Mzazi akipigwa au hata kuuliwa na mtoto wake hapo mpumbavu ni huyo mzazi kwa asilimia 100% ...kuna lile tukio la binti kuua mama yake mzazi na aliachwa huru nili furahi sana ...hivyo ndivyo inavyo takiwa ....kumshitaki au kumfunga jela mtoto kisa kaua au kampiga mzazi wake ni KOSA KUBWA SANA TENA KUBWA SANA
 
Mzazi akipigwa au hata kuuliwa na mtoto wake hspo mpumbavu ni huyo mzazi kwa asilimia 100% ...kuna lile tukio la binti kuua mama yake mzazi na aliachwa huru nili furahi sana ...hivyo ndivyo inavyo takiwa ....kumshitaki au kumfunga jela mtoto kisa kaua au kampiga mzazi wake ni KOSA KUBWA SANA TENA KUBWA SANA
Tema mate chini, yasikukute
 
Back
Top Bottom