Hahahahaa uharo mtupu.Mshukuru sana sayansi ya Israel imeweza kulinda hilo eneo lenu ambalo huwa mnaliamini sana tena kwa mizuka.
===
Surreal images of Israel's Iron Dome intercepting Iranian drones and missiles over Temple Mount in Jerusalem--the holiest place in the world for Christians, Jews and Muslims.
Dah ni hatari sana
View: https://youtu.be/tfL8V1yyNxg?si=tjNVxP7CSJuUm9ex
Tazama wewe vitu vinavyo tua kwenye base π
Tena Israel amshukuru America na Jordan wametungua hizo drone na missiles kwenye anga la yule bwege Jordan
Nyie baadhi ya wakristo damu zenu zilisha gandishwa kwenye ubongo wale mazionist na muingereza.Sawa mtaalamu wa kivita kutoka Buza
Una intelegensia kali kupitia simu yako ya tekno
Unajua sana
Uharibifu, moto π₯π₯ na kulia"Iran imesema" Yaani mumekosa hata muislamu mmoja Israel mwenye simu aonyeshe walau kombora moja kati ya hizo 500 likipiga sehemu yoyote Israel.
Hii ni aibu kubwa sana kwa waislamu.
We kiazi kweli video zinachukuliwa na raia wa kawaida una taka kumdanganya nani? Hizo target ukiacha iyo base iliyo shambuliwa na ayo makombora 7 ambayo yali fanikiwa kupenya kweny mfumo wa ulinz wa anga ni wapi tena pameshambuliwa na kupata madhara??Iran anasema nusu ya Missiles zake zimefika kwenye target π―
Na wanasema katika Missiles 117 walizo rusha
Na wanasema Israel anazuia Media zisichukue sehemu zilizo pigwa
View: https://youtu.be/qzP_-jrWnOk?si=I2dcSKMoC_WlOuYG
Jordan katungua na kuuwa watu wake ni kiherehere chake
View: https://youtu.be/tfL8V1yyNxg?si=tjNVxP7CSJuUm9ex
Tazama wewe vitu vinavyo tua kwenye base π
Tena Israel amshukuru America na Jordan wametungua hizo drone na missiles kwenye anga la yule bwege Jordan
Big up!!!Leo umekuja na post nzuri sana.Mshukuru sana sayansi ya Israel imeweza kulinda hilo eneo lenu ambalo huwa mnaliamini sana tena kwa mizuka.
===
Surreal images of Israel's Iron Dome intercepting Iranian drones and missiles over Temple Mount in Jerusalem--the holiest place in the world for Christians, Jews and Muslims.
π we kiazi achoo kuota ndoto upo kwenye screen, Eti missiles saba ndio zimepenya we hebu tuonyeshe zilizo pigwa na Israel ngapi, kichaa kweli wewe kuna nchi itatoa aibu yake haswa hio Israel na America.We kiazi kweli video zinachukuliwa na raia wa kawaida una taka kumdanganya nani? Hizo target ukiacha iyo base iliyo shambuliwa na ayo makombora 7 ambayo yali fanikiwa kupenya kweny mfumo wa ulinz wa anga ni wapi tena pameshambuliwa na kupata madhara??
kikubwa sisi iran tulioambiwa hatuwezi kujibu mapigo yenu nyie mashoga tumeanza kazi sasa maneno weka pembeni kipigwe tuMshukuru sana sayansi ya Israel imeweza kulinda hilo eneo lenu ambalo huwa mnaliamini sana tena kwa mizuka.
===
Surreal images of Israel's Iron Dome intercepting Iranian drones and missiles over Temple Mount in Jerusalem--the holiest place in the world for Christians, Jews and Muslims.
Atapigwa nyuklia orijina, alafu mtakimbila misikitini kulia liaπ drones ndio nyingi yani Iran anatumia tactics ya hali ya juu na Israel anasaidiwa na Jordan na US, yule mwarabu Fala sana.
Missiles zote karibu 90% zimepiga target ni 10% ndio zimeangushwa.
Hizo drone hata atungue 500 ndio anacho taka Iran kumaliza hizo missiles za Air defence system π
Ziko nyingine bado njiani mchezo haujaisha bado
Yaani unavyojishongondoa utadhani Iran ni msumbiji vuta subraView attachment 2962829
Kwa hiyo target ya Iran ilikuwa ni kumjeruhi huyo mtoto ambaye amejeruhiwa na mabaki ya makombora yaliyoharibiwa?
Maana mpaka sasa makombora yote yaliyorushwa ndiyo yalichoambulia.
Ngoja apigwe na robo tu ya makombora aliyorusha uone kama Tehran inaenda kusimama.
Ilitafutwa tu sababu ayarusha yeye mwenyewe na moja kwa moja kutoka nchini mwaka na ameingia mazima.
Kuna "assets" za Mossad zaidi ya 1000 zimekuwa "activated" within Iran.π missiles na drone zimepiga target Iran amepeleka drone 500 na na pia Missiles nyingi zimefika kwenye target, nyie bakini mnaimba hapa, na Israel hatasubutu kurudisha kipigo, hio ilikuwa ni break fast.
Iran ni level ingine.
π hamna lolote kapigika sawa sawa kwani Iran haoni kule kwake kama Missiles zake zimefika kwenye target, au hazijafika, si kila anacho ongea Israel mumuamini inatosha drama za Al Shifaa Hospital
Wewe ulidhani ni Panya road?Yaani unavyojishongondoa utadhani Iran ni msumbiji vuta subra
Mshukuru sana sayansi ya Israel imeweza kulinda hilo eneo lenu ambalo huwa mnaliamini sana tena kwa mizuka.
===
Surreal images of Israel's Iron Dome intercepting Iranian drones and missiles over Temple Mount in Jerusalem--the holiest place in the world for Christians, Jews and Muslims.
Kwa mara ya kwanza tangu vita ya Gaza kuanza leo Russia wameongea kuiomba Iran isifanye mashambulizi. Angalia TV acha kutumia stori za mtaaniNyuklia!? Nani kati ya hao wakubwa hana nyuklia!? Eti ina allies!? Allies Gani ambao wameshawahi msaidia Iran!?
Iran ni nchi tajiri yenye silaha za maangamizi sio kikundi kama Hamas, ni wazungu ambao hivi sasa wanakutana na kuomba cease fire. Angalia TV acha kujidanganya, nyuma ya Iran kuna Russia, China na Turkey wote watatuma silaha Iran zikafanyiwe majaribio Israel. Iran wameonya Israel isijaribu kujibu wataangamia.NISISIKIE NYOKO NYOKO CEASE FIRE