Linus w slaa
Member
- Jan 29, 2025
- 67
- 152
wewe umewahi kusema nini kwenye taifa tukurejee?Huyo mzee yupo overrated Sana sijui kwanini mnamtumia kama marejeo.
Mimi ndo Makongorowewe umewahi kusema nini kwenye taifa tukurejee?
Kwa hiyo ukisema wewe kwa hivi vimaneno kama hivi ndiyo watu waamini unachosema wewe?Huyo mzee yupo overrated Sana sijui kwanini mnamtumia kama marejeo.
Ulitaka tukutumia wewe mkuu?Huyo mzee yupo overrated Sana sijui kwanini mnamtumia kama marejeo.
Kwa sababu alithubutu kukikosoa CHAMA CHAKE - LEO NI KIONGOZI YUPI ANATHUBUTU ? nipe jinaHuyo mzee yupo overrated Sana sijui kwanini mnamtumia kama marejeo.
Kwa sababu alithubutu kukikosoa CHAMA CHAKE - LEO NI KIONGOZI YUPI ANATHUBUTU ? nipe jina
Yeye ni nani kwenye Taifa? Nyerere si alikuwa rais/mstaafu sasa mtoa comment ni nani kwenye Taifa?wewe umewahi kusema nini kwenye taifa tukurejee?
Wewe ni tahaira kabisa!Huyo mzee yupo overrated Sana sijui kwanini mnamtumia kama marejeo.
Okay Good🤗Wewe ni tahaira kabisa!
Mimi huwa na soma maandishi yako , ni ya kijinga na very poor and myopic.
Julius Nyerere kwa akili yako wewe usingeweza hata kuwa msafisha choo chake!
Afadhali umekubali huo ukweli, maana sasa hivi Taifa hili lina utajiri wa watu wajinga wajinga kama wewe ambao wanadhani wana akili sana!Okay Good🤗
😁😁😁Afadhali umekubali huo ukweli, maana sasa hivi Taifa hili lina utajiri wa watu wajinga wajinga kama wewe ambao wanadhani wana akili sana!
Huyu mdingi ametuharibia kila jambo. Mnampa sifa kede sijui demokrasia hakuwa muumini wa demokrasia aliasisi uungu mtu. Hakutaka kupingwaBaba wa Taifa la Tanzania, aliweka msingi thabiti wa mchakato wa uchaguzi wa mgombea wa urais ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
msingi wake uliwekwa na Nyerere wakati wa uongozi wake.
Mwalimu Nyerere, kama mwanzilishi wa TANU (ambayo baadaye ilijumuika na ASP na kuwa CCM mwaka 1977), alisisitiza umuhimu wa umoja wa chama, demokrasia ya ndani, na uchaguzi wa wazi wa viongozi. Aliongoza chama kwa misingi ya uadilifu, uwajibikaji, na kujali maslahi ya umma, ambayo yameendelea kuwa miongozo ya mchakato wa uchaguzi wa wagombea ndani ya CCM. Hapa kuna jinsi Nyerere alivyoweza kuweka mchakato huu:
Chini ya uongozi wa Nyerere, CCM ilianzisha mchakato wa kumudu wagombea kupitia kamati za chama, kama Kamati ya Heshima (Central Committee) na Kongamano la Taifa (National Conference). Mchakato huu ulihitaji wagombea kupata ridhaa za wanachama wa chama kutoka maeneo tofauti, kama inavyoonekana katika uchaguzi wa awali wa 1995 na hata baadaye. Hii ilikuwa ni hatua ya kuhakikisha kuwa mgombea anayechaguliwa ana msingi wa kuungwa mkono na wanachama wa ngazi za chini.