Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 24,523
- 30,084
Transifoma na mita mbovu walivitoaje kwenye geti la Tanesco? Kuna taarifa zozote za wizi zilizowahi kuripotiwa?Habari, ndugu mteja.
Unaweza kuwa na hoja na bahati mbaya hoja yako inahitji kuthibitishwa.
Na kwakuwa waliyokutwa na huduma wapo ndiyo watakao saidia kuthibisha walivyopata huduma.
TANESCO inasimamia weledi na mtu yeyote anayeenda kinyume lazima achukuliwe hatua.
Asante. ^RS