Video: Jinsi S-300 za Urusi zilivyopigwa na HIMARS

Video: Jinsi S-300 za Urusi zilivyopigwa na HIMARS

Sasa unasemaje crimea ni kasehemu kadogo tu wakati ni sawa na ISRAEL
Sasa Mkuu kasehemu kama Israel ndo Russia washindwe kukalinda mpaka wanapigwa Makombora kwenye kambi kama ile?!
Tena eneo ambalo ni makao makuu ya black sea fleet, Kweli?!!!
 
Kuna tetesi kwamba Ukraine imepewa Makombora ya kuharibu radar AGM-88 HARM. Naweza kuamini hili kwa zaidi ya asilimia 90% maana Ukraine amekua akiharibu radar za kisasa kabisa za Urusi kule Kherson.
Ya Kwanza NI hii 'Podlet-K1' (waliiharibu mwezi iliyopita) hii inatumiwa na S-400,pia na S-300. Ni rada ya kisasa Sana na imeanza kutumika juzi tu 2015.

Ya pili ni hii ya juzi '9S19-Ginger Radar' hii inatumiwa na S-300B,nayo ya juzijuzi tu inaelezwa Urusi wametengeneza hizi 20 tu,nayo imeharibiwa.

Naona Marekani kaamua rasmi kutest silaha zake dhidi ya air defenses za Urusi.

Mkuu T14 Armata hii imekaaje?View attachment 2317518
Mkuu T14 Armata nilikutag huku kitambo kabla USA hawajaweka wazi kukabidhi mzigo,lakini naona sasa mambo yapo wazi
 
Mkuu T14 Armata nilikutag huku kitambo kabla USA hawajaweka wazi kukabidhi mzigo,lakini naona sasa mambo yapo wazi
Siku chache hizi sikuwa active online. Hilo shambulio ndio niliamini hakuna air defence system ya Russia inaweza salimika kwenye high intensive warfare kwa kuwa hawana uwezo wa kuzilinda hizo systems kubwa
 
Ninachotaka kusema ni kwamba kuna mwamba mmoja hapa jukwaani mwanzo mwa vitaa hii, kuwa urusi ina silaha nyingi na za gharama kubwa isipokuwa silaha hizo zimetengenezwa chini ya kiwango kulingana na rushwa ilioyopo nchini humo kwa kila mtu anataka kujipigia, mpka hivi sasa naanza kuimini hiyo kauli ila wacha ninyamaze maana sina ushahidi nibakize jicho na masikio tu.

Ukweli ni kwamba Russia ndio basi tena
 
Yule mwamba namkumbuka pia.
 
Siku chache hizi sikuwa active online. Hilo shambulio ndio niliamini hakuna air defence system ya Russia inaweza salimika kwenye high intensive warfare kwa kuwa hawana uwezo wa kuzilinda hizo systems kubwa
Kinachonishangaza zaidi ni miezi sita sasa vitani lakini Russia imeshindwa kabisa kufanya successful SEAD operation Ukraine kucreate no fly zone,ndege za Ukraine bado zinaruka na air defense systems zinadaka baadhi ya Makombora. Kiufupi ni kwamba hakuna ndege ya Urusi inathubutu kuingia anga la Ukraine mpk sasa zote zinarusha Makombora zikiwa Nje ya Ukraine's airspace.
 
Back
Top Bottom