Video: Jinsi S-300 za Urusi zilivyopigwa na HIMARS

Kuna tetesi kwamba Ukraine imepewa Makombora ya kuharibu radar AGM-88 HARM. Naweza kuamini hili kwa zaidi ya asilimia 90% maana Ukraine amekua akiharibu radar za kisasa kabisa za Urusi kule Kherson.
Ya Kwanza NI hii 'Podlet-K1' (waliiharibu mwezi iliyopita) hii inatumiwa na S-400,pia na S-300. Ni rada ya kisasa Sana na imeanza kutumika juzi tu 2015.

Ya pili ni hii ya juzi '9S19-Ginger Radar' hii inatumiwa na S-300B,nayo ya juzijuzi tu inaelezwa Urusi wametengeneza hizi 20 tu,nayo imeharibiwa.

Naona Marekani kaamua rasmi kutest silaha zake dhidi ya air defenses za Urusi.

Mkuu T14 Armata hii imekaaje?
 
Kumbe nilikua sahihi,Leo Marekani imethibitisha kwamba imewapa Ukraine Makombora ya kuharibu radar

Pentagon acknowledges sending previously undisclosed anti-radar missiles to Ukraine
 
Bora izo za URUSI zimeripuliwa na HIMARS.Hii S-300 ya UKRAINE imeripuliwa na Bunduki ya kawaida

Ni kawaida kwenye vita.uwezi ukaweza kuzuia kila kitu.hii ni mifumo ambayo imetengenezwa na binadamu kwa iyo nayo uwa ina mapungufu yake,hakuna mfumo uliokamilika kwa hapa duniani ndo maana IRAN waliweza kuipiga base ya WAMAREKANI.

ISRAEL ni nchi yenye eneo dogo tu ila uwa inateseka kwa makombola ya hamars.sembuse URUSI yenye eneo zaidi ya mara elfu moja ya ISRAEL
Vipi Mkuu S300 na S400 zilikua zimezimwa nini?!

Mzee umelewa ama izi ndo akili zako zote umezitumia apa
 
Marekani hawakua na air defenses kwenye base zao pale Iraq ndo maana baada ya Iran kushambulia wakapeleka mifumo ya Patriot.

Pili,nikusahihishe. Ukraine haijashambulia Urusi,imeshambulia hapo Crimea makao makuu ya black sea fleet,kijieneo kidogo tu
 
Ujui kuwa crimea ilipiga kura ya maoni ya kujiunga na URUSI.kwa sasa ni sehemu ya URUSI.au ulijui ilo ndugu.Ivi kambi kubwa kama ile inakosaje mfumo wa ulinzi kama sio uwongo uwo.kwa akili yako unakubaliana na ilo

Kura ya magumashi?! Naomba nikuulize swali japo Nje ya mada kidogo,ukinijibu ndo tuendelee.

Unaamini kwenye uchaguzi wetu Mkuu wa 2020 CCM ilishinda Kwa asilimia 99 (99%)?!
 
Yani CRIMEA unasema ni kaeneo kadogo?.unajua kama CRIMEA ni kubwa kuliko ISRAEL
Marekani hawakua na air defenses kwenye base zao pale Iraq ndo maana baada ya Iran kushambulia wakapeleka mifumo ya Patriot.

Pili,nikusahihishe. Ukraine haijashambulia Urusi,imeshambulia hapo Crimea makao makuu ya black sea fleet,kijieneo kidogo tu
 
Kwani mwenyekiti wa tume alitangaza majibu gani?.kama mtu mwenye mamlaka ya kusimamia uchaguzi ambaye yupo kwa mujibu wa katiba akitoa matokeo mimi naanzaje kuwa na mashaka nayo wakati sikuwepo kwenye kuhesabu.

Kwa asilimia zote naamini
Kura ya magumashi?! Naomba nikuulize swali japo Nje ya mada kidogo,ukinijibu ndo tuendelee.

Unaamini kwenye uchaguzi wetu Mkuu wa 2020 CCM ilishinda Kwa asilimia 99 (99%)?!
 
Ujui kuwa crimea ilipiga kura ya maoni ya kujiunga na URUSI.kwa sasa ni sehemu ya URUSI.au ulijui ilo ndugu.Ivi kambi kubwa kama ile inakosaje mfumo wa ulinzi kama sio uwongo uwo.kwa akili yako unakubaliana na ilo
Kabla Patriot hazijapelekwa Iraq

US seeks Iraqi permission to install Patriot air defences after Iran attack

The United States is looking for permission from Iraq to install Patriot missile air defences inside the country to better defend US forces after Iran's 8 January attack, which wounded 64 American troops, Defence Secretary Mark Esper said.

The US did not have Patriot deployed at the Ain al-Asad air base in Iraq, where at least 11 of Iran's ballistic missiles struck, killing no one but triggering massive blasts that caused traumatic brain injuries among US forces.

"We need the permission of the Iraqis," Esper told a news conference on Thursday

The Pentagon chief said the US military was still deciding on more tactical issues, such as where best to place the defences.

He said securing Iraq's permission was one factor slowing the repositioning of air defences.

Baada ya Patriot kupelekwa Iraq,Iran ikilalamika

Iran warns US after Patriot missile deployment to Iraq

Iran warned the United States it is leading the Middle East to disaster amid the coronavirus pandemic after reports that Patriot air defence missiles were deployed to Iraq.

Washington had been in talks with Baghdad about the proposed deployment since January, but it was not immediately clear whether it secured its approval or not. Iran, which wields huge influence in its western neighbour, said it had not.
 
Kwani mwenyekiti wa tume alitangaza majibu gani?.kama mtu mwenye mamlaka ya kusimamia uchaguzi ambaye yupo kwa mujibu wa katiba akitoa matokeo mimi naanzaje kuwa na mashaka nayo wakati sikuwepo kwenye kuhesabu.

Kwa asilimia zote naamini
Bhas kama unaamini huwezi kataa kura ya magumashi iliyofanyika hapo Crimea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…