Coaster2015
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 2,607
- 2,730
Hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kumdhuru Tundu Lissu au Mpinzani yeyote halafu asiwe ccm, haiwezekani na haitawezekana, adui yetu mkubwa hapa ni ccm, na hata wewe unaona hapo kuna ofisi ya ccm .............................................................................................................Kwann mnakimbilia kusema ni CCM. Kwani Mwananchi wa kawaida ambae hamkubali lissu hawezi kufanya hivyo?
"Kada wa CCM" amejulikanaje asijekuwa chadema wanatafuta coverage.
Angekuwa kada wa CCM asingemkosa jiwe hata LA kisogo
Endelea kujidanganya nduguHakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kumdhuru Tundu Lissu au Mpinzani yeyote halafu asiwe ccm, haiwezekani na haitawezekana, adui yetu mkubwa hapa ni ccm, na hata wewe unaona hapo kuna ofisi ya ccm .............................................................................................................
Tena anaota huku anatembeaEndelea Kuota
Watahangaika sanaaaaa!
Kuna Mkoa unaitwa Musoma kweli?MEKO HUU MWAKA KINA MIKOA ITAMKATAA MFANO KAGERA
MUSOMA
ARUSHA
MBEYA
KIGOMA
SINGIDA 50%/ 50%
KILIMANJARO
MOROGORO 45% /55%
LINDI
MTWARA
SONGWE
DAR ES SALAAM
MWANZA 50%/ 50%
Wewe unaweza kutushauri katumwa na nani labda ??.., hata kama hajatumwa na huyo mwenyekiti wenu basi anajipendekeza kwake ili apate Uteuzi, sababu ndio njia rahisi kwenuKwa akili za wana chadema watasema huyo katumwa na magufuli
Anza kuchoma alafu ukimbie kujificha usimpigie kura mgombea wakoCCM wajinga sana!! Sasa jengo Lao likichomwa hapo watalaumu??? Maana huo umati wa watu hapo ukiamua kuchoma hilo jengo nani atajibu??
Hakuna uchokozi hapo, hiyo ni Barabara ya kuelekea kwenye kiwanja cha kampen.Mbona kwenye hiyo video sijaona jiwe likirushwa?
Nilichoona ni wanachadema wameenda kuwachokoza wanaCCM.
Ccm ni mtaji wa wehu na mahayawahi
Ujinga ni kutokuelewa kitu wala si tusi... Kwa bwana mataga ccm siku hizi wanamiliki barabara?
Na je kumpopoa mtu kwa jiwe nayo ni sera yenu??
Kwani nini ofisi hiyo ya ccm jilani wasingeipiga kiberiti mpaka wamtoe aliyerusha jiwe,tufike mahali tujibu mapigo,ilitakiwa kuteketezwa.
Mzee reasoning yangu ndo imeconclude kuwa yule ni mtu wa Ccm. Wewe umeleta reasoning mpya kuwa kukaa jengo la Ccm sio kuwa mwana CCM. Sasa let’s agree to disagree
Eti karushiwa jiwe,ili iweje? Mtu mwenyewe alishajifia
Kwa hiyo kama wewe umesoma una madigrii yote na bahati mbaya wazazi wako hata ile elimu ya watu wazima ya kujuwa kuandika jina tu, utawaita wajinga! Je wewe ukiwa na Ph.D. ya kemia na mwingine ana Ph.D. ya Fizikia kila mtu atamuita mwenzake mjinga kwa sababu hakuna anayejuwa fani ya mwenzake! Wewe kweli ndiyo mjinga unayedhani mtu kukuambia mjinga amekusifu!
Kwa hiyo kama wewe umesoma una madigrii yote na bahati mbaya wazazi wako hata ile elimu ya watu wazima ya kujuwa kuandika jina tu, utawaita wajinga! Je wewe ukiwa na Ph.D. ya kemia na mwingine ana Ph.D. ya Fizikia kila mtu atamuita mwenzake mjinga kwa sababu hakuna anayejuwa fani ya mwenzake! Wewe kweli ndiyo mjinga unayedhani mtu kukuambia mjinga amekusifu!