Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Akikujibu NitaGMkuuu mbona sielewi, mbona zinaonekana nzima kwa picha, au wamezipiga na electromagnetic bomb, naomba ufafanue vizuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akikujibu NitaGMkuuu mbona sielewi, mbona zinaonekana nzima kwa picha, au wamezipiga na electromagnetic bomb, naomba ufafanue vizuri
Kumbe nilikua sahihi,Leo Marekani imethibitisha kwamba imewapa Ukraine Makombora ya kuharibu radarKuna tetesi kwamba Ukraine imepewa Makombora ya kuharibu radar AGM-88 HARM. Naweza kuamini hili kwa zaidi ya asilimia 90% maana Ukraine amekua akiharibu radar za kisasa kabisa za Urusi kule Kherson.
Ya Kwanza NI hii 'Podlet-K1' (waliiharibu mwezi iliyopita) hii inatumiwa na S-400,pia na S-300. Ni rada ya kisasa Sana na imeanza kutumika juzi tu 2015.
Ya pili ni hii ya juzi '9S19-Ginger Radar' hii inatumiwa na S-300B,nayo ya juzijuzi tu inaelezwa Urusi wametengeneza hizi 20 tu,nayo imeharibiwa.
Naona Marekani kaamua rasmi kutest silaha zake dhidi ya air defenses za Urusi.
Mkuu T14 Armata hii imekaaje?View attachment 2317518
Marekani ni kama mitandao ya simu, wanakupia kifurushi kadiri ya uwezo wako.Kumbe nilikua sahihi,Leo Marekani imethibitisha kwamba imewapa Ukraine Makombora ya kuharibu radar
Pentagon acknowledges sending previously undisclosed anti-radar missiles to Ukraine
Wanakupea SAIZI YAKOMarekani ni kama mitandao ya simu, wanakupia kifurushi kadiri ya uwezo wako.
Vipi Mkuu S300 na S400 zilikua zimezimwa nini?!Naona mmeamua kuanzisha uzi wenu wa kupeana faraja.mtateseka sana mwaka huu.[emoji635][emoji635][emoji635]
Vipi Mkuu S300 na S400 zilikua zimezimwa nini?!
Mzee umelewa ama izi ndo akili zako zote umezitumia apaTatizo lenu, wengi wenu hamjui kwamba Ukraine nayo inamiliki S-300 kibao - wanacho onyesha ni za Ukraine - lengo ni la kibiashara zaidi ie kutaka kuonyesha kwamba contrary na sifa za S-300/300 kumbe S-300 SAMS si lolote si chochote hivyo mataifa yatakayo zinunua yatakula hasara maana mkombozi HIMARS atazifyekelea mbali, a very clever ploy -kumbe madai hayo ni ulaghai mtupu wanatuletea habari ambazo zimejaa digitally manipulated video clips including video war games,remember Kiev Ghost - picha na video nyingine wanazihibua kutoka kwenye archives za conflict za 2014/15, wako well organised na wanasaidiwa sana na vikundi vyenye wataalamu wa IT huko Uingereza na Merikani ndio wana-manipulate video wakiwa na lengo la kutaka kudanganya Dunia kwamba jeshi la Ukraine linafanya vizuri kwenye frontline - kumbeee usanii mtupu!!
Marekani hawakua na air defenses kwenye base zao pale Iraq ndo maana baada ya Iran kushambulia wakapeleka mifumo ya Patriot.Ni kawaida kwenye vita.uwezi ukaweza kuzuia kila kitu.hii ni mifumo ambayo imetengenezwa na binadamu kwa iyo nayo uwa ina mapungufu yake,hakuna mfumo uliokamilika kwa hapa duniani ndo maana IRAN waliweza kuipiga base ya WAMAREKANI.
ISRAEL ni nchi yenye eneo dogo tu ila uwa inateseka kwa makombola ya hamars.sembuse URUSI yenye eneo zaidi ya mara elfu moja ya ISRAEL
Marekani hawakua na air defenses kwenye base zao pale Iraq ndo maana baada ya Iran kushambulia wakapeleka mifumo ya Patriot.
Pili,nikusahihishe. Ukraine haijashambulia Urusi,imeshambulia hapo Crimea makao makuu ya black sea fleet,kijieneo kidogo tu
Kura ya magumashi?! Naomba nikuulize swali japo Nje ya mada kidogo,ukinijibu ndo tuendelee.Ujui kuwa crimea ilipiga kura ya maoni ya kujiunga na URUSI.kwa sasa ni sehemu ya URUSI.au ulijui ilo ndugu.Ivi kambi kubwa kama ile inakosaje mfumo wa ulinzi kama sio uwongo uwo.kwa akili yako unakubaliana na ilo
Marekani hawakua na air defenses kwenye base zao pale Iraq ndo maana baada ya Iran kushambulia wakapeleka mifumo ya Patriot.
Pili,nikusahihishe. Ukraine haijashambulia Urusi,imeshambulia hapo Crimea makao makuu ya black sea fleet,kijieneo kidogo tu
Kura ya magumashi?! Naomba nikuulize swali japo Nje ya mada kidogo,ukinijibu ndo tuendelee.
Unaamini kwenye uchaguzi wetu Mkuu wa 2020 CCM ilishinda Kwa asilimia 99 (99%)?!
Kabla Patriot hazijapelekwa IraqUjui kuwa crimea ilipiga kura ya maoni ya kujiunga na URUSI.kwa sasa ni sehemu ya URUSI.au ulijui ilo ndugu.Ivi kambi kubwa kama ile inakosaje mfumo wa ulinzi kama sio uwongo uwo.kwa akili yako unakubaliana na ilo
Bhas kama unaamini huwezi kataa kura ya magumashi iliyofanyika hapo Crimea.Kwani mwenyekiti wa tume alitangaza majibu gani?.kama mtu mwenye mamlaka ya kusimamia uchaguzi ambaye yupo kwa mujibu wa katiba akitoa matokeo mimi naanzaje kuwa na mashaka nayo wakati sikuwepo kwenye kuhesabu.
Kwa asilimia zote naamini