Sote ni wakulima, ukulima ndio shughuli mama ya kiuchumi. Huko kwingine huwa tunaenda kutanua wigo, ndio maana tukishindwa tunarudi kwenye kilimo.Wakulima tunajisikia vibaya sana mkuu, yaani tunaonekana ni watu wa mwisho kabisa, na ni kama tunafanya kitu kisicho na maana. Mnatuchukuliaje aisee?
Wanging'ombe hakuna ulozi.Maswa, swax, waging'ombe, mufindi, buchosa, rorya, mkalama, mpapwa, kilosa, masasi, namtumbo, tunduru au Mpanda mojawapo hapo ndio kwenu maana mnaamini sana ulozi
Hapo nimefika tuu kwa shigongo huko kwingine ntajitahidi sana nifike kama ulivyofanikiwa kufika NakfaMaswa, swax, waging'ombe, mufindi, buchosa, rorya, mkalama, mpapwa, kilosa, masasi, namtumbo, tunduru au Mpanda mojawapo hapo ndio kwenu maana mnaamini sana ulozi
Tupige jembe boss viyoyozi vinauwaWakulima tunajisikia vibaya sana mkuu, yaani tunaonekana ni watu wa mwisho kabisa, na ni kama tunafanya kitu kisicho na maana. Mnatuchukuliaje aisee?
Weeee ule mji wa matofali ya kuchoma nimekaa igwachanya miezi saba nikaapa kutowahi kurudi labda kwa kuwa nilikuwa nagawa sana duduWanging'ombe hakuna ulozi.
Tena Basi kubwa kama hilo watu 55 plus.Aisee bora angekua anaongea na simu anachokifanya hapo ni hatari sana ilitakiwa uombe asimamishe gari kuliko kuendelea kuendesha huku anachezea simu anaweza kuwatupa mtoni aisee anatumia mkono wa kushoto kuendesha gari aisee..
TayariHuyu anatakiwa akamatwe na kufutiwa kabisa leseni ya udereva,ni mtu mjinga na ana ujeuri wa kijinga,
Alitakiwa awasikilize abiria wake na kuwaomba msamaha,hajui kua hiyo clip inaweza kumletea matatizo makubwa sana kama sheria itafuatwa dhidi yake,
Huwezi ukabeba roho za watu kisha ukawa una chat na simu,hata mkanda hajafunga,huyu hana sifa ya kuitwa Dereva.
Nimeona kakamatwa na kufungiwa leseni yake miezi sita huyo ilitakiwa wa kuondolewa bara barani kafanye shughuli zingine sheria za makosa ya bara barani Tanzania ni rahisi sana au anashushwa madaraja akaendeshe gari ndogo D huko..Tena Basi kubwa kama hilo watu 55 plus.
Mie gari dogo tu nikiweka simu na kutoa taarifa kuwa niko safarini.
Utaona simu yangu nikisimama huku kununua vitu au kuchimba dawa nje na hapo..kimewahi nilamba...
Chombo chochote cha moto hakina mwenyewe ukilijua hilo adabu lazima iwepo.
Hiyo barabara ni mbaya sana ya Mwanza to Tarime-Nyamongo.
Mkuu, adhabu ni kwa ajili ya kufundisha, sio kukomoa. Kwa kuwa hajasababisha ajali, anaadhibiwa kwa miezi hiyo 6 na akirudi na kuendelea tena, linakua kosa linalojirudia ndio anapewa adhabu nyingine.Nimeona kakamatwa na kufungiwa leseni yake miezi sita huyo ilitakiwa wa kuondolewa bara barani kafanye shughuli zingine sheria za makosa ya bara barani Tanzania ni rahisi sana au anashushwa madaraja akaendeshe gari ndogo D huko..
Anafungiwa miezi sita harafu arudi tena kuchart aisee..
Kwa ajali za kizembe za Tanzania wachukue tu leseni wapo madereva wenye maadili watafanya hiyo kazi imekua ni kawaida eti bus kwa safari fupi fupi tu unasikia imeua watu aisee si uzembe huo watu wakipanda hizo bus wanakua na hofu balaa kama wamepanda chombo chenye bomu ndani yake.Mkuu, adhabu ni kwa ajili ya kufundisha, sio kukomoa. Kwa kuwa hajasababisha ajali, anaadhibiwa kwa miezi hiyo 6 na akirudi na kuendelea tena, linakua kosa linalojirudia ndio anapewa adhabu nyingine.
Mzee huku barabarani vichaa wengi sanaNimeona kakamatwa na kufungiwa leseni yake miezi sita huyo ilitakiwa wa kuondolewa bara barani kafanye shughuli zingine sheria za makosa ya bara barani Tanzania ni rahisi sana au anashushwa madaraja akaendeshe gari ndogo D huko..
Anafungiwa miezi sita harafu arudi tena kuchart aisee..
Yaani angejishtukia mapema akaomba msamaha yasingefika huku. Basi gani ili?
Mwanza / NyamongoYaani angejishtukia mapema akaomba msamaha yasingefika huku. Basi gani ili?
Maroli wapo vizuri sana ni wachache wakorofi kuliko hawa wa mabus wao ndio wanatanua muda wote ili bus lipite huku ana overtake bila kuwa na uhakika wa kumaliza.Hio alarm inalia muda wote ina maana anaenda juu ya mwenso elekezi. Mabasi na malori yanaemdeshwa na kundi la watu wapumbavu sana ndio maana ajali kila mara zinatokea.
Napenda sana Madereva wa MACHAME INV walivo Smart na wako makini na kazi zao. Ulishawahi sikia basi là MACHAME INV imepata ajari??Huyu anatakiwa akamatwe na kufutiwa kabisa leseni ya udereva,ni mtu mjinga na ana ujeuri wa kijinga,
Alitakiwa awasikilize abiria wake na kuwaomba msamaha,hajui kua hiyo clip inaweza kumletea matatizo makubwa sana kama sheria itafuatwa dhidi yake,
Huwezi ukabeba roho za watu kisha ukawa una chat na simu,hata mkanda hajafunga,huyu hana sifa ya kuitwa Dereva.
Wapo vizuri sana ila bus nyingi wakioata ajali kama abiri hawajatangaza hata hao vikosi vya Usalama bara barani usitegemee wao kutangaza rushwa na bus linafunikwa turubai kubwa.Napenda sana Madereva wa MACHAME INV walivo Smart na wako makini na kazi zao. Ulishawahi sikia basi là MACHAME INV imepata ajari??
Natoka Singida nakwenda Dodoma nikapanda gari inatoka Mwanza inakwenda Dar mida ya saa 1 usikuInasikitisha kuona jinsi baadhi ya madereva wanavyocheza na maisha ya abiria barabarani. Sekunde moja tu ya kupoteza umakini kwa ajili ya kutazama simu inaweza kuleta janga kubwa na kupoteza roho za watu wasio na hatia.
Yaani jamaa icha ya kushtukiwa na kuelezwa bado anamshipa wa kujibizana kwa kiburi, jamani tuwe makini sana barabarani haijalishi una uzoefu wa muda gani lakini kosa moja tu inaweza kubadili historia.
Ukimuangalia huyu dereva hata mkanda hajafunga, nabaki najiuliza kwenye vile vituo vya ukaguzi huwa hawaangalii haya?
Je, ingekuwa wewe ndo abiria wa hili basi ungechukua uamuzi gani?