FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Jadili hoja iliyopo mkuu, kazi ya kuwasifia nakuachia wewe, hapo vipi?Wewe kila mara unakuja na mada za kuonyesha wazungu ni wabaya. Ongoza waafrika nao waendelee kama wazungu basi ili huu utofauti na ''uonevu'' uishe. Otherwise huna tofauti na yule mlevi anayelewa mpaka kujinyea na anaposafishwa anatukana.
Yaani jinsi anavyoongea (kama umemsikiliza kwa makini) ni kwamba anaona ilikuwa sio fair kwa wao kuteseka na Corona ilihali sisi tunakula bata tu, na kwamba sasa na sisi wacha tuonje joto ya jiwe kama wao ambavyo wamekuwa wakikiona cha moto, this was a month ago, na kwa sasa watakuwa wanajipiga vichwa ukutani kwanini Africa hatufi kwa kasi ya watu buku 10 kwa siku na kuokotwa maiti hovyo barabarani kama walivyobashiri na kutamani iwe, hahahahah, yaani hawa nguruwe hawa,sijui tumewakosea nini, Mungu mbariki JPMAnakwambia ugonjwa umeanza mdogo mdogo lakini kwakuwa Afrika ni Very Flagile tutakiona cha moto maaana kamwe hatuwez kuhimili kamwe kutokana na kutokuwa na Vifaa tiba vya Kutosha. Lkn tutavuka tu kigumu gumu
Wanateseka sana, yaani hata hawaelewi nini kinaukwamisha huu ugonjwa Afrika, wanapaniki vibaya sana
Angalia namna ilivyotumika, pima maudhui/ content ya ilivyotumikaFinally kwa hapo si limetumika kama hatimae au mimi ndo karagabaoa mwiko wa ubao!!
Probably wanapuliziwa virusi vya Corona kwa kisingizio cha fummigation, wazungu sio watu, au la wanapika data ili kunyong’onyesha blacks, siamini hizo data zao kamweMjuba, hivi haujui huko sehemu kama Marekani, corona tayari inawaathiri watu wenye asili ya Afrika kwa kiwango kikubwa kuliko wengine? Mind you, nao mwanzoni mwa janga hili walikuwa wanashangilia kama wewe kuwa corona ni ‘the great equalizer’.
If anything, unatakiwa uwe alarmed sana kuhusu corona na kuwaza jinsi ya kukabiliana nayo badala ya kuja na hizi mada za kuchambua neno moja moja zilizosemwa na mtu baki.
Tayari wanasema corona haiondoki leo wala kesho. Tafakari kwa uchumi huu tulionao, hii ngoma tutaihimili vipi miezi 6 kutoka sasa. This is serious.
Think brother!
Pia tutahimili kwa kutoweka lockdownMjuba, hivi haujui huko sehemu kama Marekani, corona tayari inawaathiri watu wenye asili ya Afrika kwa kiwango kikubwa kuliko wengine? Mind you, nao mwanzoni mwa janga hili walikuwa wanashangilia kama wewe kuwa corona ni ‘the great equalizer’.
If anything, unatakiwa uwe alarmed sana kuhusu corona na kuwaza jinsi ya kukabiliana nayo badala ya kuja na hizi mada za kuchambua neno moja moja zilizosemwa na mtu baki.
Tayari wanasema corona haiondoki leo wala kesho. Tafakari kwa uchumi huu tulionao, hii ngoma tutaihimili vipi miezi 6 kutoka sasa. This is serious.
Think brother!
Kuna watu wana mzio na wazungu ilhali life style yao imebeba uzungu 97%Wewe kila mara unakuja na mada za kuonyesha wazungu ni wabaya. Ongoza waafrika nao waendelee kama wazungu basi ili huu utofauti na ''uonevu'' uishe. Otherwise huna tofauti na yule mlevi anayelewa mpaka kujinyea na anaposafishwa anatukana.
Probably wanapuliziwa virusi vya Corona kwa kisingizio cha fummigation, wazungu sio watu, au la wanapika data ili kunyong’onyesha blacks, siamini hizo data zao kamwe
Pia tutahimili kwa kutoweka lockdown
Historia inaongea, fuatilia “The Tuskegee Syphilis experiment” halafu rudi hapa uendelee kuharisha kama bata aliyelawitiwa, watu kama nyie mnatia hasira sana, hata babu yako wa kizazi cha 20 nyuma anakuangalia na anatamani hata akucharange mapanga na akuchemshe supu akunywe, hujui jinsi mababu wa hao nguruwe walivyowafanyia wazee wetu, hujui tu, ngoja niishie hapa, endelea kutetea hao wazibuliwa makalio, endelea tu, na laana ya mababu zako walionyongwa kama mbwa ikushukie...Hapo ndiyo tunapokwama. Hatutaki kuchukua wajibu wetu tunakaa kulalamikia wengine tu. Kama kuna hatua za kuelimisha na kujilinda basi tuambiane lakini haya mambo ya sijui wazungu yamepitwa na wakati. Acheni kuwajaza watu ujinga.