Video: Jinsi vyombo vya habari vya wazungu vilivyosherehekea kuingia kwa Corona Africa,”The virus finally hits Africa!”


Ngoja nikufafanulie mambo mawili matatu, yatakusaidia.

Unasema tutaongeza uzalishaji wa kilimo, uvuvi na ufugaji ili kufidia utalii. Halafu unategemea uende kuuzia wale wale unaosema hawana nia njema na sisi, unaona unavyozidi kujikanyaga?

Pili sijataja jina la Magufuli hapa usijishuku. Nyakati zikiwa ngumu ndiyo mnakumbuka hili ni taifa letu sote.

Unajua kwa nini Magufuli ameona ulazima wa kuomba msamaha wa madeni? Ni kwa sababu miezi 3 kuanzia sasa kama hali hii itaendelea, kutaanza kuwa na uhaba wa fedha za kigeni, bei za vitu zitaanza kupanda kwa kasi kwa sababu importation itapungua, serikali itaanza kushindwa kulipa mishahara.....mengine utajazia mwenyewe.

Haya ninayokwambia ni kanuni za kimahesabu na kiuchumi, siyo mapenzi yangu au habari za kutunga.

Unavyowasema hao unaoita wazungu utadhani waafrika ni watakatifu.
 
Hiki ni kichaa kamili.Unahitaji tiba ya afya ya akili,maana chuki uliyo nayo dhidi ya binadamu,ni mbaya kuliko corona yenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app

Hili jamaa ni jinga kabisa. Linadhani lenyewe ndiyo linajua historia kuliko wengine au ndiyo lina uchungu na uafrika wake feki kuliko wengine.
 
mbona ni chombo kimoja halafu umefanya generälization as if ni kila chombo? huoni na wewe ni mbuguzi na unayeeneza chuki kati ya binadamu hapa duniani?
 
Wewe kila mara unakuja na mada za kuonyesha wazungu ni wabaya. Ongoza waafrika nao waendelee kama wazungu basi ili huu utofauti na ''uonevu'' uishe. Otherwise huna tofauti na yule mlevi anayelewa mpaka kujinyea na anaposafishwa anatukana.


Wewe una utani na Lowassa, shauri yako.
 
Hawana tofauti na chadema walichosema/furahia,ndio wanachokifanya wana ufipa kabla ya kuja waliombea baada ya kuja wanafurahia najiuliza Kuna connection gani Kati ya vyombo vya habari vya magharibi/mabeberu na cdm
Unawaonea ufipa mkuu kila mtu kwa sasa ana msimamo bbinafsi, mi ni anti-magu lakini sikubaliani na wazungu wanavyoshadadia Africa tufe na corona
 
Na kwa taarifa yao kiangazi hicho hapo, kitakapopiga huyo kirusi wao atawaruduia wao!
 
Kuna mtu kabisha hilo? Ila je, hii ndio hoja hapa? Kwenye hiyo video wanashangilia au hawashangilii, tuendelee kujadili
 
Hiki ni kichaa kamili.Unahitaji tiba ya afya ya akili,maana chuki uliyo nayo dhidi ya binadamu,ni mbaya kuliko corona yenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah, nani kabisha hilo? Ila je, hii ndio hoja hapa, kwenye hiyo video kunaviashiria vya kusherehekea na nderemo na vifijo juu ya Corona kuingia Afrika au la? Tuendelee kujadili
 
Kuwauzia Kenya, Rwanda, Uganda, DRC zimekuwa nchi za kibeberu tangu lini? Pia ni lini Tanzania huwa haipokei misaada? Hayo mauzo ya mazao nje ya nchi yataleta nini kama sio pesa za kigeni, au pesa ya Kenya sio ya kigeni?
 
Hahah toa hoja bata wewe..., dhihirisha ujinga wangu kwa hoja
Hili jamaa ni jinga kabisa. Linadhani lenyewe ndiyo linajua historia kuliko wengine au ndiyo lina uchungu na uafrika wake feki kuliko wengine.
 
mbona ni chombo kimoja halafu umefanya generälization as if ni kila chombo? huoni na wewe ni mbuguzi na unayeeneza chuki kati ya binadamu hapa duniani?
Nimepitia vyombo vingi na kuona bashasha waliyokuwa nayo baada ya Corona kuingia Africa, hiyo ni sample tu nimeleta
 
hahahahah, yaani hawa nguruwe hawa,sijui tumewakosea nini, Mungu mbariki JPM
Halafu kumuita Binadamu mwenzako anaye kupa chakula! jina la mnyama, hayawani si vyema! wewe ni Mbaguzi Zaidi kuliko walivo wabaguzi! hata Mungu hapendi! yaani wao wasiseme kitu! kuhusu Africa?

Angalia walivyo na roho nzuri wamekupa PC, unaelimishwa Bure, Magari, Elimu, Ndege, Mweusi km wewe angekufa navyo! Mwana Marundi kafa na Utaalamu mzuri kufuru. hakurithisha mtu. angefungua hata Shule vitukuu vyake vingefaudu miaka na miaka!

Siku Wa-Africa Mtakapo pata unafuu na Maguvu ya kijeshi hata nusu ya uwezo wao tu, kwa Kuhofu peke yake!, Wazungu wote watajifia, jinsi mtakavyo lipiza, Kwa jinsi hivi mlivyo, lazima mdhibitiwe!

Ukisha kuwa na tabia hii, ya kuita binadamu wenzio Hayawani, haitakaa ikutoke akilini, itafika mahali utaona waafrica wenzako pia ni tatizo, hawafai kuishi ni Mafisi tu. yanayojipendelea! km mnaua ndugu zenu wa damu sababu ya udhaifu wa ngozi zao! Macho mekundu, wao je?

Mnaua Viongozi wenu km mi-Jibwa mi jizi, bila huruma, bila Msamaha, huku mnashangilia km Matahaira, mnabomoa kumbukumbu zao na , hata makazi yao! mkiamini mnawakomoa watoto wao! Kwa nini wasiwadharau?

Mungu ambariki JPM? Oooh! unadhani ndiyo atakupenda na kukuamini?? kwanza Watanzania ham kumpenda kabisaa, mlimtaka Lowassa, hasa DSM, asilimia kubwa humu ni Dar! acha unafiki na yeye anajua hilo!! hata ukeshe uchi ukimsifia!

Ndiyo maana kalazimisha Upendo kwa mtutu Kisiasa, kupitia wasiojulikana, ili awe salama! wewe ni muhanga wa hilo! kwa upendo wako fake! ndiyo mtakuwa wa kwanza kumponda mawe km Gadaffi! alivyo fanywa!! Faster kajiendea Doom!

Kama hamwapendi walio wenu! Mzungu awafanyeje? Angalia Osama bin Laden alivo hangaisha US! lkn kumbe alikuwa Ndani ya Kambi ya Jeshi analindwa na ndg zake Waarab!!! Heshima tupu!! Saddam alifichwaaa! pamoja na ubaya wake woote! watoto wake wamerudii na wanapata posho kila mwezi!

Mura Mohamad aliona Bora apoteze kitu kizuri Madaraka kuliko kumtoa Muarabu mwenzake Osama! kwa US! wewe utaweza kujitoa ajiri ya Magu? kmunaweza tuma Bundle la laki mbili tuone upendo wako!......
 
Duuh sijasoma hiyo novel, turudi kwenye mada, wamefurahianau hawajafurahi Corona kuingia Africa, and why?, as per the video
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…