KERO Video: Je, ingekuwa wewe ndo abiria wa hili basi ungechukua uamuzi gani?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Aisee bora angekua anaongea na simu anachokifanya hapo ni hatari sana ilitakiwa uombe asimamishe gari kuliko kuendelea kuendesha huku anachezea simu anaweza kuwatupa mtoni aisee anatumia mkono wa kushoto kuendesha gari aisee..
Tena Basi kubwa kama hilo watu 55 plus.
Mie gari dogo tu nikiweka simu na kutoa taarifa kuwa niko safarini.
Utaona simu yangu nikisimama huku kununua vitu au kuchimba dawa nje na hapo..kimewahi nilamba...
Chombo chochote cha moto hakina mwenyewe ukilijua hilo adabu lazima iwepo.

Hiyo barabara ni mbaya sana ya Mwanza to Tarime-Nyamongo.
 
Huyu anatakiwa akamatwe na kufutiwa kabisa leseni ya udereva,ni mtu mjinga na ana ujeuri wa kijinga,

Alitakiwa awasikilize abiria wake na kuwaomba msamaha,hajui kua hiyo clip inaweza kumletea matatizo makubwa sana kama sheria itafuatwa dhidi yake,

Huwezi ukabeba roho za watu kisha ukawa una chat na simu,hata mkanda hajafunga,huyu hana sifa ya kuitwa Dereva.
Tayari
IMG_3662.jpeg
 
Nimeona kakamatwa na kufungiwa leseni yake miezi sita huyo ilitakiwa wa kuondolewa bara barani kafanye shughuli zingine sheria za makosa ya bara barani Tanzania ni rahisi sana au anashushwa madaraja akaendeshe gari ndogo D huko..
Anafungiwa miezi sita harafu arudi tena kuchart aisee..
 
Mkuu, adhabu ni kwa ajili ya kufundisha, sio kukomoa. Kwa kuwa hajasababisha ajali, anaadhibiwa kwa miezi hiyo 6 na akirudi na kuendelea tena, linakua kosa linalojirudia ndio anapewa adhabu nyingine.
 
Kwa ajali za kizembe za Tanzania wachukue tu leseni wapo madereva wenye maadili watafanya hiyo kazi imekua ni kawaida eti bus kwa safari fupi fupi tu unasikia imeua watu aisee si uzembe huo watu wakipanda hizo bus wanakua na hofu balaa kama wamepanda chombo chenye bomu ndani yake.
 
Nimeona kakamatwa na kufungiwa leseni yake miezi sita huyo ilitakiwa wa kuondolewa bara barani kafanye shughuli zingine sheria za makosa ya bara barani Tanzania ni rahisi sana au anashushwa madaraja akaendeshe gari ndogo D huko..
Anafungiwa miezi sita harafu arudi tena kuchart aisee..
Mzee huku barabarani vichaa wengi sana
 
Hio alarm inalia muda wote ina maana anaenda juu ya mwenso elekezi. Mabasi na malori yanaemdeshwa na kundi la watu wapumbavu sana ndio maana ajali kila mara zinatokea.
 
Maroli wapo vizuri sana ni wachache wakorofi kuliko hawa wa mabus wao ndio wanatanua muda wote ili bus lipite huku ana overtake bila kuwa na uhakika wa kumaliza.
 
Huyu anatakiwa akamatwe na kufutiwa kabisa leseni ya udereva,ni mtu mjinga na ana ujeuri wa kijinga,

Alitakiwa awasikilize abiria wake na kuwaomba msamaha,hajui kua hiyo clip inaweza kumletea matatizo makubwa sana kama sheria itafuatwa dhidi yake,

Huwezi ukabeba roho za watu kisha ukawa una chat na simu,hata mkanda hajafunga,huyu hana sifa ya kuitwa Dereva.
Napenda sana Madereva wa MACHAME INV walivo Smart na wako makini na kazi zao. Ulishawahi sikia basi là MACHAME INV imepata ajari??
 
Wapo vizuri sana ila bus nyingi wakioata ajali kama abiri hawajatangaza hata hao vikosi vya Usalama bara barani usitegemee wao kutangaza rushwa na bus linafunikwa turubai kubwa.
 
Inasikitisha kuona jinsi baadhi ya madereva wanavyocheza na maisha ya abiria barabarani. Sekunde moja tu ya kupoteza umakini kwa ajili ya kutazama simu inaweza kuleta janga kubwa na kupoteza roho za watu wasio na hatia.

Yaani jamaa icha ya kushtukiwa na kuelezwa bado anamshipa wa kujibizana kwa kiburi, jamani tuwe makini sana barabarani haijalishi una uzoefu wa muda gani lakini kosa moja tu inaweza kubadili historia.

Ukimuangalia huyu dereva hata mkanda hajafunga, nabaki najiuliza kwenye vile vituo vya ukaguzi huwa hawaangalii haya?

Je, ingekuwa wewe ndo abiria wa hili basi ungechukua uamuzi gani?
Natoka Singida nakwenda Dodoma nikapanda gari inatoka Mwanza inakwenda Dar mida ya saa 1 usiku

Aisee dereva kaweka simu mbele kabisa anaangali game ya Simba ……,,, uzalendo ukaniahinda nikamuita konda kistaarabu kabisa nikamwambia hii sio sawa mwambie dereva wako atoe simu hapo mbele anaweza kusababisha ajali

Konda alivyokua kiburi hakumwambia dereva akaenda akakaa kwenye siti yake kimyaaa

Ikabidi nimwambie dereva tunaomba uzime hiyo simu, akatoa majibu kama ya huyu dereva kwamba ni mzoefu anajua anacho fanya

Bahati nzuri kulikua na akina mama kumbe nawao walikua wanahofu wanaogopa kusema, baada ya dereva kujibu utumbo aisee walicharuka hao hadi akaizima simu
 
Back
Top Bottom