Video: Kijiji kizima kimenaswa kimeiba umeme Mbeya

Video: Kijiji kizima kimenaswa kimeiba umeme Mbeya

Tanesco wanajua sana walichokifanya juu ya haya mambo wanazuga tu waonekane wanafanya kazi kwa kuumiza wananchi tu.. cha kushangaza hao wanaodaiwa wameiba umeme walikua wanatumia mita zilizosajiliwa vizuri kabisa na Tanesco na wananunua umeme vizuri kabisa...
 
Me huwa nashangaa kila mwaka nchi ina wahitimu wa Veta wa fani mbalimbali ikiwemo umeme

Lakini cha ajabu kampuni namba moja zinazobeba zabuni hazina wahitimu wa VeTa na haziwataki.!

Wana beba mamburura yenye uzoefu Muhindi na Mchina ni madhalim wakubwa wa hi nchi

Tena ukichanganya na haya Mashamba boy yanayoongoza kazi ipo
 
Shehe kaolewa wewe ulijua ushoga upo pemba tu?
Mmewazidi Pemba

1791909922140.png
 
Duuu ! hatari wanakijiji wote wamekuwa wataalamu wa umeme. hapo kuna namna ya watumishi wasio waadilifu kutoka TANESCO wanacheza michezo kwa kushirikiana na wasio waadilifu kutoka kijiji hicho Tukisema tunataka KATIBA MPYA tunakuwa tunamaanisha..
Lioneni hili pumbavu, hv we bwege unajua hata maana ya katiba?
 
Habari

Uunganishaji umeme unaanzia pale ilipoishia njia ya umeme wa msongo mdogo(existing LV Line).

Aidha, Wananchi hao walikuwa hawanunui umeme Kwani mita zao zilikuwa mbovu kwa lugha nyepesi zilikuwa Kama picha tu.

Hivyo hakuna pesa ilikuwa inaingia, na kwa kitendo hicho wameliingiza shirika hasara.

Asante. ^MY
Mita mbovu huwa mnazitupa barabarani? Jibu hapana, sasa wao wamezipataje na transifoma wameipataje! Hiyo ni inside job ya wafanyakazi wa Tanesco kwani pia inaonekana imefanywa kitaalamu na si kwa siku moja, wafanyakazi wa Tanesco wanahusika Kwani waya zimeunganishwa zilipoishia halali hazikuchimbiwa chini kwa kificho.
 
Hizo mita mbovu ambazo mliwafungia wanakijiji ni zenu TANESCO ? Au ni za kampuni gani? Walizitoa wapi?
 
Mita mbovu huwa mnazitupa barabarani? Jibu hapana, sasa wao wamezipataje na transifoma wameipataje! Hiyo ni inside job ya wafanyakazi wa Tanesco kwani pia inaonekana imefanywa kitaalamu na si kwa siku moja, wafanyakazi wa Tanesco wanahusika Kwani waya zimeunganishwa zilipoishia halali hazikuchimbiwa chini kwa kificho.
TANESCO jibuni hoja.
 
Kwanini TANESCO haijawapelekea umeme. Ukilitimba kwa tanesco ndo unafanyavwajiunganishie. Kuna vijiji waya za tanesco zinapita lakini hawana umeme. Nawapongeza
Wakati Hayati Magufuli anaingia madarakani alihutubia bunge akasema TANESCO wanafungulia maji kwenye mabwawa ya kuzalisha umeme na kuyamwaga ili wafanyabiashara wauze majenereta. Na ikawa kweli kipindi chake chote umeme haukukatika.
Sasa paka kauawa panya wametawala maana wanakijiji wote siyo ma engineer.
 
Back
Top Bottom