leo umetoa muongozo
Yuko lockupHuyu kwa nini LATRA wasimdake na afutiwe leseni?
Huku unakuta bus linatoka Lusaka mpaka Jhb au Harare to Jhb kusikia ajali ni nadra sana unapanda bus ukimuomba Mungu hata usingizi unapata bus za bongo sasa brake kali kila dakika kama wanaendesha Meli aisee safari fupi ila ajali za kutosha nikiacha gari Tunduma kwa ajili ya kodi napopanda Bus naumia sana muda mwingine nikiwa nipo ok naenda Songwe naruka tu..Mzee huku barabarani vichaa wengi sana
Wangemfutia leseni na wamwache atembee tu akaanze shughuli ingine kufatilia hiyo leseni iwe sawa ni zaidi ya jela.Yuko lockup
Weka na ubovu wa barabara ndio ukichaa pro max unakuja.Huku unakuta bus linatoka Lusaka mpaka Jhb au Harare to Jhb kusikia ajali ni nadra sana unapanda bus ukimuomba Mungu hata usingizi unapata bus za bongo sasa brake kali kila dakika kama wanaendesha Meli aisee safari fupi ila ajali za kutosha nikiacha gari Tunduma kwa ajili ya kodi napopanda Bus naumia sana muda mwingine nikiwa nipo ok naenda Songwe naruka tu..
Akili na mawazo ya kiafrika bhana.....eti amefungwa akili 🤣🤣Wakati mwingine wanafungwa akili ili kafara ifanyike bila hata wao kujua yeye anaona sawa so abiria pia wao ni sehemu ya safari huwa baadhi nao hufungwa akili ,ni muhimu kukumbushana dunia hii mambo ni mengi na magari nayo ni ya maboss wenye tamaa za mali
wakati huo gari ikiwa kwenye mwendo?Ningemchapa makofi mpaka akili imkae sawa
Inasikitisha kuona jinsi baadhi ya madereva wanavyocheza na maisha ya abiria barabarani. Sekunde moja tu ya kupoteza umakini kwa ajili ya kutazama simu inaweza kuleta janga kubwa na kupoteza roho za watu wasio na hatia.
Yaani jamaa icha ya kushtukiwa na kuelezwa bado anamshipa wa kujibizana kwa kiburi, jamani tuwe makini sana barabarani haijalishi una uzoefu wa muda gani lakini kosa moja tu inaweza kubadili historia.
Ukimuangalia huyu dereva hata mkanda hajafunga, nabaki najiuliza kwenye vile vituo vya ukaguzi huwa hawaangalii haya?
Je, ingekuwa wewe ndo abiria wa hili basi ungechukua uamuzi gani?
Tayari six moonHuyu kwa nini LATRA wasimdake na afutiwe leseni?