Kisha utawasikia malaya wakisifia ujinga wa 4RChama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia ukurasa wake wa X kimedokeza kwamba Jeshi la Polisi limezuia mkutano wa Makamu Mwenyekiti wake, John Heche, uliopangwa kufanyika katika Jimbo la Mbarali, mkoani Mbeya.
Chadema imelaani vikali hatua hiyo, ikitafsiri kama matumizi mabaya ya vyombo vya dola katika kudhoofisha shughuli za kisiasa.
Taarifa kutoka eneo la tukio zinaeleza kuwa polisi wamesambazwa kutoka mikoa jirani, huku magari ya washawasha yakiwa tayari kudhibiti hali yoyote. Viongozi wa jeshi la polisi, akiwemo RPC na OCD, wanaripotiwa kuwa kwenye eneo hilo.
Aidha, polisi wameripotiwa kumkamata Katibu wa Baraza la Wanawake wa Chadema (BAWACHA), Grace Vaaye na kisha kumuachiwa muda mchache baadaye
Watakufa kifo cha kawaida kama KANU ya Kenya.Chadema itatawala kwa haki,hivyo ccm wataruhusiwa kufanya mikutano ya kisiasa.
Wajiandae kwa worse treatment zaid ya hiiSiku CCM watapokuwa chama cha upinzani nao wajiandae kufanyiwa hivi. Malipo yanaanzia hapahapa duniani.
ni muhimu sana viashiria vya uvunjifu wa amani vinavyopangwa na vibaka wa siasa na magenge ya khalifu kwa mgongo wa uhuru na haki za kufanya mikutano ya hadhara, vikadhibitiwa na kusambaratishwa kwa haraka sana na bila kucheleweshwa kabla ya kuleta madhara kwa wananchiChama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia ukurasa wake wa X kimedokeza kwamba Jeshi la Polisi limezuia mkutano wa Makamu Mwenyekiti wake, John Heche, uliopangwa kufanyika katika Jimbo la Mbarali, mkoani Mbeya.
Chadema imelaani vikali hatua hiyo, ikitafsiri kama matumizi mabaya ya vyombo vya dola katika kudhoofisha shughuli za kisiasa.
Taarifa kutoka eneo la tukio zinaeleza kuwa polisi wamesambazwa kutoka mikoa jirani, huku magari ya washawasha yakiwa tayari kudhibiti hali yoyote. Viongozi wa jeshi la polisi, akiwemo RPC na OCD, wanaripotiwa kuwa kwenye eneo hilo.
Aidha, polisi wameripotiwa kumkamata Katibu wa Baraza la Wanawake wa Chadema (BAWACHA), Grace Vaaye na kisha kumuachiwa muda mchache baadaye
Kaanzishe hayo machafuko. Bwege kwl hao nyumbu watii sheria za nchiCCM wanalazimisha machafuko
Daah! Aiseeh! Naona umefika mbali.ndio maana wanaitwa policeCcmCCM bila police sijui niwafananishe na nini
Ni Mlevi tu wa Pombe au MADARAKA ndiye huwa anaongea kama wewe.Kaanzishe hayo machafuko. Bwege kwl hao nyumbu watii sheria za nchi
Kikuda sanaUnamaanisha "Kisabato" sana?
Itaje sheria iliyovunjwa hapa.Wana kibali? Watii sheria za nchi bila shuruti
Tatizo lako unajifanya mjuaji sana na wala mwanamme hatakikani awe na akili mbovu kama hizo.ni muhimu sana viashiria vya uvunjifu wa amani vinavyopangwa na vibaka wa siasa na magenge ya khalifu kwa mgongo wa uhuru na haki za kufanya mikutano ya hadhara, vikadhibitiwa na kusambaratishwa kwa haraka sana na bila kucheleweshwa kabla ya kuleta madhara kwa wananchi
well done jeshi imara la police mkoa wa mbeya 💪👊