Video: Je, ni kwanini Nape Nnauye alitaka bwawa la Nyerere lizuiwe, ni kweli anapenda sana mazingira?

Video: Je, ni kwanini Nape Nnauye alitaka bwawa la Nyerere lizuiwe, ni kweli anapenda sana mazingira?

Baada ya kusikia kuna Megawatt 235 za bwawa la Nyerere zimeshaamza kuingia kwenye gridi ya taifa, nikakumbuka malalamiko ya MTz mwenzetu akitaka Megawatt 2100 zisiingizwe kwenye gridi kisa kuna miti itakatwa, unabaki unajiuliza , huyu ana akili timamu kweli?!


Video ipo chini.
View attachment 2918032
Kwani lazima wote tukubaliane???
Mwacheni Nape.
 
Kwani lazima wote tukubaliane???
Mwacheni Nape.
Tupingane kwa hoja sasa, ili tuone mzani unaangukia wapi, maana wanasiasa wengine ni bipolar, ni kama wana mtindio wa ubongo hivi.., Nape apimwe akili kwanza..
 
Back
Top Bottom