Al assad
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 1,404
- 1,516
Leo hao waandamanaji wamesema adui wao yupo hapa(Iran)Kama utatoa Njia Yakijeshi Ambayo Siiombei Hakuna Njia Nyengine Ambayo Nisahihi Inayoweza Kuuangusha Utawala Wa IRAN Utawala Wa IRAN Unachukiwa Magazetini na Kwa Media ZaWamagharibi Kama Utabahatika Kwenda IRAN Kwenyewe Unaweza Ukaelewa Namaanisha nn
Majority Ya WAIRAN Huwaambii Kitu Kwa Serikali Iliopo Madarakani Japo Wanalalamika Kwa Baadhi Ya Mambo Na Uzuri Zaidi Wanajua Kabisa Nakukwambia Kama Sababu Ya Matatizo Yanaowakumba 90% wana amini yanasababishwa na US/Western.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app