PreGE2025 Video: Jeshi la Polisi lazuia mkutano wa John Heche Wilayani Mbarali, Mbeya

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
ni vizuri sana kuzuia na kusamabaratisha magenge ya kihalifu yanayohatarisha amani kwa wananchi.

well done police force mbeya Tanzania, wahalifu sio watu wazuri gentleman
 
Tatizo lako unajifanya mjuaji sana na wala mwanamme hatakikani awe na akili mbovu kama hizo.
hakuna haja ya mtu kujifanya ati yeye ni chochote zaidi ya mwingine nchi hii gentleman,

na ukweli usifanye ukawa mkali hivyo gentleman
 
Polisi wote wa Tanzania wapelekwe Congo ya Felix Tshekedi wakapigane vita.Imejaa mihunihuni na michawa imenenepa tu.
Mbona wakifika tu huko DRC wanavua hizo uniform, kama wanavyo fanya wa huko huko DRC na kujiunga na M23!
Wanajibaragaza tu hapa kwetu kwa sababu wanajuwa hakuna atakaye jibu mapigo.
 
Mimi
Polisi ndiyo watawala wa nchi hii. Inawezekana hata CCM inawatumikia hawa polisi si kinyume chake.
 
Kumbe wajinga katika hii nchi bado wapo kiasi hichi
 
Jambo pekee wanaloweza polisi wa TZ ni kuzuia mikutano ya CHADEMA.
 
Polisi wameacha kutumia akili zao, ni mwendo wa kupelekeshwa kama punda na ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…