Video: Je, hiki ndio kimesababisha Kemikimba, Katibu Mkuu Wizara ya Maji kutenguliwa?

Hawa viongozi hawakulelewa kuwa viongozi ndio shida moja ya Tz na ndio maana hawajitambui!
Kuna yule RC aliyekuwa anatukana watu kwenye soko moja! Hata kama walifanya vurugu yale sio maneno ya kiongozi kusimama jukwaani na kuanza kutukana watu kama uko klabu za komoni au ulansi!
 
🤣🤣🤣🤣🤣
Kujimwambafy ni usengeh sana.
Sasa hyo ilikua shida kubwa hadi kususa??
Wanawake ni mama zetu, lkn baadh yao hua wakuda.. kama huyo hapo.
Swali la kizush, hua wakitenguliwa wanapelekwa wapi?
Atapangiwa kazi nyingine yenye ngazi ya mshahara sawa na aliyotolewa ndivyo mara nyingi inavyokuwa na ndo uzuri/udhaifu wa ajira za serkalini haribu bodi ya pamba utapelekwa bodi ya kahawa, ukiharibu tena ya kahawa utapelekwa bodi ya sukari🤣🤣
 
Sijui nini kimemkuta huyu mama utafikiri amepewa jini 😀😀 au barua ya kuombwa uchumba na kichaa.

Kwa sifa za kuwa kiongozi hata uwe streessed ukiwa mbele za watu unapaswa ku behave tofauti kwa ethics za kiuongozi.
Pole kwa mfanyakazi na pole kwake katibu mkuu wa wizara somo limeeleweka.

Tuheshimu watu wote ili pia tuheshimiwe. Uongozi ni dhamana kuwa mold na loyal iwe sehemu ya maisha.
 
Mm ndiye nilipeleka hicho kinoti kwa huyo mama, kiliandikwa hivi --wewe mama toka hapo kwenye podium waongee watu. Wewe huna hoja usitupotezee muda."
Ujasiri wa kitu iliyofichwa ndani ya rizzler au sio?🤣🤣🤣

Ungekua umeamkia chai kwa kiporo cha kande za nazi wala usingethubutu walah
 
Ninasema na ninarudia tena, Hawa wa aina hii siku ya ijumaa hawawatakagi kuwaongoza.
Hata utendaji kazi wao ni wa ajabu.
 
Inategemea memo imesemaje, labda imempa maelekezo ambayo hakubaliani nayo
Kuna watu pale ni wanausalama hata kama hakubaliani anatakiwa avunge akadili nao chamber sio hadharani vile...eti Mimi naongea unaniletea memo! As if ni ajabu kuletewa memo kiongozi akiwa anaongea....Tena ilitakiwa kama hakubaliani nayo wengine wasijue
 
Huyu hastahili kuwa kiongozi. Mbona kuletewa ki note wakati unazungumza ni jambo la kawaida sana? Wanaletewa vi note hati kina Bidden, Trump na Obama? sembuse yeye? Yeye nani?
Utamaduni wa kupeleka kimemo wakati mtu anaongea ni wa kijinga ni km unamfundisha aongee nini..mwache mtu aongee yake aliyopanga, km atakosea au kusahau yote hiyo ni juu yake! Hata ule utamaduni wa kutembeza vimemo bungeni ni wa hovyo..kila mtu yupo hapo kusema anachojua yeye ni sawa na si kusema kutokana na memo umeletewa na mwingine..hakuna bunge au kikao cha aina hiyo nchi zingine kutembeza vimemo muda wote wakat wa kikao..hayo ni maigizo hakuna kikao hapo!
 
Kwani kimemo maana yake ongea hiki? Unaweza ukawa unaambiwa nguo yako haijakaa vizuri au unakuwa updated juu ya jambo ulilolisema
 
No..wengine hawajalelewa kwenye tabia za kinafiki, anapaswa kuheshimiwa pia msimamo wake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…