Video: Karia ajichanganya kuelekea mechi za kimataifa za Simba na Yanga

Utoto kama huu ndio makolo wanapenda sasa. Yan unaweza shangaa wiki nzima wanaimba nayo hii habari
 
Kuna team 1 tyuh Bongo nayo ni SIMBA, epuka matapeliiii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Najua kuna timu ya mpira(Yanga,azam)na timu ya wacheza ndomboro ya soyo(simba).
 
Kwa Utopolo wazee wa propaganda wakipigwa, wanaichukua hii kama hujuma
 
Hii Simba haiepukiki wadau 😂😂😂😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…