MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Kubwa la Makolo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo kwenye "tutavaa za Yanga,Karia akachekea kwa ndani"
"Mawaziri tutaongoza Watanzania, tutakuwepo kiwanjani na siku hiyo mimi na Waziri tutavaa jezi za hiyo timu inayocheza siku hiyo, kama ni Simba tutavaa Simba kama ni Yanga tutavaa Simba."
Na mkae tayari.mana ATATAWALA TFF MILELE AMINA.Huyo chizi achana nae
Umeumia?Utoto kama huu ndio makolo wanapenda sasa. Yan unaweza shangaa wiki nzima wanaimba nayo hii habari
Huyu anaonyesha kabisa ni Simbaaaa..
"Mawaziri tutaongoza Watanzania, tutakuwepo kiwanjani na siku hiyo mimi na Waziri tutavaa jezi za hiyo timu inayocheza siku hiyo, kama ni Simba tutavaa Simba kama ni Yanga tutavaa Simba."
😆😆😆😆🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Simba haiepukiki...ni kama mkojo wa asubui...ukitaka utakojoa usipotaka utajikojolea...
Najua kuna timu ya mpira(Yanga,azam)na timu ya wacheza ndomboro ya soyo(simba).Kuna team 1 tyuh Bongo nayo ni SIMBA, epuka matapeliiii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HahahahahaUnamaanisha paka au 5imbachawene😄 mimi natoka Malawi ila sifahamu timu nyingine zaidi ya Yanga na Azam kutoka Tanzania
100% ✅Mbumbumbu kindakindaki.
Yeye na waziri wake wasivae jezi za Wananchi hatutaki unafiki.
Kipindi chake chote tutalitawala soka la bongo.Atawale tuNa mkae tayari.mana ATATAWALA TFF MILELE AMINA.
Njoo unikojolee.🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Simba haiepukiki...ni kama mkojo wa asubui...ukitaka utakojoa usipotaka utajikojolea...
[emoji23][emoji23][emoji23]Khaaaa