KERO Video: Je, ingekuwa wewe ndo abiria wa hili basi ungechukua uamuzi gani?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Mzee huku barabarani vichaa wengi sana
Huku unakuta bus linatoka Lusaka mpaka Jhb au Harare to Jhb kusikia ajali ni nadra sana unapanda bus ukimuomba Mungu hata usingizi unapata bus za bongo sasa brake kali kila dakika kama wanaendesha Meli aisee safari fupi ila ajali za kutosha nikiacha gari Tunduma kwa ajili ya kodi napopanda Bus naumia sana muda mwingine nikiwa nipo ok naenda Songwe naruka tu..
 
Weka na ubovu wa barabara ndio ukichaa pro max unakuja.
Watu wanakamiana kuwa Dar natumia masaa sita na experience ya kuendesha kwenye mazingira mabaya hatuna.
 
Akili na mawazo ya kiafrika bhana.....eti amefungwa akili 🤣🤣

Kwa mawazo kama haya tutakufa sana kizembe.
 
[QUOTE="Ravalomanana, post: 56
Weka na ubovu wa barabara ndio ukichaa pro max unakuja.
Watu wanakamiana kuwa Dar natumia masaa sita na experience ya kuendesha kwenye mazingira mabaya hatuna.
[/QUOTE]
Kwa nini wakamiane walitakiwa wajali usalama wa abiria kwanza mambo ya sijui bus kampuni fulani inafika ya kwanza bado ni ushamba sana huwa nashangaa bus linakimbiza watu au kuwaacha sehemu ya chakula ule ni ushamba pro max ukipanda mfano bus za Zimbabwe sehemu ya kula ni nzuri kweli hapo Masvingo na hakuna abiria ataachwa ingawaje abiria ni wengi wa bus tofauti ila atasubiriwa na wanatoa nusu saa maana wanajua wao wanatakiwa wafike Beit saa nne wanaenda na huo muda sio ukute bus zinawahi kufika Beit bridge zinaenda na max speed ya 80km/p na mnafika vizuri tu njoo kwetu sasa safari fupi tu mbio kama wanaenda jandoni kila kukicha.
Unakuta bus linagonga Bajaji au boda 20km toka safari imeanza aisee.
 

Watendaji wa serikali hasa maafisa usalama huwa wanajitokeza na masheria lukuki baada ya madhara. Kabla ya madhara mambo hayawahusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…