Tetesi: Video: Kimewaka Iran - wenyewe hawamtaki tena Ayatolah kwa sakata la ndege

Huo mzuka ufanye huku kwa jiwe tuone kama hatuja kookota ukiwa vipande.

Wanachofanyiwa wale wanaonyesha uvumilivu wa hali ya juu kwamba wakija Bongo, mapolisi wa Kibongo watawakimbia.
Polisi TZ nafuu yao ni kwamba Watanzania wengi waoga waoga.
Mkianza maandamano, ije defenda moja ya polisi mnapoteana na kutawanyika, ila kuna mataifa raia wake ni mzuka, wakijitokeza barabarani wanaandamana, yaani jeshi lote la polisi kila mmoja anaamrishwa ahusike kwenye mapambano.
 
Ayatollah amechemka sana Kitendo cha Kulipua Ndege ya abiria ni ujinga mkubwa kwanza Ni lack of Millitary Accuracy and Professionalism...

Kama hivi tu sio Wakati wa vita wamepiga ndege ya abiria, je marekani ikiwapelekea moto kabisa si watalipua hata Hospitali zao wenyewe?? Huu ni uzembe mkubwa na ujinga..

You cannot Just order the lauch of surface to Air Missile bila kuwa na uhakika hilo tu linatosha kuonyesha hawa watu ni Wazembe na wapuuzi kabisa...Dunia nzima ilikua nyuma yao baada ya Mauaji yale ya Soleiman...Ila kwa hili wamedharaulika sana...
Hii hutokea sana duniani. Makosa kama hayo wala siyo mageni katika tasnia ya vita au urushaji wa makombora. Na ndiyo maana tunasema Vita siyo nzuri. Kila leo US huko Afghastan anaua raia kimakosa na dunia inakaa kimya,wanaishia kuomba radhi tu. Ingawa ni jambo baya sana,lakini hiyo uliyoiita ni degree ya precision ni ngumu hata kwa US na NATO wenyewe. Hujawahi kusikia kisa cha ndege ya Korea(KAL) iliyopigwa kombora na ndege vita ya Urusi?
Ni mambo yanayotokea sana,yanasikitisha lakini Iran siyo ya kwanza kutungua ndege za kiraia. Hapo Iran na Trump wote wanapaswa kulaumiwa. Kwani bila ya yale mauaji ya Soleiman,hii kadhia isingetokea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanachofanyiwa wale wanaonyesha uvumilivu wa hali ya juu kwamba wakija Bongo, mapolisi wa Kibongo watawakimbia.
Polisi TZ nafuu yao ni kwamba Watanzania wengi waoga waoga.
Mkianza maandamano, ije defenda moja ya polisi mnapoteana na kutawanyika, ila kuna mataifa raia wake ni mzuka, wakijitokeza barabarani wanaandamana, yaani jeshi lote la polisi kila mmoja anaamrishwa ahusike kwenye mapambano.
Usiseme wabongo waoga sema sisi wabongo ni waoga.
 
Hata iran watu wanaandamana wakijua kabisa kuna kifo mbele, hivyo watz watakapofika level hiyo ya kujitoa hakuna kitakachowazuia.

Ni suala la muda tu watz hawataogopa kufa wataingia barabarani tena bila kiongozi. Muogope sana binadamu aliye desperate ambaye hana tena cha kupoteza.

Ila kwasababu jiwe ni Kichwa maji atapuuza akidhani watz wataendelea kuwa waoga miaka yote.. Kizazi kinabadilika, hiki kizazi kinachokuja ni kizazi jeuri.. Wait and see.

Sent using Jamii Forums mobile app
Bongo ni ngumu kutokea.
 
Wanachofanyiwa wale wanaonyesha uvumilivu wa hali ya juu kwamba wakija Bongo, mapolisi wa Kibongo watawakimbia.
Polisi TZ nafuu yao ni kwamba Watanzania wengi waoga waoga.
Mkianza maandamano, ije defenda moja ya polisi mnapoteana na kutawanyika, ila kuna mataifa raia wake ni mzuka, wakijitokeza barabarani wanaandamana, yaani jeshi lote la polisi kila mmoja anaamrishwa ahusike kwenye mapambano.
Polisi siku zote wanaenda na mzuka wa wananchi wakienda kinyume wataua raia wengi na mwishiwe ni adhabu kwao.
 
Uwepo wa maandamano ni dalili ya uwepo wa demokrasia pana.
Hata ufaransa kulikuwa na maandamano ya kumtoa rais wa nchi hiyo
Khamenei, kanyaga twende, wakirusha risasi wewe unapiga missile
 
Hata iran watu wanaandamana wakijua kabisa kuna kifo mbele, hivyo watz watakapofika level hiyo ya kujitoa hakuna kitakachowazuia.

Ni suala la muda tu watz hawataogopa kufa wataingia barabarani tena bila kiongozi. Muogope sana binadamu aliye desperate ambaye hana tena cha kupoteza.

Ila kwasababu jiwe ni Kichwa maji atapuuza akidhani watz wataendelea kuwa waoga miaka yote.. Kizazi kinabadilika, hiki kizazi kinachokuja ni kizazi jeuri.. Wait and see.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni kichwa nini?
 
Ni aibu mkuu
Ayatollah amechemka sana Kitendo cha Kulipua Ndege ya abiria ni ujinga mkubwa kwanza Ni lack of Millitary Accuracy and Professionalism...

Kama hivi tu sio Wakati wa vita wamepiga ndege ya abiria, je marekani ikiwapelekea moto kabisa si watalipua hata Hospitali zao wenyewe?? Huu ni uzembe mkubwa na ujinga..

You cannot Just order the lauch of surface to Air Missile bila kuwa na uhakika hilo tu linatosha kuonyesha hawa watu ni Wazembe na wapuuzi kabisa...Dunia nzima ilikua nyuma yao baada ya Mauaji yale ya Soleiman...Ila kwa hili wamedharaulika sana...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiwewe! kiwewe? Kiwewe! Usianzishe Vita na unayemuogopa! Ona sasa kiwewe cha Iran kushambulia kambi za marekani kumegharimu maisha ya watu 176 wengi wao wairan. Unawezaje kutungua ndege iliyoanza kuruka ndani ya mipaka ya nchi? Labda kama ingekuwa inaingia kutoka nje ya mipaka ya Iran! Usianzishe vita na unayemuogopa!! Kwa jinsi hii marekani ikianzisha vita na Irani, Iran itakufa kwa pressure tu ya woga
Kuna mdau alisema Iran ikiingia kweny vita,itaua raia wake na majirani...maana watarusha makombora mashambani,baharini,mahospitalin, airport yani kote hadi miskitini na makanisani...

Mana hapo juzi tu wenge wakarusha hadi kutungua ndege ya abiria...[emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom