Zanzibar 2020 VIDEO - KAMPENI ZANZIBAR: Tundu Lissu awapa somo muhimu Wazanzibar na Watanganyika juu ya Muungano. Je, Magufuli - CCM anaijua historia hii kweli?

Zanzibar 2020 VIDEO - KAMPENI ZANZIBAR: Tundu Lissu awapa somo muhimu Wazanzibar na Watanganyika juu ya Muungano. Je, Magufuli - CCM anaijua historia hii kweli?

Ndiyo maana ya kauli mbiu ya UHURU, HAKI na MAENDELEO YA WATU....

Na hii itajengwa katika mfumo wa UTAWALA wa UWAZI na HAKI na kamwe siyo UONGO na ULAGHAI....

Muungano uliojengwa ktk msingi wa UONGO na ULAGHAI una faida gani kwa watu?

Amesema, akichaguliwa kuwa Rais wa JMT, immediately atafumua mfumo wa utawala huu wa kilaghai na UONGO kwa kuandika katiba mpya....

Ishu ya Muungano wa TANGANYIKA na ZANZIBAR, itajadiliwa upya na kuamuliwa na wananchi wa pande zote mbili za Muungano aidha uendelee kuwepo na kwa mfumo gani....

Pia wanaweza kuamua ufe, na hakuna tatizo lolote iwapo wataamua hivyo....

Na kwani kuna ubaya gani kama watu wenyewe wataamua hivyo? Utawalazimisha watu kuungana kama hawataki?
Hatutaki mtu wa kutuvunjia muungano
 
Historia ya watu wa KLM/ Kanda ya kaskazini inajulikana? Unajua Base on history hakuna kitu kinaitwa Tanzania.

Well hii haiondoi ukweli kuwa Tl ana akili, akili nyingi.

kuna madhara pia ya kuwa na akili nyingi. Na hili analolihubiri la Wanzanzibari na nchi yao ni moja ya madhara ya kutumia akili nyingi kuongoza ilihali unaongoza watu wa kawaida kabisa.

Raia wa Tz na Zanzibar hawana shida na namna ya muungano au jina lilivyo sijui mfumo wa madaraka, hilo si tatizo kwao.

Watu wenye akili ya ziada kama Tl wana uwezo wa kuwafanya raia wakabadili fikra zao, na baada ya kubadili fikra na kuanza kupigania majina kuwa huku ni zanzibar na kule ni bara wakafanikiwa na kushinda hiyo vita ya majina bado matatizo waliyonayo yataendelea kuwepo.

Eleza wana matatizo gani hao watu wa kawaida?

Chanzo chake ninj?

Yataondolewaje hayo matatizo?

NB:
å Honestly, mimi naona wazi kabisa kuwa, watu wengi hatujamwelewa Tundu Lissu na "logic" ya hoja hii ukiwemo wewe...

å Hoja ya Tundu Lissu siyo kuvunja muungano au kuleta utengano miongoni wa watu wa mataifa haya mawili...

å Ameeleza vizuri mno tatizo la muungano huu ambao kwa vigezo vyote ni kama wa kulazimishana vile kwa manufaa makubwa ya upande mmoja pekee..

å Msingi wa hoja za kasoro za Muungano huu kiuhalisia ni mfumo wa utawala chama cha dola - CCM....Hili ndilo tatizo...!!

å Yeyote anayehoji kasoro za Muungano huu, huishia pabaya....!

Kwanini?

Ni kwa sababu, moja kwa moja anakuwa anataka kuingilia na kuharibu maslahi ya CCM na kamwe siyo ya WATU WA ZANZIBAR...

Hebu tazama mashekhe wa kiislamu mamia kwa mamia wanaoteseka katika magereza ya Tanganyika....

Sababu ama dhambi yao ni nini?

SIMPLE, NI HII PEKEE:

Wanaleta chokochoko kwenye ishu ya muungano na kutaka kuhatarisha maslahi ya WATAWALA na CCM....!!

Yaani ni MUUNGANO uliojengwa ktk msingi wa UONGO UONGO tu pamoja ULAGHAI mtupu. Na vitu hivi vya kilaghai na UONGO kamwe huwa havidumu....!!!

å Na maslahi yenyewe wala siyo mengine yoyote yenye manufaa kwa watu wote, bali ni yale yenye manufaa kwa WATAWALA....

å Ametoa lecture nzuri na rahisi kueleweka kwa watu wote ili waamue kurekebisha muungano wao ama hata kuuvunja iwapo itashindikana kukubaliana ktk kurekebisha....!!!

What's wrong with that?
 
Hatutaki mtu wa kutuvunjia muungano

Msiomtaka mkae upande wa MKONO WA KUSHOTO na tunayemtaka tutakuwa upande wa MKONO WA KULIA....!!

Jambo moja muhimu kumbuka, kila jambo linalotendwa ktk msingi wa UONGO UONGO na ULAGHAI huwa halidumu na huwa na mwisho mbaya na wa aibu tupu....

Kauli kama hii yako, haisaidii lolote iwapo wakati wa kuuzika ama kufa kwa UONGO na ULAGHAI umefika....!!
 
Huyu kweli anastahili kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
Kwa kauli hizi, si ni wazi ameonesha kuwa atavunja Muungano?

Hakusudii kuvunja muungano. Anakusudia kuwa na muungano uliokubalika. Matatizo ya muungano sio ya Tanzania tu. Unajua habari ya USSR? Yugoslavia je? UK? EU?

Muungano si jambo la milele. Lina sababu na huheshimiwa. Bila hayo hakuna haja ya muungano!
 
Sijui kama Mgombea Urais wa CCM mwaka huu ndg John Pombe Magufuli anaijua kwa ufasaha historia ya nchi anayoingoza na kuielezea mbele ya kadamnasi kama hii kwa ufasaha kama afanyavyo huyu msomi wa viwango vya juu kabisa, Mh. Rais wa JMT ndugu Tundu Lissu.....

Ni wazi kuwa Bw. John Pombe Magufuli anachojua ni kukariri statement za kimazoea tu za waliomtangulia za kusema;

" .....nitaulinda muungano kwa gharama yoyote ile...."

Hebu tumshauri huyu msomi bandia wa udaktari wa korosho na kemia wa kupewa ajifunze historia ili kila analofanya awe anajua maana yake.....

Na kumwambia hivi, kamwe siyo dhambi wala kumkosea heshima hata kidogo...

Tazama, sikiliza na kisha elewa.... 👇
View attachment 1562723
He is just a mental case hajui anataka nini, ndio maana anaongea uharo, ili mradi yeye aende chooni.
Huyu huyu kunasehemu anamtumia Nyerere kama ngazi ya kupandia, na kuna sehemu ana msema Nyerere kama role model wa democracy na siasa za Bongo.

Na zaidi ya hapo anazungumzia muungano kuwa sio fair kwa ZnZ hivyo ufanyiwe marekebisho, lakini huyu huyu Magufuli alipokuwa anarekebisha mikataba ya madini akawa yupo upande wa bili.

Huyu hata kwa familia yake anaweza kuwaaambia Dada zake au mtu wa jinsia ya kike hana haki kwa kinyaturu
 
Eleza wana matatizo gani hao watu wa kawaida?

Chanzo chake ninj?

Yataondolewaje hayo matatizo?

NB:
å Honestly, mimi naona wazi kabisa kuwa, watu wengi hatujamwelewa Tundu Lissu na "logic" ya hoja hii ukiwemo wewe...

å Hoja ya Tundu Lissu siyo kuvunja muungano au kuleta utengano miongoni wa watu wa mataifa haya mawili...

å Ameeleza vizuri mno tatizo la muungano huu ambao kwa vigezo vyote ni kama wa kulazimishana vile kwa manufaa makubwa ya upande mmoja pekee..

å Msingi wa hoja za kasoro za Muungano huu kiuhalisia ni mfumo wa utawala chama cha dola - CCM....Hili ndilo tatizo...!!

å Yeyote anayehoji kasoro za Muungano huu, huishia pabaya....!

Kwanini?

Ni kwa sababu, moja kwa moja anakuwa anataka kuingilia na kuharibu maslahi ya CCM na kamwe siyo ya WATU WA ZANZIBAR...

Hebu tazama mashekhe wa kiislamu mamia kwa mamia wanaoteseka katika magereza ya Tanganyika....

Sababu ama dhambi yao ni nini?

SIMPLE, NI HII PEKEE:

Wanaleta chokochoko kwenye ishu ya muungano na kutaka kuhatarisha maslahi ya WATAWALA na CCM....!!

Yaani ni MUUNGANO uliojengwa ktk msingi wa UONGO UONGO tu pamoja ULAGHAI mtupu. Na vitu hivi vya kilaghai na UONGO kamwe huwa havidumu....!!!

å Na maslahi yenyewe wala siyo mengine yoyote yenye manufaa kwa watu wote, bali ni yale yenye manufaa kwa WATAWALA....

å Ametoa lecture nzuri na rahisi kueleweka kwa watu wote ili waamue kurekebisha muungano wao ama hata kuuvunja iwapo itashindikana kukubaliana ktk kurekebisha....!!!

What's wrong with that?
Ni sawa, ts ok as long as ni wananchi wameamua bila kushawishiwa.
 
U-sensitive wake unatokana na nini? Hebu elezea basi watu wajue ni kwa nini suala la muungano liwe sensitive. Kuna watu wengi wamekaririshwa hii sentensi ya ''suala la muungano ni suala nyeti'' lakini ukiwauliza unyeti wake ni nini wanabaki kubung'aa.
Historia ya Taifa letu imo humo. Umoja, amani na maendeleo yamejengwa jwe ye msingi wa Muungano.
Tumekubaliana ndugu wa damu na tumeingiliana Sana. Jiuoize leo Muungano uvunjike halafu useme wazanzibar waliopo bara waridi kwao au wahesabike Kama wageni. Itakuwaje?
Kuna Mali tumechuma pamoja, itakuwaje?

Ila hebu fikirishi wanajwshi, mapolisi na maafisa usalama ambao wanazo Siri byeti za nchi hii itakuwaje Muungano ukivunjika?

Mambo sio rahisi Kama mnavyochukulia
 
Kweli ndio unajiona genius kwa majibu hayo!!?

Kwani kuna mtu mwenye ugomvi na mwenziwe kati ya hizo pande mbili!!? Mbona umejibu kama tunaviziana kwenye medali za vida!
 
Really? Really?

Angeandika Mzanzibari kukosoa alichokisema Tundu Lissu wakati ana narrate historia hii, ningeelewa na kumsikiliza....

Lakini wewe msukuma mwenzangu wa Bariadi ambaye nawe umesoma historia vitabuni tu tena kwa viwango vya chini kabisa, unapata wapi guts za kumkosoa Tundu Lissu ambaye by all measurements jamaa yuko deep kwelikweli....??
Nimekaa Zanzibar mkuu na nazielewa fika historia za huko.
Kwa taarifa yako huko Zanzibar kwa ubaguzi uliopo hadi leo, mswahili yeyote toka bara anaitwa Mnyamwezi.
 
..nadhani unachoandika ni tofauti na alichozungumza TL.

..kwanza, alisema kwamba waTanganyika walianza kuingilia siasa za Znz tangu mwaka 1957.

..Hapo alikuwa anazungumzia ushawishi wa Tanu ktk chama cha ASP. Suala hilo halina ubishi.

..pili, alisema majeshi ya Tanganyika yalipelekwa Zanzibar mara[alisema siku 3] baada ya Mapinduzi.

..labda hapa unaweza kumkosoa kidogo, nadhani waliokwenda Zanzibar walikuwa ni Polisi, siyo Tanganyika Rifles.

..Ni kweli kulikuwa na figisu-figisu na hujuma za uchaguzi dhidi ya ASP zilizopelekea kutokea Mapinduzi.

..Pia kulikuwa na ubaguzi ktk jamii ya Znz, lakini usisahau kwamba ASP maana yake ni Afro Shirazi Party.

..Dhuluma na figisu-figisu walizokuwa wakifanyiwa ASP na kusababisha mapinduzi ya 1964 hazina tofauti na uhuni ambao CCM wamekuwa wakiwafanyia CUF tangu mfumo wa vyama vingi urejeshwe Tanzania.

..Mwisho, Wazanzibari ni watu waliochanganya damu. Sasa kuleta habari ya Waarabu vs Waafrika ni kukosa busara.

..Na ukimuangalia Hussein Mwinyi anaonekana ni Muarabu kuliko hata Maalim Seif. Je, ina maana CCM wanarudisha Uarabu Zanzibar?
Mkuu mimi nimekaa Zanzibar na Pemba na najua nilichokiona na nilichokiishi huko.
Ubaguzi upo hadi leo, sema kile kizazi cha chuki kali kati ya waafrika na waarabu ndio kinaendelea kupotea.
 
Kwa sababu za ulinzi hatuwezi jitenga na Zanzibar. Sehemu ya bahari pia itakayoimiliki Zanzibar baada ya kutengana inatulazimu kuhakikisha Zanzibar ni part ya Tz. Kijografia hizi hazikupaswa kuwa nchi mbili sema ndio tayari ipo hivyo.
Kabla ya muungano hizi nchi mbili ziliwezaje kuwa na amani Bila Vita?
 
Tundu Antipas Lissu akifutwa na NEC kugombea urais basi mtulie tuli
Hivi huu muungano hakuna namna utawekwa ukatufurahisha sote maana kila anaengolea muungano anatishwa.waafrika tuna tatizo sana history mara nyingi inatudhoofisha badala ya kutuimarisha history ya utumwa na ukoloni imetudhoofisha kabisa hatufurukuti mbele ya wazungu,hata ikitokea argument ya kawaida tu na mzungu tunafura na kufika mbali sana.Zanzibar inahistoria mzuri sana na ina I aweza kuwa fursa kwao.sasa kwanini tusidisign muungano ambao utawaruhusu wenzetu wafurahie history yao
 
Eleza wana matatizo gani hao watu wa kawaida?

Chanzo chake ninj?

Yataondolewaje hayo matatizo?

NB:
å Honestly, mimi naona wazi kabisa kuwa, watu wengi hatujamwelewa Tundu Lissu na "logic" ya hoja hii ukiwemo wewe...

å Hoja ya Tundu Lissu siyo kuvunja muungano au kuleta utengano miongoni wa watu wa mataifa haya mawili...

å Ameeleza vizuri mno tatizo la muungano huu ambao kwa vigezo vyote ni kama wa kulazimishana vile kwa manufaa makubwa ya upande mmoja pekee..

å Msingi wa hoja za kasoro za Muungano huu kiuhalisia ni mfumo wa utawala chama cha dola - CCM....Hili ndilo tatizo...!!

å Yeyote anayehoji kasoro za Muungano huu, huishia pabaya....!

Kwanini?

Ni kwa sababu, moja kwa moja anakuwa anataka kuingilia na kuharibu maslahi ya CCM na kamwe siyo ya WATU WA ZANZIBAR...

Hebu tazama mashekhe wa kiislamu mamia kwa mamia wanaoteseka katika magereza ya Tanganyika....

Sababu ama dhambi yao ni nini?

SIMPLE, NI HII PEKEE:

Wanaleta chokochoko kwenye ishu ya muungano na kutaka kuhatarisha maslahi ya WATAWALA na CCM....!!

Yaani ni MUUNGANO uliojengwa ktk msingi wa UONGO UONGO tu pamoja ULAGHAI mtupu. Na vitu hivi vya kilaghai na UONGO kamwe huwa havidumu....!!!

å Na maslahi yenyewe wala siyo mengine yoyote yenye manufaa kwa watu wote, bali ni yale yenye manufaa kwa WATAWALA....

å Ametoa lecture nzuri na rahisi kueleweka kwa watu wote ili waamue kurekebisha muungano wao ama hata kuuvunja iwapo itashindikana kukubaliana ktk kurekebisha....!!!

What's wrong with that?
Kuna wakati huwa natamani kujua umri halisi wa wachangiaji? Una umri gani mkuu?
 
Kabla ya muungano hizi nchi mbili ziliwezaje kuwa na amani Bila Vita?
Ni sawa na kumuuliza kijana kabla ya kuondoka nyumbani na kujitegemea ulipata wapi chakula?

Hizi nchi Hazikuwa zikijitawala. Hazikujiamulia maswala yake ya ulinzi wa kisiasa, kiuchumi na kijamii.

Kwa jinsi Zanzibar, Tanzania na eneo la bahari ya nchi hizi mbili lilivyo tukitengana ni tatizo. Tunashabikia tu ila si sawa.

Na hii inathibitisha kuwa maamuzi yanayotokana na nguvu ya uma yana pande mbili. Yanaweza kuwa ya manufaa kwa uma au yakaleta matatizo baadae.

Tukiachana na wanasiasa Viongozi wa kijeshi wana kazi kubwa ya maamuzi wakati huu.

Kwani umeshajiuliza zanz kuna nn cha thamani sana sisi kutumia nguvu kubwa kuulinda muungano?
 
Huyu kweli anastahili kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
Kwa kauli hizi, si ni wazi ameonesha kuwa atavunja Muungano?
Tatizo lenu huwa mnakurupuka. Lissu hajasema atavunja muungano bali ataimarisha muungano ule ambao utakuwa na tija kwa pande zote mbili.

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
Akikujibu, nishtue. Hawa ndio team ya Bashiru aliwaagiza juzi wajibu mapigo. Lakini maskini hawaelewi lolote matokeo yake wanakurupuka kama ngiri shimoni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan hawa jamaa ni wakurupukaji balaaa

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
Anayekoleza na kufurahia Muungano wetu usiwepo badala ya hoja za nini kifanyike, huyo ni wa kupuuzwa na huenda akili yake iko tumboni

Cha kufanyika kinafahamika sana. Hicho ndicho kilichowagharimu wanasiasa wengi wa Zanzibar nafasi zao za uongozi. Hata Tume ya Warioba kuhusu katiba mpya ilibainisha wazi na kufikia hatua ya kuingiza kwenye rasimu ya katiba mpya. Kilichotokea kinafahamika; wahafidhina walivuruga mchakato mzima wa katiba mpya. Muungano wetu hauwezi kuwa salama bila kukabiliana changamoto zilizopo kwa ujasiri, utulivu, uwazi na nia njema.
 
Back
Top Bottom