KERO Video: Je, ingekuwa wewe ndo abiria wa hili basi ungechukua uamuzi gani?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Inasikitisha kuona jinsi baadhi ya madereva wanavyocheza na maisha ya abiria barabarani. Sekunde moja tu ya kupoteza umakini kwa ajili ya kutazama simu inaweza kuleta janga kubwa na kupoteza roho za watu wasio na hatia.

Yaani jamaa icha ya kushtukiwa na kuelezwa bado anamshipa wa kujibizana kwa kiburi, jamani tuwe makini sana barabarani haijalishi una uzoefu wa muda gani lakini kosa moja tu inaweza kubadili historia.

Ukimuangalia huyu dereva hata mkanda hajafunga, nabaki najiuliza kwenye vile vituo vya ukaguzi huwa hawaangalii haya?

Je, ingekuwa wewe ndo abiria wa hili basi ungechukua uamuzi gani?

Huyu anatakiwa akamatwe na kufutiwa kabisa leseni ya udereva,ni mtu mjinga na ana ujeuri wa kijinga,

Alitakiwa awasikilize abiria wake na kuwaomba msamaha,hajui kua hiyo clip inaweza kumletea matatizo makubwa sana kama sheria itafuatwa dhidi yake,

Huwezi ukabeba roho za watu kisha ukawa una chat na simu,hata mkanda hajafunga,huyu hana sifa ya kuitwa Dereva.
 
Inasikitisha kuona jinsi baadhi ya madereva wanavyocheza na maisha ya abiria barabarani. Sekunde moja tu ya kupoteza umakini kwa ajili ya kutazama simu inaweza kuleta janga kubwa na kupoteza roho za watu wasio na hatia.

Yaani jamaa icha ya kushtukiwa na kuelezwa bado anamshipa wa kujibizana kwa kiburi, jamani tuwe makini sana barabarani haijalishi una uzoefu wa muda gani lakini kosa moja tu inaweza kubadili historia.

Ukimuangalia huyu dereva hata mkanda hajafunga, nabaki najiuliza kwenye vile vituo vya ukaguzi huwa hawaangalii haya?

Je, ingekuwa wewe ndo abiria wa hili basi ungechukua uamuzi gani?
Ajali nyingi bongo ni uzembe kama huu
 
Wakati mwingine wanafungwa akili ili kafara ifanyike bila hata wao kujua yeye anaona sawa so abiria pia wao ni sehemu ya safari huwa baadhi nao hufungwa akili ,ni muhimu kukumbushana dunia hii mambo ni mengi na magari nayo ni ya maboss wenye tamaa za mali
 
Weka namba ya gari na safari inayofanya. Haya ndiyo mambo ya kufatilia sasa
 
Aisee bora angekua anaongea na simu anachokifanya hapo ni hatari sana ilitakiwa uombe asimamishe gari kuliko kuendelea kuendesha huku anachezea simu anaweza kuwatupa mtoni aisee anatumia mkono wa kushoto kuendesha gari aisee..
 
Huyu Dereva mpumbavu sana.

Wanafanya vitu vya ajabu mwisho wa siku wanakuja kuua watu halafu wanasingizia barabara mbovu.

Madereva kama hawa unafungia leseni maisha yake yote arudi akalime.
Wakulima tunajisikia vibaya sana mkuu, yaani tunaonekana ni watu wa mwisho kabisa, na ni kama tunafanya kitu kisicho na maana. Mnatuchukuliaje aisee?
 
Wakati mwingine wanafungwa akili ili kafara ifanyike bila hata wao kujua yeye anaona sawa so abiria pia wao ni sehemu ya safari huwa baadhi nao hufungwa akili ,ni muhimu kukumbushana dunia hii mambo ni mengi na magari nayo ni ya maboss wenye tamaa za mali
Maswa, swax, waging'ombe, mufindi, buchosa, rorya, mkalama, mpapwa, kilosa, masasi, namtumbo, tunduru au Mpanda mojawapo hapo ndio kwenu maana mnaamini sana ulozi
 
Back
Top Bottom