Chadema itatawala kwa haki,hivyo ccm wataruhusiwa kufanya mikutano ya kisiasa.Bila Polisi weepesi kama MBU...aibuuu aibuuuu aibuuuh
100%Ndio nguvu pekee waliyobaki nayo CCM bila hivyo hamna kitu
Nchi ya Ki K sana hiiChama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia ukurasa wake wa X kimedokeza kwamba Jeshi la Polisi limezuia mkutano wa Makamu Mwenyekiti wake, John Heche, uliopangwa kufanyika katika Jimbo la Mbarali, mkoani Mbeya.
Chadema imelaani vikali hatua hiyo, ikitafsiri kama matumizi mabaya ya vyombo vya dola katika kudhoofisha shughuli za kisiasa.
Taarifa kutoka eneo la tukio zinaeleza kuwa polisi wamesambazwa kutoka mikoa jirani, huku magari ya washawasha yakiwa tayari kudhibiti hali yoyote. Viongozi wa jeshi la polisi, akiwemo RPC na OCD, wanaripotiwa kuwa kwenye eneo hilo.
Aidha, polisi wameripotiwa kumkamata Katibu wa Baraza la Wanawake wa Chadema (BAWACHA), Grace Vaaye na kisha kumuachiwa muda mchache baadaye
Unamaanisha "Kisabato" sana?Nchi ya Ki K sana hii
Wana kibali? Watii sheria za nchi bila shurutiChama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia ukurasa wake wa X kimedokeza kwamba Jeshi la Polisi limezuia mkutano wa Makamu Mwenyekiti wake, John Heche, uliopangwa kufanyika katika Jimbo la Mbarali, mkoani Mbeya.
Chadema imelaani vikali hatua hiyo, ikitafsiri kama matumizi mabaya ya vyombo vya dola katika kudhoofisha shughuli za kisiasa.
Taarifa kutoka eneo la tukio zinaeleza kuwa polisi wamesambazwa kutoka mikoa jirani, huku magari ya washawasha yakiwa tayari kudhibiti hali yoyote. Viongozi wa jeshi la polisi, akiwemo RPC na OCD, wanaripotiwa kuwa kwenye eneo hilo.
Aidha, polisi wameripotiwa kumkamata Katibu wa Baraza la Wanawake wa Chadema (BAWACHA), Grace Vaaye na kisha kumuachiwa muda mchache baadaye
Hakiwezi kuwepo kikishadondoshwa!Siku CCM watapokuwa chama cha upinzani nao wajiandae kufanyiwa hivi. Malipo yanaanzia hapahapa duniani.