Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukisikia miungu watu ndiyo hao mkuu yupo mwingine pale ElimuHuyu hastahili kuwa kiongozi. Mbona kuletewa ki note wakati unazungumza ni jambo la kawaida sana? Wanaletewa vi note hati kina Bidden, Trump na Obama? sembuse yeye? Yeye nani?
Kwanza ili awe kwenye mood yake kile kimemo.angekiweka.kwa.mfuko baadae akisome wakat akiwa ametulia,lazima ucheze na akili za watesi wako,today angekuwa safe na watesi wanaliaThe issue is not about the content or context of the memo but the place and reaction after receiving it!
No matter kimemo kilikuwa na habari za kukera kwa kiwango gani; hakutakiwa ku-behave vile, pale, wakati ule, mbele ya wale!
Right things, at the right time, and right place! Amekwama kwenye Hilo.
Huenda ni mtata anasusa kupokea kitu chakeTujitahidi kuwapa good sex majumbani ili waende kazini wako relaxed
Huyo amejaa upepo kwakuwa na yeye ni viongozi wakutukuzwa!Kwani kimemo maana yake ongea hiki? Unaweza ukawa unaambiwa nguo yako haijakaa vizuri au unakuwa updated juu ya jambo ulilolisema
NAKAZIAWanawake ni mama zetu, lkn baadh yao hua wakuda
Uko sahihi sana mkuu nakumbuka Mh. Jumanne Sagini kwa sasa mbunge wa Butiama alitenguliwa kuwa Katibu Mkuu Tamisemi na Magufuli akapelekwa kuwa RAS simiyu na salary yake ikiwa ileile🙏🙏.Anaweza hata kuwa Ras Mkoani ila salary ni hiyo hiyo ya Katibu Mkuu.
Serikali ilitaka ilete Mapendekezo ukitenguliwa na stahiki zako ikiwemo salary vinashushwa kulingana na kazi Yako ya kimuundo ya awali Watumishi na Wanasiasa walipinga sana hii Bungeni,ikawa imeisha kimya kimya.
Mnapenda ufalme wa kipumbavu tu, kama aliyeleta note alitumwa na akaandika lazima note itaanza mathalani, "...samahani mkuu, bosi anaomba ufupishe mazungumzo.." hapa unamkasirikia mjumbe au bosi wako?Usikimbilie kuhukumu bro! Ki note kilikuwa kinasemaje?
Je aliyekipereka ana cheo gani? Alitumwa na nani?
Mfano wewe kama mfanyakazi wa kawaida kwenye kampuni, huwezi kukurupuka ukapeleka ki note wakati CEO anaongea, wapo viongozi wa karibu na CEO, MD, HR,CFO, kama una ishu pitisha kwako!
Hata kwenye kampuni zetu ndogo za bongo, sio kila MTU anaweza kujiingilia kwenye ofc ya mkurugenzi, hata kama hayupo,
Mipaka lazima iwepo,
Sasa wewe boss wako anaongea, unakurupuka kumpelekea ki note!
Kwenye taasisi zetu hz, kuna wafanyakszi wana vieleele Sana,
Katibu mkuu, ni msomi, technocrat, sio politicians,
And technocrats, takes no shit from anybody
Unatukanwaje katika mazingira yale?Kama alindikiwa Kimemo cga Kutukanwaa ndo avumilie kisaa Amepewa Cheo????
Angekuwa anapata good sex wala asingefanya hivyo.Huenda ni mtata anasusa kupokea kitu chake
Hakuna uhusianoAngekuwa anapata good sex wala asingefanya hivyo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kumbe!Punguz Blaaa blaaa Katibu, Waziri anataka kuzungumza aende kwny ratiba zingine
Nachompendeaga Mhe. Makongoro Nyerere hivyo vimemo uwa anapewa sana akiwa jukwaani hata mbele ya Rais. Utamsikia "naona hapa nimeambiwa muda umekwisha sasa namalizia la mwisho kabisa" then watu wanacheka....anaendelea Ha ha ha!Huenda ana tatizo la "inferiority complex".
Hata kama kakosewa kupelekwa kimemo, asingeonesha hasira zake hadharani kwa kuitupa. Angekaa nayo na baada ya huo mkusanyiko angefuatilia kwa mujibu wa miongozo stahiki.