Video: Jinsi makombora ya Iran yanadunguliwa juu ya eneo takatifu Duniani kwa Wakristo, Waislamu na Wayahudi


Sawa nikuamini anazuia media, ila humo Israel kuna waislamu, unataka kusema hakuna hata mvaa dera mmoja mwenye simu achuke video dirishani kwa mbali atuonyeshe walau hata kifusi kimoja.
Mpaka natumai mumejifunza kitu, kwamba uwezo wa kuipiga Israel hamna, wacha tusklizie majibu.
 
Hii sasa ni vita kubwa na mpya between two super powers Iran na Israel maana Iran ni nchi tajiri yenye msuli mkubwa wa kijeshi na pia ina washirika kama Russia na China ambao wanaweza kutuma silaha zikajaribiwe kwa kuipiga Israel, Israel na dunia ya wazungu sasa wamepata kitisho kikubwa na msemaji wa kijeshi wa Israel anaongea kuwa baadhi ya makombora yametua na kuleta hasara na binti mdogo kuumia, Israel wanafanya vikao kujadili mbinu za kujilinda, Israel wameomba msaada wa dharura wa kulindwa kutoka Marekani ambako leo kuna kikao kizito chini ya President wao aliekatisha safari zake na kurudi Washington kuja kujadili barua ya maombi ya Israel na nini kifanyike kuilinda Israel kwa njia za kidiplomasia, kutatua mzozo mpya kwa njia za amani, yaani marekani hawataki kabisa hiyo Vita mpya, haijulikani wanahofu nini.

Wakati huo huo katibu mkuu wa UN ameitaka Iran kuacha vita hiyo akisema dunia haina tena nguvu kuhimili vita mpya ya giants wawili Iran na Israel, maana balaa lake ni kubwa kwa nchi zote mbili baada ya Iran kusema wanasubiri Israel ijibu. Inadhaniwa kuwa Iran ina silaha za nyuklia ambazo inatafuta pa kwenda kufanya majaribio na inaweza kuwa Israel ambako raia wake wote wanaichukia sana.

Vita sasa ni kubwa maana jana Iran imechukua kibabe baharini meli ya Israel iliyokuwa na shehena ya mzigo wa Israel na Israel hawakuweza kuzuia zaidi ya kulalamika kuomba Iran iwekewe vikwazo na EU.

Shule zimefungwa huko Israel na raia wa Israel wameambiwa na jeshi lao wajilinde. Hofu imetawala.

Raia wa Iran Leo wanakusanyika mitaani na kusherehekea kuanza vita na Israel kwa mara ya kwanza katika historia yao. Kiongozi wa Iran amesema Israel imeingia cha kike kushambulia ubalozi wao wa Syria ambako ni mshirika wao watakoma na wameionya US kuingilia Vita hiyo na kuwa tayari kuadhibiwa na wao washirika wote wanaoisaidia Israel.

Israel imeomba kufanyike kikao leo cha baraza la usalama la umoja wa mataifa kujadili mashambulizi ya Iran huko Israel na kukitaka kikao kilaani mashambulizi hayo. Iran imejibu hoja na kusema kikao kikikaa kilaani mashambulizi ya Israel kwenye ubalozi wao huko Syria ambako kuna maofisa wakubwa wa Iran walikufa.

Kwasasa duniani kuna kususiwa bidhaa za Israel ambako makampuni ya Israel yanafunga biashara na watu kuachishwa kazi, hii ni hatari sana kwa ustawi wa Israel.

Hivi sasa ndio vita kubwa imeanza maana baada ya baadhi ya drones na missiles kutunguliwa na zingine kutua kama Iran inavyodai, Israel ikijibu kama ambavyo wameahidi kulipiza, Iran itatuma ndege zisizo na rubani, sasa ndo kumekucha, Iran inapenda sana vita, iliwahi kupigana na Iraq ya Saddam kwa miaka 8 hadi pale makombora yenye hewa ya sumu yalipotumika na watu kufa kwa wingi huko Iran.

Kitu kizuri Israel inazuia uchukuaji wa picha za athari ya vita na ina iron Dome inayotungua baadhi ya makombora mengine yanapenya.

Wakati huo huo kuna makombora yanatumwa Israel toka Lebanon

Source: Al Jazeera TV mda huu kila kitu kinaongelewa.

Sisi bongo ni nyasi zitakazoumia kwenye vita ya tembo baada ya bei ya mafuta kupanda bei, bei ya bidhaa kupanda na nauli kupanda.
 
Nachoomba mkirudishiwa 10,000 on target msilalamike na kuanza kukimbilia UN kutafuta maazimia ya kumlaani myahudi, soon majibu mtayapata na hamtayapenda
 
๐Ÿ˜„ missiles na drone zimepiga target Iran amepeleka drone 500 na na pia Missiles nyingi zimefika kwenye target, nyie bakini mnaimba hapa, na Israel hatasubutu kurudisha kipigo, hio ilikuwa ni break fast.

Iran ni level ingine.
Leta evidence shekhe sio story tu!
Iran anasema nusu ya Missiles zake zimefika kwenye target ๐Ÿ’ฏ

Na wanasema katika Missiles 117 walizo rusha

Na wanasema Israel anazuia Media zisichukue sehemu zilizo pigwa


View: https://youtu.be/qzP_-jrWnOk?si=I2dcSKMoC_WlOuYG
"Iran kasema... " ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Sasa ulitaka Iran aseme missiles zake hazijafika kwenye target?!

Video zinachukuliwa na media pekee?!...au raia wa kawaida waliopo maeneo husika?!
 
Unareport kutokea Al Masjid gani?
 
Iran ana kazi ya Ziada, unarusha ballistic missiles zaidi ya 100 hlf 7 tu ndo zinatua ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Today, Iran ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท launched 331 Missiles and Drones at Israel ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ and the vast majority were shot down

185/185 or (100%) of Kamikaze Drones
103/110 or (93.6%) of Ballistic Missiles
36/36 or (100%) of Cruise Missiles

Currently, 7 Ballistic Missile impacts have been recorded on Israel
 
๐Ÿ˜„ missiles na drone zimepiga target Iran amepeleka drone 500 na na pia Missiles nyingi zimefika kwenye target, nyie bakini mnaimba hapa, na Israel hatasubutu kurudisha kipigo, hio ilikuwa ni break fast.

Iran ni level ingine.
Hizi habar mnazitoaga wapi nyie?
 
Wasikudanganye na propaganda kuwa missiles hazitui , ingekuwa hivyo Israel wasingetishika kwa kiwango hiki, huko Israel na Marekani tangu jana ni vikao tu wanajadili nini kifanyike Iran isiendeleze mashambulizi. Israel hawasemi kama watajibu au la. Iran wanataka Vita kwa nguvu wakatest nyuklia zao Israel
 
Hizo zimeangushwa na America, Israel si anasaidiwa na US ikiwa Hamasi mpa Europe yote imemsaidia iwe apigane na Iran asisaidiwe ๐Ÿ˜„
Sio kosa kusaidiwa kwenye maisha hakuna sheria inayokataza nchi isisaidiwe kwenye vita kumbuka maisha ni kusaidia

Mwafrika hataki kushirikiana wala msaada kutoka kwa mtu ndo maana maisha yetu yapo kama yalivyo- ngozi nyeupe karibia wote wao kusaidiana sio issue as long amefikia malengo yake
 
Ulitaka wasifanye vikao?

Kama hizo missiles zimetua,zimeua wangapi mpaka sasa?!
 
Hivyo ndivyo vita vinapiganwa siku hizi. Katika hizo missiles unazosema ambazo ni real missiles unaweza kuta nin just 10% zingine ni daggers ambazo kazi yake kubwa ni kuoverwelm air defense system. That's why katika hayo makombora waliyorusha kuna hypesonic missile saba ambazo zote zimepiga Ile kambi ambayo inahifadhi f35 zilizotumika kuishambulia Iran. Its how it work when itcome unapopambana na nchi yenye aiir defense system.
 
Sasa unapojaribisha kupenya sehemu yeyote kwa mara ya kwanza si lazima utapimisha kichwa kama kinapita? Hicho ndicho alichofanya Iran ili awamu ijayo aingize mwili wote na hapo ndipo USA ataposhika kichwa kwa uchungu๐Ÿ˜‚
 
You think Israel left its air fleet n the ground during this attack!!!!! ๐Ÿคทโ€โ™‚๏ธ
 
Hizo zimeangushwa na America, Israel si anasaidiwa na US ikiwa Hamasi mpa Europe yote imemsaidia iwe apigane na Iran asisaidiwe ๐Ÿ˜„
Mivaa kobazi akili zenu ziko matakoni tu,
Mpaka sasa wazayuni wako angani hapo Syria mpakani mwa Iran,meli vita ziko hapo stand by.
Wanasubiri tu kuambiwa Go.
We umekaa huko tandale unakuna pumbu unaongea habari za duniani usizojua.
 
Mkazi wa tandale anajua hadi aina ya missile iran walizorusha dhidi ya israel
Yaani anataka kutuaminisha iran walimpa briefing kabla hawaja-attack israel ila jamiiforum kuna watu wanavituko sana
 
Drones na missiles za Iran zilizalishwa/kutengenezwa bure?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ