Video: Je, ni kwanini Nape Nnauye alitaka bwawa la Nyerere lizuiwe, ni kweli anapenda sana mazingira?


Kama ana uchungu asusie kuutumia huo umememe atafute mbadala wake
 
Kungekuwa na Mashindano ya Dunia ya Unafiki, Nape alitakiwa aiwakirishe Tanzania akisaidiawa na Kocha wake Mzee Makamba!!
😂🤣
Nimepapenda hapo patamu rudia tena kwa kasi ya 5G
 
Huyo ni mmojawapo wa watu wanaotakiwa kuuliwa haraka sana maana ni jambazi wa taifa kundi moja na Rostam azizi ambaye huyo rostam azizi ana ongoza kundi la raia feki serikalini kazi yao ni kuifanya serikali kuwa mali yao binafsi na kumuangamiza kila mzalendo kwa gharama yoyote.
 
Nape na January wana kampuni yao ya kuuza majenereta na solar panels
Nchi ni kubwa hii wakauze hizo jenereta na solar panels vijijini huko.

Hata mradi wa REA ulivurugwa kwa makusudi.

Jenereta ni kwa ajiliya matumizi ya dharura khasa kwenye ufundi na sehemu za viwanda vidogo huko.

Hizo Solar Panels ni mtu kuchagua ataka umeme wa uhakika au wa kujipimia.

Hata huko walikoendelea wazungu wapo wenye kutumia solar panels kwa ajili ya vibanda na pia mafundi ujenzi ndo hutumia jenereta kwenye matumizi ya vifaa kama grinders.
 
Duuuh!!!
Halafu unajiita kabisa Mfalme Sulemani !!???
Wewe ni Mfalme Juha kulingana na ulichokiandika.
ni utani wa jadi tu, wala usichukulie hasira sana, hakuna atakayewanyima umeme kwasababu uwepo wa watu kama hawa huwa wanasaidia sometimes tusipigwe, ni watu wa muhimu sana. ila ukweli ni kwamba, hawa walipinga mradi wa bwawa la nyerere na waliungana na wazungu tusijenge. ni hayo tu.
 
Yale mamitambo aliyozima JPM ndoo alitaka yatumike kwani hatukuwa na mbadala maana gesi alishainywa kitambo mzee wa msoga , naile mitambo iliyozimwa nasikia mzee wa msoga ananufaika nayo kwa hiyo ilikuwa lazima apinge mradi huo! Haoni kijana pendwa alipoingia nishati pale billion 350 za mitambo Ile zililipwa kimyakimya bila Bunge kujulishwa
 
Huyu ndio mtu wa kukaa ,meza moja na elon musk wajadili mambo ya Starlink Tanzania??!! Imefika wakati ni vigumu kutofautisha akili za viongozi wetu na akili za kina baba levo na mwijaku.

Alafu kuna mazombi mengine yalikua yanapiga makofi hapo.

Zero brain kama hizi ndio Hayati Chuma alikuwa anazibwatukia kwenye simu na kwenye vikao vya chama
 

Hasara ya kufikiri Kwa tumbo na kuwa dalali wa makuwadi wa uchumi
 
Ndicho kinachosikitisha...Wote hao unakuta wapo kwenye payroll za watu...Nchi hii ukombozi ulishapatikana ila Mungu ameamua awakusanye maadui wooote kisha awazamishe ziwa jekundu kusiwepo tena na Visalia vitakavyo baki
 
Vizuri umetuwekea video. Nimezisikiliza hoja zake, kimsingi hakukataa mradi, bali alihitaji sheria zilizopitishwa bungeni huko nyuma katika suala kama hilo linapojitokeza zifuatwe. Na akazisoma hizo sheria ambazo hazikufuatwa. Sasa hapo kosa lake ni lipi?

Tatizo la watanzania ni kwamba, sheria tunaziweka wenyewe kupitia chombo chenye dhamana hiyo "Bunge". Halafu akija kiongozi akizifuata ni kosa. Sasa sisi ni watu wa aina gani.

Acheni mpigwe tu mpaka kwenye KATIBA ya nchi. Katiba imegeuzwa kuwa GAZETI TU.
 
Nchi za waarabu zina eneo kubwa la jangwa na bado maisha yanaendelea, itakuwa miti kukatwa kwenye eneo ambalo halifiki hata asilimia 0.1 ya eneo lote la nchi, mtu kama huyu unaona kabisa hayuko informed ila anaamua kupayuka tu ili mradi aonekane anaongea au anasukumwa na maslahi fulani.

Kwa mantinki hii ni kwamba Tanzania ilitakiwa ikose mvua maana tayari eneo kubwa zaidi la hiyo stiglaz limefunikwa na maji, ikiwemo bahari, ziwa victoria, ziwa Tanganyika nk.​
 
Huu Huu upupu Nape aliuhara lini?
 
AISEE NAPE NAE ATAKUWEPO KWENYE UZINDUZI WA BWAWA LA UMEME? HAHAHA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…