Video: Je, hiki ndio kimesababisha Kemikimba, Katibu Mkuu Wizara ya Maji kutenguliwa?

Podium ndio nini
 
na hata kama boss mwanaume anakuchukia unabeba demu mkali anaemtaka ila kama unapiga kazi hufukuzwi na hakuonei na cheo utapanda
sio wote mkuu. Nimeshakutana na hivyo vitimbi chuo na kazini! Kuna maboss ni wadhaifu sana kwa hizi pisi aisee...
 
Acha kupotosha
 
Huyu hastahili kuwa kiongozi. Mbona kuletewa ki note wakati unazungumza ni jambo la kawaida sana? Wanaletewa vi note hati kina Bidden, Trump na Obama? sembuse yeye? Yeye nani?
Nimewaangalia Kiumakini hao akina Biden, Trump na Obama kama walishawahi nao kupewa Vikaratasi wakiwa Wanahutubia katika Podiums zao sijaona ila kama una Video ya Ushahidi wa ulichokisema tafadhali niwekee / tuwekee hapa ili tukuamini.

Nijuavyo ( kama GENTAMYCINE ) kwa Kiongozi kuletewa Kikaratasi ukiwa Unahutubia katika Podium ni uthibitisho tosha kuwa huaminiki, msahaulifu, mbabaishaji, hujui Kitu, utakosea mbele ya Safari kwa Kubwabwaja Kwako kwingi Jukwaani na huna Akili ( Popoma ), ila basi tu upo upo.
 
Kwani alikuomba kuwa katibu mkuu? Ulivyomshusha umemuondolea elimu yake? Muogope Mungu peke yake!
Bwana eeeh…atutokee hapa kwani yeye tu ndio anatakiwa kuwa KM!? Haya Katumbuliwa….kazi si zinaendelea!? Yeye ameonyesha dharau mbele ya Watumishi wenzake kwa kujiona bora zaidi…Kumbe ukweli ni kuwa yeye ni TAKATAKA tu…Haya sender kuyafokea matoto yake nyumbani uone kama tutamjadili hapa.
 
Ki-note ni kitu cha kawaida sana. Unless wewe upo porini na hauna utaratibu wa kufanya mikutano ya hadhara ama ya kibishara, kidini au kiserikali.
 
Upo sahihi 100%
 
Tupunguzie pumba humu jukwaani
 
Hamjui hata chanzo halisi mko kumjudge
Wewe nenda katafute chanzo…Sio kazi yetu hiyo. Kazi yetu ni kukomenti tunayotaka kwa kutukia bundle zetu. Wewe uzuiliwi kumsifia huyo mal*y* kama unataka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…