Video: Kijana afunguka alivyofanyiwa ukatili wa kutisha na mwenyekiti wa kijiji Uleling'ombe, kilosa

Video: Kijana afunguka alivyofanyiwa ukatili wa kutisha na mwenyekiti wa kijiji Uleling'ombe, kilosa

Itakuwa wanakijiji huko ni wpmbv
Mambugila na kwa style hyo mwenyekiti atawflll wote huko

Ova
Hio style nikiikuta usukumani, nilipishana na mwenyekiti njiani akanigombeza mbona hanijui. Nikamjibu hata mimi sikujui ww unajua watu wote hapa duniani?
Aisee lilikuwa kosa akachunguza nilipofikia mwenye nyumba akapingwa faininya jogoo😭😭😂
 
Huyo mwenyekiti ana siri gani za kusambaziwa na huyo dogo
walikua na mahusiano gani before?
Mwenyekiti kijiji nae ana nguvu ya kumdetain mtu aisee

Ndo mana nauchukia sana umasikini unaleta Unyonge wa kindezi sana
 
Mkuu huko vijijini wenyeviti wananguvu ya hatari baadhi hadi wana selo zao binafsi.
Nenda usukumani ukajionee
 
Huyu Samia anatuharibia nchi yetu .Yaani kiongozi wake wa Kijiji kafanya kitu kibaya sana.samia jirekebishe
Na utashangaa kapita kwa ubingwa wa kujua kujaza fomu... Yaani kapita bila kupingwa mwisho ndio hivyo anaLAWITI watoto wetu.
 
Tukomenti vitu vya msingi kwenye mambo ya kusikitisha...

kwahiyo mfumo wa sheria unaamuliwa na mabraza..?!!
Kwa uelewa wako unadhani Mwenyekiti na Migambo wao hawakujua kuna kitu kinaitwa Sheria?
Dawa ya moto ni moto, huyo mwenyekiti na migambo wake wapelekwe gerezani na wakaolewe kabisa, ili waone uzuri na ubaya kumtendea mtoto ujinga.
 
Hio style nikiikuta usukumani, nilipishana na mwenyekiti njiani akanigombeza mbona hanijui. Nikamjibu hata mimi sikujui ww unajua watu wote hapa duniani?
Aisee lilikuwa kosa akachunguza nilipofikia mwenye nyumba akapingwa faininya jogoo[emoji24][emoji24][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Ila TZ watu wanajifanya kukemea na kulaani Ushoga, ila wao wenyewe ndio vinara wa kufanya matendo ya kishoga.

Sasa ulawiti si ni ushoga tyuuh, ila pasipo idhini au hiyari ya muhusika. Lol

UNAFIKIII.

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom