Bao la mkono kwa tafsiri ya kisiasa ni uwizi wa kura..na neno hili lilikua maarufu uchaguzi wa 2015 na lilitumiwa sana na Nape Nauye kipind kile.Bao la mkono lipoje ,The Humble Dreamer?
Pumbavu ww... MiCCMChina ni wababe wa tech.
Bashiru unaona teknoloji hiyo au unasubiri kuhudhuria vikao vya chama tu mkapige blah blah humo mkimaliza mnakula mishkaki mnalala!
Yaani Tanzania tumejaza Vilaza tu kila idara, huko mambele ukiwa mbumbuu unaeza ukauliwa ... huku Tz ni vikao vya chama namna ya kuiba kura
Mamaster kwenye angle ya wizi[emoji23]
Haya mambo yanatia hasira..saivi kuna shekhe anasoma dua mbele ya Jiwe, namzum tuu!nimecheka sana,umeonge kwa uchungu mkubwa sana[emoji1787]